Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina shakha juu uchunguzi wa kushambuliwa kwa Lissu kuwa ulifanyika na wahuni fulani na Jiwe mwenyewe, na Lissu analijua vyema ila sasa ukifanyika uchunguzi juu ya kifo cha Chacha Wangwe....!!!! Mmhh tutabeba kila kilicho chetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya matusi ndiyo yanadumaza akili ya mtukanaji yanachukua nafasi ya fikra zinazojenga! Yaepukeni.ubongo wako uko corrupted. What a waste of sperm. Bora baba Ako angepiga nyeti au kumwagia nje
Sijaona kama umekamilika kiweledi kuhusu mambo haya ya kesi zikiwa mahakamani. Hadi sasa majaji wanahangaishwa na Kauli ya Mama Samia kuanza kuongelea na hata kutoa kabisa hukumu kwamba Mbowe ni Gaidi kupitia BBC. Lakini kwenye utawala wa sheria kesi ikishakuwa mahakamani haiongelewi hadharani. Lissu ni mwanasheria, anajua taratibu za kisheria, mawakili wa Mbowe wanaweza wakawa wanawasiliana naye na kupeana mawili matatu na siyo lazima aanze kuiongelea kesi hadharani wakati anajua kabisa kwamba siyo sawa. Labda kama wewe una lako jambo.Je ndio ameamua kuwa kimya ili Mbowe akifungwa aje Kama Mwenyekiti mpya wa chama?!!.
Je ameamua kufuata mkondo wa Swahiba wake Zitto Zuberi Kabwe aliyekaribia kumsajili ACT-Wazalendo kuwa tusitegemee kuona akikosoa Kama Awamu iliyopita.
Nilimsikia kuwa alishawahi kupigiwa simu kwamba Mama anataka kuongea nae ila akashangaa ukimya. Je walishaongea na kumaliza tofauti zao hivyo hawezi kuiongelea kesi hii sababu anaweza kumuudhi mama. Au ni sehemu ya maongezi yao kuwa akae kimya.
Au Tundu Lissu anaamini Mbowe ni Gaidi kweli na ameona ushahidi unajitosheleza hivyo anaogopa kuongea hukumu ikaja kinyume akaumbuka.
Au amekumbuka kurudi home na amechoka kukaa uhamishoni hivyo anajitahidi kutouudhi utawala mpya kabla ya kurudi.
Au ndio fadhila ya kesi zake kufutwa.
Sipendi aongee kashfa zake hapana. Natamani atoe uchambuzi na maoni kwa Serikali na dunia Nini kifanyike kumnasua Freeman haraka kwenye huu mtego utakaomuweka maabusu mwaka mzima.
Naona Mbowe ananigwa na kugalagala pekeyake. Sio Salum Mwalimu, Zitto, Mbatia, Shibuda, Viongozi wa dini wanaoshugulika ata kumuongelea au kusisitiza haki kufuata mkondo wake.
Tundu kaa kimya hivyohivyo tusubiri mawe yaongee.
Pesa za wananchi zimeanza lini kuwa pesa za ccm...,?Nenda kwenye hopeless space yao uko Kila alhamis utaona anaongea wakiwa na wale kina dada ambao wamesomeshwa na pes aza ccm na mpaka leo wazazi wao wanahudumiwa na ccm na ndipo wanapata kiburi cause wanajua hata wakikosa kazi ccm ipo inatunza wazazi wao so Wana uhakika wa kula na kulala bure so wanakuja walisha matango pori kina mdude ambao wakizingua tu dakika mbili defender zipo mlangoni mwao
Hizo pesa ccm wanazitoa wapi?Nenda kwenye hopeless space yao uko Kila alhamis utaona anaongea wakiwa na wale kina dada ambao wamesomeshwa na pes aza ccm na mpaka leo wazazi wao wanahudumiwa na ccm na ndipo wanapata kiburi cause wanajua hata wakikosa kazi ccm ipo inatunza wazazi wao so Wana uhakika wa kula na kulala bure so wanakuja walisha matango pori kina mdude ambao wakizingua tu dakika mbili defender zipo mlangoni mwao
CCM inatoa wapi pesa?Nenda kwenye hopeless space yao uko Kila alhamis utaona anaongea wakiwa na wale kina dada ambao wamesomeshwa na pes aza ccm na mpaka leo wazazi wao wanahudumiwa na ccm na ndipo wanapata kiburi cause wanajua hata wakikosa kazi ccm ipo inatunza wazazi wao so Wana uhakika wa kula na kulala bure so wanakuja walisha matango pori kina mdude ambao wakizingua tu dakika mbili defender zipo mlangoni mwao
Je ndio ameamua kuwa kimya ili Mbowe akifungwa aje Kama Mwenyekiti mpya wa chama?!!.
Je ameamua kufuata mkondo wa Swahiba wake Zitto Zuberi Kabwe aliyekaribia kumsajili ACT-Wazalendo kuwa tusitegemee kuona akikosoa Kama Awamu iliyopita.
Nilimsikia kuwa alishawahi kupigiwa simu kwamba Mama anataka kuongea nae ila akashangaa ukimya. Je walishaongea na kumaliza tofauti zao hivyo hawezi kuiongelea kesi hii sababu anaweza kumuudhi mama. Au ni sehemu ya maongezi yao kuwa akae kimya.
Au Tundu Lissu anaamini Mbowe ni Gaidi kweli na ameona ushahidi unajitosheleza hivyo anaogopa kuongea hukumu ikaja kinyume akaumbuka.
Au amekumbuka kurudi home na amechoka kukaa uhamishoni hivyo anajitahidi kutouudhi utawala mpya kabla ya kurudi.
Au ndio fadhila ya kesi zake kufutwa.
Sipendi aongee kashfa zake hapana. Natamani atoe uchambuzi na maoni kwa Serikali na dunia Nini kifanyike kumnasua Freeman haraka kwenye huu mtego utakaomuweka maabusu mwaka mzima.
Naona Mbowe ananigwa na kugalagala pekeyake. Sio Salum Mwalimu, Zitto, Mbatia, Shibuda, Viongozi wa dini wanaoshugulika ata kumuongelea au kusisitiza haki kufuata mkondo wake.
Tundu kaa kimya hivyohivyo tusubiri mawe yaongee.
Alishaitolea maamuzi na kusema hakuna kesi na alimdharau sana Kingai. Je haukumbuki hii kesi ilipaswa kutupiliwa mbali mara baada watesi kukosea kuandika kesi.
Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
Alisema pale hakuna kesi na hiyo sio kesi.Yeye ni kama nani hadi atolee maamuzi kesi?
Kesi ya Mbowe sio yakumaliziwa hapo Mahakama za kina Jaji Siyani na Ibrahimu.Je ndio ameamua kuwa kimya ili Mbowe akifungwa aje Kama Mwenyekiti mpya wa chama?!!.
Je ameamua kufuata mkondo wa Swahiba wake Zitto Zuberi Kabwe aliyekaribia kumsajili ACT-Wazalendo kuwa tusitegemee kuona akikosoa Kama Awamu iliyopita.
Nilimsikia kuwa alishawahi kupigiwa simu kwamba Mama anataka kuongea nae ila akashangaa ukimya. Je walishaongea na kumaliza tofauti zao hivyo hawezi kuiongelea kesi hii sababu anaweza kumuudhi mama. Au ni sehemu ya maongezi yao kuwa akae kimya.
Au Tundu Lissu anaamini Mbowe ni Gaidi kweli na ameona ushahidi unajitosheleza hivyo anaogopa kuongea hukumu ikaja kinyume akaumbuka.
Au amekumbuka kurudi home na amechoka kukaa uhamishoni hivyo anajitahidi kutouudhi utawala mpya kabla ya kurudi.
Au ndio fadhila ya kesi zake kufutwa.
Sipendi aongee kashfa zake hapana. Natamani atoe uchambuzi na maoni kwa Serikali na dunia Nini kifanyike kumnasua Freeman haraka kwenye huu mtego utakaomuweka maabusu mwaka mzima.
Naona Mbowe ananigwa na kugalagala pekeyake. Sio Salum Mwalimu, Zitto, Mbatia, Shibuda, Viongozi wa dini wanaoshugulika ata kumuongelea au kusisitiza haki kufuata mkondo wake.
Tundu kaa kimya hivyohivyo tusubiri mawe yaongee.
Alitoa mawazo na sio maamuzi.Mwenye mamlaka ya kutoa maamuzi kisheria ni Mahakama na sio chombo kingine
Siri gani mkuu tofauti na ile ya aliyekuwa hasimu wake mkuu enzi zile b4 being deceiced.Siku Lissu akiwa nje ya ulingo wa siasa atafunguka mengi sana juu ya issue yake yakutandikwa risasi ila sina hakika kama wataruhusu afike huko kama hawatomchacha wangwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru kwa kuelewaAlitoa mawazo na sio maamuzi.Mwenye mamlaka ya kutoa maamuzi kisheria ni Mahakama na sio chombo kingine
Mbona tuko nae kwenye Clubhouses na Spaces na anaongea points tupu? Au Lisu gani unayemsemea?Je ndio ameamua kuwa kimya ili Mbowe akifungwa aje Kama Mwenyekiti mpya wa chama?!!.
Tupo pamoja boss
Kuwa mtulivu tu utayasikia wakati ukifika ila msije kusema kanunuliwa tu.Siri gani mkuu tofauti na ile ya aliyekuwa hasimu wake mkuu enzi zile b4 being deceiced.
Kule Twitter anaongea Sana kwenye Maria space ,lakini pia Tundu Antipas lissu ndie anaengoza jopo la kamati ya ufundi upande wa mawakili Kwa hyo ninachokiamini wapo pamoja na mboe Kwa asilimia Mia ,,,Je ndio ameamua kuwa kimya ili Mbowe akifungwa aje Kama Mwenyekiti mpya wa chama?!!.