Kuna sababu kubwa za Marekani kutokuingilia vita ya Israel - Iran

Kwani mgogoro umefika wapi hadi afanye lolote?..hili ni suala la silaha na intelijensia siyo ushawishi wa kiuchumi,china hana ushawishi wa kiuchumi?
  • china wenzio wanalinda uchumi hawawezi kujihusisha na vita kirahisi kwa sababu wanaogopa kushuka kiuchumi.
  • Nitajie vita alizopigana china hapa ulimwenguni
 
  • china wenzio wanalinda uchumi hawawezi kujihusisha na vita kirahisi kwa sababu wanaogopa kushuka kiuchumi.
  • Nitajie vita alizopigana china hapa ulimwenguni
We jamaa bana,jana kapeleka meli vita mbili ghuba ya Iran kufanya nini?..Iran ni chimbo lake la mafuta bei chee,inayosaidia bidhaa zake kuwa bei chee
 
Kuua viongozi wa kijeshi ni kwa ajili ya public optimism ila sio kitu kina impact kubwa. Kitachofanyika ni kuchaguliwa viongozi wengine and luckly, wakawa wazuri zaidi.
 
Amka usingizini.
Iran Kuna maandamano makubwa Sana ya kuwapinga Marekani na Israel.
Wananchi wa Iran wameungana sana sasa kuliko wakati mwingine wowote.
Hii pia ni sababu, wanasema kuwa wa Iran inapokuja suala la ku support serikali yao dhidi ya uvamizi, huwa ni wazalendo kupita kiasi. Maana yake hakuna mtu atakatiza kirahisi kwenye ardhi ya wairan.. labda waishie vita vya anga tu
 
Na hii ndo imewaogopesha NATO. Halafu missile arsenal ya Iran ni zaidi ya makombora 500,000 maana yake ana uwezo wa kusustain vita vikali kwa mwaka mzima
 
Kabisa,wahuni wanataka kutumia hii kimng'oa hapo mashariki ya kati, maana akishazidiwa,waliomzidi watawataka waarabu wamwambie asepe
Naona bado US wanatafakari options. Ila leo Iran kuna mtetemo wa ardhi inasadikiwa wamejaribu nuclear, kitu kinachobadilisha mwenendo wa hii vita kwa sasa
 
Kwani wewe ndiye msemaji wa serikali ya Marekani? au unadhani zile ndege kubwa za kivita zinazo safiri umbali mrefu za Marekani,ni kwanini zimesogezwa kwenye Base yao wamarekani iliyopo visiwa vya Diego Gasia?
Mi sio msemaji, ila nimeangalia mwenendo mzima wa namna mambo yanavyokwenda. Ni maoni tu binafsi tu kwa sasa
 
Na hata Iraq washia ni wengi kwahiyo mu Iran ana support kubwa.

Mchina na Russia atatumia hii fursa kusambaza silaha Iran ili iwatetemeshe Europe na US
 
Hakuna muiran aliechoka na utawara wa sasa wa Iran, hizo unazoleta wewe ni propaganda za kimagharibi, jibidishe kutafuta ukweli na ukweli uo usitegemee kuupata kupitia vyombo vya hbr vya kimagharibi bro.
Mkuu hivi kwa nini watu wengi huwekaga neno hakuna kwenye suala ambalo linahusisba mamilion ya watu??
Kwa akili ya kawaida taifa lenye watu mil 90 inawezekanaje wote wakautaka utawala uliopo?

Hata kiongozi uwe mzuri kiasi gani haitokuja kutokea watu wote nchi nzima wakawa wanaupenda utawala wako
Ungetumia neno "wengi", ungesema wairan wengi wanaupenda utawala wa Sasa na wachache hawaupendi
 
Nilichojufunza wabongo tumejaliwa hisia sana kwenye mambo mengi critical
 
Mkuu. kwani ulikuwa hujuwi kuwa hii vita ni ya Marekani na Iran, Israel inatumiwa tu kama chambo ila mwenye vita haswa ni Marekani anataka kuiangamiza Iran kwa sababu wana visima vya nyuklia.
 
Yes 500,000 mkuu hii ni tathmini walifanya Wataalamu fulani na wachambuzi, sio maneno yangu
Hao wataalamu umewasingizia tu, hizo ndoto zako
Mkuu kuna jambo ukiandika linafanya satu waone hauelewi chochote. Makombora hayawezi kuwa laki

Wewe nenda Google kasome number of missiles by each country. Utajifunza kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…