Top gun maverick
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 2,080
- 2,871
Ok vizuriDefinitly no.
siwezi teseka na maisha alafu hapa jamiiforum nifikirie mara mbili mbili ninachoandika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok vizuriDefinitly no.
siwezi teseka na maisha alafu hapa jamiiforum nifikirie mara mbili mbili ninachoandika.
Wazo zuri lakn vp huyo kibaka akizibitiwa na watu akala makofi mawili matatu akanitaja itakuaje hapo!Kazi ndogo sana, tengeneza kibaka feki ampige kabali akiwa njiani, then wewe unatokea na kumtimua kibaka feki na kumdhibiti ili kumnusuru binti husika na kumrejeshea vitu alivyomuibia na amani yake.
Unamsindikiza kidogo mkiwa njiani usimuombe namba bali unachukua simu yake unajibeep, unamuaga na kumsisitiza akifika nyumbani akutaarifu.
Potelea mbali hata kama ni mchinaMkuu huyo sio muhindi ni mbongo
Muache atimize malengo yake kwanza20 & 21
Upo garage? Hebu tuoneshe sura yako tukushauriHamna nimle kwanza ndio uniambie hayo
Umri wako pia tuufahamHamna nimle kwanza ndio uniambie hayo
Hisia hutengenezwa kijanaOk vizuri,Basi tengeneza mazingira akuelewe Ila Kama Hana hisia na wewe bro your wasting your time.Take it from me narudia your wasting your time.Ishawahi nitokea same situation miaka Fulani huko nikiwa amateur kwenye masuala ya relationship.
Dogo tufikie mahala.tuheshimiane aisee[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35] mi sio "mwana usalama"Sikia mwana usalama Kwasasa sipo gereji ninamishe zingine tu
Mtoto wa Capri point anaenda sokoni? Soko gani hilo mkuu?Kapri point Mwanza
Kwa hivyo vitu vilivyokuvutia kwa huyo binti moja kwa moja hufai kupewa manuva ya wanaume smart kama sisi...yani umevutiwa na ushua, matako na kingine eti binti baba yake ni OCD, unayumba tafuta vitu vinavyokuvutia kwa binti nje ya umbo la binti na maanisha mtu wa ndani ( roho ) yake hapo ndio kila kitu utapata for free # mapenzi sio pesa.Aisee kuna binti mmoja hapa mtaani kwetu wakishua sana nimetokea kumpenda sana lakn kila nikimpa Hi haitikii.
Kitu hicho kinaniumiza sana wadau.lakn leo asubui natoka senta naelekea home nikaona nae yupo na mdogo wake mdogo wa kike wanatoka sokon wanaelekea home nikampa hi kaitikia fresh tuu.
Nikamwambia naitwa fulani waitwa nani wew?akajibu.
Yey."ili iweje!
Mim."naomba tuwe marafk
Yey."urafki feki uo
Mim."kama huta jali naomba namba yako ya simu
Yeye."akaguna tu then akaingia getini.
Sasa wadau naombeni msaada wenu ni namna gani ya kumnasa huyo binti.anamatako makubwa usipime kias kwamba hata kutembea unaona kabsa yanampa shida.kiuno kidogooo
Wadau wamenambia dingi ake ni OCD
Mabaharia nitumie mbinu gni huyu mtoto.
Mkuu stop hating.Mtoto wa Capri point anaenda sokoni? Soko gani hilo mkuu?
Babake ni OCD Ilemela, Nyamagana, Sengerema, Magu au Misungwi?
Me nahisi huyo ni beki tatu mkuu
Tulia kwanza wewe ni mdogo kwake pia