Hapo kuna mchina, Korea, mrusi na wote sio ni dini tofauti
Iran kashambuliwa kwa makusudi na wengi tuko upande wake haijalishi Una dini gani
Ila nimeandika kwa sababu kuu moja mataifa mengine sio tu wanaunga mkono bali hata silaha wanapeleka kama Pakistan
Kuna maandamano ya uungwaji mkono kwa Iran mpaka Venezuela ambako wanapinga Imperialism ya wazungu na wameonyesha misimamo yao
Kwa Bongo wakitangaza tunamuunga mkono Iran hoja itabadilika kabisa kwa sababu ndio tulivyo
Wengine hawana tatizo hilo na wanasema kabisa wako upande gani kama ni Israel au Iran
Unaona mijadala na hoja za watu humu zipoje