GOD my watcher
JF-Expert Member
- Oct 9, 2019
- 298
- 271
Naomba mawasiliano yao mkuuMi sio muuzaji ila nipo jirani bei zao zipo za 1350000 -1400000
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba mawasiliano yao mkuuMi sio muuzaji ila nipo jirani bei zao zipo za 1350000 -1400000
Watu wapumbavu kama wewe hamkupaswa kufutiwa kodi ya kichwa.Katika hali isiyo ya kawaida inasemekana Jeshi la Polisi limelala usingizi wa PONO [samaki huyu hulala usingizi wiki mbili mfulilizo kwenye matumbawe].
Hali hiyo imekuja baada ya uwepo wa PIKIPIKI, VESPER NA BAISKELI za kisasa zenye kutumia umeme wa jua na umeme wa maji ambazo huchajiwa.
Swali la kujiuliza: Je, hivi pikipiki hata kama zikikugonga hazina bima wala namba, akikimbia huwezi mkamata, wanabeba mizigo na abiria kama nyingine, tatizo ni sheria ya barabarani haizitambui, sheria tuliyoridhi kwa mkoloni yaani THE ROAD TRAFFIC ACT, ambayo inaelezea chombo cha moto lazma kiwe na injini inayoendeshwa na propeller or mashine, of which hizi ni za umeme.
Rais Magufuli ana nia njema ila ana watendaji wabovu kuliko maelezo, yaani watunga sheria, ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali, jeshi la polisi kitengo cha usalama barabarani walipasa kuishauri serikali, WAONDOKE TU RAIS AFANYE MWENYEWE KAMA HAWAWEZI WANASHINDA MITANDAONI KUJIBIZANA KWENYE MITANDAO YA NGONO KWA WIFI YA BURE HUKO MAWIZARANI.
Serikali inakosa mapato mengi kwakuwa hivi vyombo vingesajiliwa vingeingiza mapato kwa taifa.
View attachment 1419846View attachment 1419846
View attachment 1419847View attachment 1419848View attachment 1419850
B
wewe ni mwerevu , nakujua, lipa kodi kwa maendeleo ya nchi.Watu wapumbavu kama wewe hamkupaswa kufutiwa kodi ya kichwa.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]nimecheka kama mazuriIpo kimya, ukienda polisi aliyekugonga anaambiwa akuletee uji hospitali
[emoji3][emoji3][emoji3]DuhSsome uelewe, Tunataka zilipe insurance incase ikisababisha ajali kama zinavyogonga watu kariakoo kwa sasa mtu aweze fidiwa na bima.
Tunataka ziwe na namba, zikifanya uhalifu tujue wa kumkamata.
tunataka zilipe mapato ili serikali ipate fedha ya kulipa wanajeshi wanaolinda nchi yetu wakati MA-BOGUS kama wewe mnaamkia kwenye nyumba za urithi hamjui lolote kuhusu maisha.
Dah hii nimeipenda sana,kama bei iko chini hivyo na havihitaji usajili nitaenda kukinunua.View attachment 1420604Hicho hapo, kinauzwa 650,000/- pale mtaa wa Narungombe
Shida yake hizi Electrical na Solar Bike nazo zitambulike kama Vyombo vya moto ili zikatiwe Bima labdaYaani unataka kuongeza umasikini kwenye jamii? Wewe shida yako nini? Bado unataka kibano zaidi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnapanda watu wawili, zipo hata bajaji za namna hiyo, ni bei chee sema sasa nataka zisajiliwe kwakuwa kikikugonga kina impact kama hizi nyingine lakini hulipwi na havina bima wala usajili wowoteDah hii nimeipenda sana,kama bei iko chini hivyo na havihitaji usajili nitaenda kukinunua.
Hivi hicho naweza kupanda mimi na mke wangu kwenda batani au ni cha kupanda mtu mmoja tu?
Mnapanda watu wawili, zipo hata bajaji za namna hiyo, ni bei chee sema sasa nataka zisajiliwe kwakuwa kikikugonga kina impact kama hizi nyingine lakini hulipwi na havina bima wala usajili wowote
Huko zinapotoka China wala hazifanyiwi registration, na ni rafiki wa mazingira havitowi moshi.Shida yake hizi Electrical na Solar Bike nazo zitambulike kama Vyombo vya moto ili zikatiwe Bima labda
hulipwi kwakuwa hufuatilii na wapambe wanakwambia "malianeni kiume" .lakini mkuu kwa mimi wala sioni umuhimu wa hizo usajili na bima ni utapeli tu.
Wewe unafikiri hizi bodaboda za kawaida zikikugonga ndio utalipwa na bima?mara ngapi bodaboda zinagonga watu na hakuna malipo yoyote
hulipwi kwakuwa hufuatilii na wapambe wanakwambia "malianeni kiume" .
Waelewa huwa hawakubali mpaka trafiki apime na apate ripoti ili bima ilipe.
Mimi ukigusa gari yangiu utaimba haleluya, utalipa wewe na ukoo wako
Kwahiyo baiskeli nazo zisajiliwe sio, laWatanzania ni watu kwenye roho mbaya,mada kama huzi huezi kuzikuta Nigeria,Burundi au hata Kenya,hizi ni roho za kichawi,nashukuru mungu baba yangu alikufa miaka mingi iliyopita kabla ya kizazi hiki ni aibu kuishi Na watu kwenye roho ya wivu kiasi hiki,mwenye ile Pikipiki Na mweye baiskeli yupi rahisi zaidi kukimbia, every little thing you do to progressive, none ambitious people crush it.them nuh have no ambition at all
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi zinaweza kupanda mlima?haswa hizi pikipik za umeme ndo zimejaa mjini balaa na speed yake kama pkpk zinazotumia mafuta tu, nadhani sheria ibadilishwe.
mpaka mwaka 2020 unalipa 3rd Party, loh bora usilipe kabisa ili ukisababisha ulipe tu wewe mwenyewe.Haya kama bima ni third party
Unalipwa ?
Mbona kauli zako unajipinga mwenyewe?mpaka mwaka 2020 unalipa 3rd Party, loh bora usilipe kabisa ili ukisababisha ulipe tu wewe mwenyewe.
Mbaazi na maharagwe soyaMbona kauli zako unajipinga mwenyewe?
Huko ccm huwa mnalishwa nini vya kuharibu ubongo wenu?