Kuna pisi moja ya kishua naipenda sana lakini hata nikiisalimia haioneshi ushirikiano, nifanyeje?

Sio makosa yangu ni makosa ya moyo
 
Huyo anaesema kwamba watoto wa kapri point huwa hawatoki nje ni nani na imeandikwa kwenye katiba gani msikalili maisha
 
Teh akili za usiku!! Alaf wananchi wakimkamata uyo kibaka wataelewa kama ni fake ?? Ndo atajua hajui
 
Siku nyingine ukimwona,
Mshike kwa mikono🤝,
Nwangalie ndani ya macho👀,
Mpeleke kando na umwambie🗣️


Commit a crime and I'll be your defender👨‍⚖️
Overpower me so that I surrender🙌,
I wish I could be your saliva💦
So that I could taste your lips💋 whenever
Kwa kweli manzi umebarikiwa🙏,
Ndio maana tunaimba halleluyah🎶,
I wish I could be your shoe👠,
I would have such a beautiful view👀,
And if I was the slit on your dress👗,
My goal in life would be to aim for the highest🏔️,
If only I could be your body lotion,
I would walk with undivided devotion,
Kila siku nakufikiria Ndio maana nasinzia😴
Nasinzia nikikuwaza 😴(oh oh)
Nasinzia nikikuwaza 😴 (oh oh)
Miaka rudi, miaka nenda⏳ (oh oh)
Nasinzia nikikuwaza😴 (oh oh)
Nasinzia nikikuwaza 😴(oh oh)
Nasinzia nikikuwaza 😴(oh oh)
Kila siku ya calendar 📅(oh oh)
Nasinzia nikikuwaza 😴(oh oh
)
 
Ukweli unauma lakini lazima usemwe. Kipunga jifunze kubalansi shobo.
Nimjibie! Shobo kivipi? Hiyo haina madhara, shobo ni mbaya ukimletea mwanaume mwenzako. Ila kwa mwanamke, tena usiyemfahamu ni kawaida sana.

Kwa hiyo nina kila sababu ya kusema kuwa hujui tafsiri halisi ya 'shobo'.
Acha dogo afurahie maisha na watoto wakali, au unaona wivu nini kaka?
 
ahhahahahah Mkuu jamaa anaongelea maisha halisi sio movie.usimponze akakutana na makubwa.kwa mara ambazo amemfata ifike wakati ajifunze kubalance shobo tu.
 
Wazo zuri lakn vp huyo kibaka akizibitiwa na watu akala makofi mawili matatu akanitaja itakuaje hapo!
[/QUOTE]
Hahhh akidakwa na wajeda akatpa siri ,jiandae marinda ayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…