Kuna pisi moja ya kishua naipenda sana lakini hata nikiisalimia haioneshi ushirikiano, nifanyeje?

[QUOTwwaE="Daudi Mchambuzi, post: 40390770, member: 32466"]
Kazi ndogo sana, tengeneza kibaka feki ampige kabali akiwa njiani, then wewe unatokea na kumtimua kibaka feki na kumdhibiti ili kumnusuru binti husika na kumrejeshea vitu alivyomuibia na amani yake.

Unamsindikiza kidogo mkiwa njiani usimuombe namba bali unachukua simu yake unajibeep, unamuaga na kumsisitiza akifika nyumbani akutaarifu.
[/QUOTE] Wazo zuri lakn vp huyo kibaka akizibitiwa na watu akala makofi mawili matatu akanitaja itakuaje hapo!
 
Kwa hivyo vitu vilivyokuvutia kwa huyo binti moja kwa moja hufai kupewa manuva ya wanaume smart kama sisi...yani umevutiwa na ushua, matako na kingine eti binti baba yake ni OCD, unayumba tafuta vitu vinavyokuvutia kwa binti nje ya umbo la binti na maanisha mtu wa ndani ( roho ) yake hapo ndio kila kitu utapata for free # mapenzi sio pesa.
 
Mtoto wa Capri point anaenda sokoni? Soko gani hilo mkuu?
Babake ni OCD Ilemela, Nyamagana, Sengerema, Magu au Misungwi?

Me nahisi huyo ni beki tatu mkuu
Mkuu stop hating.

Akija kututambia ameshampata tutakimbilia wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…