Mikopo Consultant
JF-Expert Member
- Oct 28, 2024
- 2,375
- 4,784
Amka usingizini.Ukweli ni kwamba asilimia kubwa sana ya wananchi wa Iran wamechoka kabisa na utawala huu wa sasa na wangependa kuona mabadiliko ya kiutawala yakifanyika nchini Iran.
Mwandishi wa makala hii ameandika ukweli mkubwa sana.USA naye analiwa taiming akijichanganya kuingia kwenye hii vita direct Usuper power ndo bye bye na mchina Anachukua atamu
Kabisa,wahuni wanataka kutumia hii kimng'oa hapo mashariki ya kati, maana akishazidiwa,waliomzidi watawataka waarabu wamwambie asepeUSA naye analiwa taiming akijichanganya kuingia kwenye hii vita direct Usuper power ndo bye bye na mchina Anachukua atamu
Kwani wewe ndiye msemaji wa serikali ya Marekani? au unadhani zile ndege kubwa za kivita zinazo safiri umbali mrefu za Marekani,ni kwanini zimesogezwa kwenye Base yao wamarekani iliyopo visiwa vya Diego Gasia?Siku tatu zilizopita ilionekana kwamba US angeingia vitani, ila kwa hali ilivo sasa hiyo option inaenda ikipotea. Atachofanya US kuipa silaha Israel lakini sio direct involvement.
Kuna jambo limemuogopesha US kuingia kichwa kichwa, na hapo ni baada ya Iran kupiga Hypersonic bomb na pia intensity ya mashambulizi ya Iran kule Israel ni kama inazidi kuwafikirisha US kutokana na Iron Dome kuonekana kuelemewa kazi.
Wakiingia vitani US, maana yake zile bases zote za US middle East zitakuwa under attack, kitu ambacho kitawalazimu US kufanya land invasion ambayo ni vita kamili.
Sasa kulingana na experience yao ya Afghanstan, kule Iran land invasion itakuwa very costful kwa US na kuna hatari ya wao kushindwa kufanikisha malengo yao.
Kuingia kwenye vita kamili na Iran, ni jambo ambalo US administration hailitaki kwa sasa ukizingatia ya kwamba Federal Debt ipo katika record high 37 Trillion na kuingia vitani maana yake itawabidi deni liendelee kuwa kubwa zaidi, kitu ambacho kinaweza break american economy na kusababisha dollar iweze ku crash.
Lakini kuna suala lingine tata, nalo ni, Russia na China. Mpaka sasa inaonekana wapo kimya strategically, na inaonekana wanajipanga kimya kimya kuona ikiwa US atajiingiza vitani ili nao wa declare sides. Na inapojiingiza Russia dhidi ya Marekani, tutashughudia vita ya tofauti kabisa ukifananisha na Ukraine.
Kwa hiyo, hakuna probability ya US ku join directly hii vita, ingeweza kuingia mazima endapo kama Iran ingeonesha sign of weakness, ila resilience ya Iran imewatisha wakubwa wa NATO, unaweza kusema hivo.
Hakuna muiran aliechoka na utawara wa sasa wa Iran, hizo unazoleta wewe ni propaganda za kimagharibi, jibidishe kutafuta ukweli na ukweli uo usitegemee kuupata kupitia vyombo vya hbr vya kimagharibi bro.Israel bado ina turufu kubwa katika vita hivi ambayo ni kuwaua viongozi wakuu wa Iran uwezo ambao wanao sana na ikitokea hilo itabadilisha kabisa mwenendo wa mambo.
Ukweli ni kwamba asilimia kubwa sana ya wananchi wa Iran wamechoka kabisa na utawala huu wa sasa na wangependa kuona mabadiliko ya kiutawala yakifanyika nchini Iran.
Viongozi hao wakilengwa na kuuliwa hakuna uongozi mwingine utakaokuja na kuendeleza hayahaya yanayoendelea sasa.
Akijichanganya amekwisha nafikiri CIA wanatambua iloKabisa,wahuni wanataka kutumia hii kimng'oa hapo mashariki ya kati, maana akishazidiwa,waliomzidi watawataka waarabu wamwambie asepe
Sio rahisi kama unavyoawazaKabisa,wahuni wanataka kutumia hii kimng'oa hapo mashariki ya kati, maana akishazidiwa,waliomzidi watawataka waarabu wamwambie asepe
Ni lini umejua kuwa CIA wanalijua hilo?Akijichanganya amekwisha nafikiri CIA wanatambua ilo
Kauli za PutinSio rahisi kama unavyoawaza
Usipinge Kwa hoja nyepesi,ukweli ni kwamba utawala wa Iran,Kuna mambo yanayolalamikiwa na wananchi mfano ukatili wa Police wa maadili,imekuwa ni kero,wamekuwa wakitoa adhabu ambazo hazina uwiano na kosa, mfano unakuta mtu hajavaa hijab, halafu unampa adhabu ya kummalizaHakuna muiran aliechoka na utawara wa sasa wa Iran, hizo unazoleta wewe ni propaganda za kimagharibi, jibidishe kutafuta ukweli na ukweli uo usitegemee kuupata kupitia vyombo vya hbr vya kimagharibi bro.
Maneno yako ni 💯Siku tatu zilizopita ilionekana kwamba US angeingia vitani, ila kwa hali ilivo sasa hiyo option inaenda ikipotea. Atachofanya US kuipa silaha Israel lakini sio direct involvement.
Kuna jambo limemuogopesha US kuingia kichwa kichwa, na hapo ni baada ya Iran kupiga Hypersonic bomb na pia intensity ya mashambulizi ya Iran kule Israel ni kama inazidi kuwafikirisha US kutokana na Iron Dome kuonekana kuelemewa kazi.
Wakiingia vitani US, maana yake zile bases zote za US middle East zitakuwa under attack, kitu ambacho kitawalazimu US kufanya land invasion ambayo ni vita kamili.
Sasa kulingana na experience yao ya Afghanstan, kule Iran land invasion itakuwa very costful kwa US na kuna hatari ya wao kushindwa kufanikisha malengo yao.
Kuingia kwenye vita kamili na Iran, ni jambo ambalo US administration hailitaki kwa sasa ukizingatia ya kwamba Federal Debt ipo katika record high 37 Trillion na kuingia vitani maana yake itawabidi deni liendelee kuwa kubwa zaidi, kitu ambacho kinaweza break american economy na kusababisha dollar iweze ku crash.
Lakini kuna suala lingine tata, nalo ni, Russia na China. Mpaka sasa inaonekana wapo kimya strategically, na inaonekana wanajipanga kimya kimya kuona ikiwa US atajiingiza vitani ili nao wa declare sides. Na inapojiingiza Russia dhidi ya Marekani, tutashughudia vita ya tofauti kabisa ukifananisha na Ukraine.
Kwa hiyo, hakuna probability ya US ku join directly hii vita, ingeweza kuingia mazima endapo kama Iran ingeonesha sign of weakness, ila resilience ya Iran imewatisha wakubwa wa NATO, unaweza kusema hivo.
-Kaishia kutoa kauli,then nini atafanya? Subiri hadi afanyeKauli za Putin
. Iran anapambana na tunaopambana nao
. regime change haikubaliki Iran
Zina ujumbe ndani yake
Kwani mgogoro umefika wapi hadi afanye lolote?..hili ni suala la silaha na intelijensia siyo ushawishi wa kiuchumi,china hana ushawishi wa kiuchumi?-Kaishia kutoa kauli,then nini atafanya? Subiri hadi afanye
- influence ya Russia world wide ni kiasi gani? Ana economy ya kutosha compared to USA?