Kuna sababu gani Tundu Lissu kukaa kimya kabisa kwenye kesi ya Ugaidi ya Mbowe?

kesi ipo mahakamani unataka aongee nini sasa.unadhani Lisu na mazuzu kama nyie mnaopiga kelele na hamjui taratibu za kimahakama? kama wewe unaamini mbowe sio gaidi nenda mahakamani kamtetee ili uwe kama shahidi wake.
 
Tundu Lissu alikosea mwanzoni kwa kuanzia kumbwatukia Mama kuhusu haki zake kwenye mitandao na suala la Katiba mpya. Naamini kuna watu wenye busara wamemshauri vizuri na amekubali ushauri.

Njia nzuri kwake ni ku HANDLE madai yake kimya kimya kiofisi kuliko kuyapeleka SPACE au Clubhouse. Kudai Katiba mpya, kudai madai yake openly kwenye social media ilikuwa ni kuwafurahisha wasomajj wa mitandao tu. Tundu Lissu lazima afikirie maisha yake binafsi kwanza
 

Uchunguzi wa chacha Wangwe labda uombe urudiwe, na kwa taarifa yako mpaka kesi ya kifo chake ilifanyika kwenye mahakama hizo hizo za ccm. Unaweza kurudi kwenda kufungua tena kesi utoe ushahidi mwingine, maana Mbowe ni mpinzani hutapata kikwazo chochote. Imeisha hiyo.
 
Sijaona kama umekamilika kiweledi kuhusu mambo haya ya kesi zikiwa mahakamani. Hadi sasa majaji wanahangaishwa na Kauli ya Mama Samia kuanza kuongelea na hata kutoa kabisa hukumu kwamba Mbowe ni Gaidi kupitia BBC. Lakini kwenye utawala wa sheria kesi ikishakuwa mahakamani haiongelewi hadharani. Lissu ni mwanasheria, anajua taratibu za kisheria, mawakili wa Mbowe wanaweza wakawa wanawasiliana naye na kupeana mawili matatu na siyo lazima aanze kuiongelea kesi hadharani wakati anajua kabisa kwamba siyo sawa. Labda kama wewe una lako jambo.
 
Pesa za wananchi zimeanza lini kuwa pesa za ccm...,?
 
Hizo pesa ccm wanazitoa wapi?
 
CCM inatoa wapi pesa?

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 

mkuu,
kwamba umeshafanya research zakutosha na ukajithibitishia kwamba Mh Lissu hajatoa tamko wala msimamo wake kwa kile kinachoendelea Mahakama kuhusu kesi ya Mh. Mbowe???
 
Kesi ya Mbowe sio yakumaliziwa hapo Mahakama za kina Jaji Siyani na Ibrahimu.

Lissu ni mtu inteligent sana. Yuko Mbele miaka 1000 kiakili. Ana dili nayo Ki-internationally na atashinda.

Kesi ya mbowe haushindi kwa maneno. Ni Sala na Maombi kwa Mungu.
 
Kule Twitter anaongea Sana kwenye Maria space ,lakini pia Tundu Antipas lissu ndie anaengoza jopo la kamati ya ufundi upande wa mawakili Kwa hyo ninachokiamini wapo pamoja na mboe Kwa asilimia Mia ,,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…