Tetesi: Kuna pikipiki na bajaji zinazotumia umeme wa jua. Hivi askari wa usalama barabarani wana taarifa na pikipiki hizo?

Watu wapumbavu kama wewe hamkupaswa kufutiwa kodi ya kichwa.
 
Watu wapumbavu kama wewe hamkupaswa kufutiwa kodi ya kichwa.
wewe ni mwerevu , nakujua, lipa kodi kwa maendeleo ya nchi.

POLISI/ LART- naombeni hizi pikipiki na baiskeli za mota/kuchaaji zisajiliwe, zina nguvu na kufanya kazi kama basikeli nyingine tu
 
[emoji3][emoji3][emoji3]Duh
 
Dah hii nimeipenda sana,kama bei iko chini hivyo na havihitaji usajili nitaenda kukinunua.
Hivi hicho naweza kupanda mimi na mke wangu kwenda batani au ni cha kupanda mtu mmoja tu?
Mnapanda watu wawili, zipo hata bajaji za namna hiyo, ni bei chee sema sasa nataka zisajiliwe kwakuwa kikikugonga kina impact kama hizi nyingine lakini hulipwi na havina bima wala usajili wowote
 
lakini mkuu kwa mimi wala sioni umuhimu wa hizo usajili na bima ni utapeli tu.
Wewe unafikiri hizi bodaboda za kawaida zikikugonga ndio utalipwa na bima?mara ngapi bodaboda zinagonga watu na hakuna malipo yoyote
Mnapanda watu wawili, zipo hata bajaji za namna hiyo, ni bei chee sema sasa nataka zisajiliwe kwakuwa kikikugonga kina impact kama hizi nyingine lakini hulipwi na havina bima wala usajili wowote
 
Shida yake hizi Electrical na Solar Bike nazo zitambulike kama Vyombo vya moto ili zikatiwe Bima labda
Huko zinapotoka China wala hazifanyiwi registration, na ni rafiki wa mazingira havitowi moshi.
 
lakini mkuu kwa mimi wala sioni umuhimu wa hizo usajili na bima ni utapeli tu.
Wewe unafikiri hizi bodaboda za kawaida zikikugonga ndio utalipwa na bima?mara ngapi bodaboda zinagonga watu na hakuna malipo yoyote
hulipwi kwakuwa hufuatilii na wapambe wanakwambia "malianeni kiume" .

Waelewa huwa hawakubali mpaka trafiki apime na apate ripoti ili bima ilipe.
Mimi ukigusa gari yangiu utaimba haleluya, utalipa wewe na ukoo wako
 
Haya kama bima ni third party
Unalipwa ?
hulipwi kwakuwa hufuatilii na wapambe wanakwambia "malianeni kiume" .

Waelewa huwa hawakubali mpaka trafiki apime na apate ripoti ili bima ilipe.
Mimi ukigusa gari yangiu utaimba haleluya, utalipa wewe na ukoo wako
 
Kwahiyo baiskeli nazo zisajiliwe sio, la
 
Ila mchina jamani,anasumbua dunia sana...mara taa za barabarani za solar hata ukatike umeme zenyewe zinawakaga tu,mara pikipiki za umeme,,yaani usumbufu juu ya usumbufu,
Serikali ipige marufuku hivi vitu,havitambuliwi na sheria,vitatuletea majanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…