Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 10,586
- 7,976
Unaona enheeee, wewe umeamka kwa mshangao...wenzako hawalali wanawaza kulimbikiza makombora kutaka kuangamiza taifa lote liteketetee.Nimeshtuka nilipoona kuna nchi duniani ina makombora laki 5, usingizi wote ukakataš
Alafu jamaa yupo serious kabisa
Mchina ameishapeleka silaha nyingi sana kutumia ndege za mizigo.Na hata Iraq washia ni wengi kwahiyo mu Iran ana support kubwa.
Mchina na Russia atatumia hii fursa kusambaza silaha Iran ili iwatetemeshe Europe na US
Aliyekuambia ni nani? Au mnapenda tu speculation. Hivi wamarekani wangapi hawamtaki Trump? Je inahalalisha kwenda kumng'oa kwa vita au mauaji?Ukweli ni kwamba asilimia kubwa sana ya wananchi wa Iran wamechoka kabisa na utawala huu wa sasa na wangependa kuona mabadiliko ya kiutawala yakifanyika nchini Iran.
Mbona unaleta udini wakati Iran anapigania haki , sisi syo waislam lakin tuko na Iran maana kavamiwa hizi dini uliletewa kimtego amkaMchina ameishapeleka silaha nyingi sana kutumia ndege za mizigo.
Zimeonekana tangu zinaondoka šØš³ ila zilipofika karibu na mpaka wa Iran wakafunga ili isionekane kwenye satellites
Vita mbaya sana ndio maana Ulaya wanaitisha kikao na Iran, na hawataki kuburuzwa kama mwanzo.
Iran na Iran hawako vizuri hivyo hao Shia lakini lilipokuja hili la Iran kujibu mapigo basi wa Islam wote wako pamoja na Iran.
Tatizo vita inaleta dhiki na uchumi kushuka, bidhaa kupanda bei na hata ajira zitapungua na watu watafukuzwa sana makazini kwa kubana matumizi
Tuombe vita iishe na sio ya kuifurahia.
wewe msemaji wa USA wasemee watu wako,asikupangie mtuKwani wewe ndiye msemaji wa serikali ya Marekani? au unadhani zile ndege kubwa za kivita zinazo safiri umbali mrefu za Marekani,ni kwanini zimesogezwa kwenye Base yao wamarekani iliyopo visiwa vya Diego Gasia?
Hapo kuna mchina, Korea, mrusi na wote sio ni dini tofautiMbona unaleta udini wakati Iran anapigania haki , sisi syo waislam lakin tuko na Iran maana kavamiwa hizi dini uliletewa kimtego amka
Nimekusoma mkuu .Hapo kuna mchina, Korea, mrusi na wote sio ni dini tofauti
Iran kashambuliwa kwa makusudi na wengi tuko upande wake haijalishi Una dini gani
Ila nimeandika kwa sababu kuu moja mataifa mengine sio tu wanaunga mkono bali hata silaha wanapeleka kama Pakistan
Kuna maandamano ya uungwaji mkono kwa Iran mpaka Venezuela ambako wanapinga Imperialism ya wazungu na wameonyesha misimamo yao
Kwa Bongo wakitangaza tunamuunga mkono Iran hoja itabadilika kabisa kwa sababu ndio tulivyo
Wengine hawana tatizo hilo na wanasema kabisa wako upande gani kama ni Israel au Iran
Unaona mijadala na hoja za watu humu zipoje
Umetoka kwenye ule uzi mwingine wa kitoto ambao mnakesha kubishana umekuja na huku kubishana tena!? Wenzio wanaweka tafakuri za hoja, weka na wewe zako.Hao wataalamu umewasingizia tu, hizo ndoto zako
Mkuu kuna jambo ukiandika linafanya satu waone hauelewi chochote. Makombora hayawezi kuwa laki
Wewe nenda Google kasome number of missiles by each country. Utajifunza kitu
Nyinyi ndio Ile misukule ya Marekani na IsraelIsrael bado ina turufu kubwa katika vita hivi ambayo ni kuwaua viongozi wakuu wa Iran uwezo ambao wanao sana na ikitokea hilo itabadilisha kabisa mwenendo wa mambo.
Ukweli ni kwamba asilimia kubwa sana ya wananchi wa Iran wamechoka kabisa na utawala huu wa sasa na wangependa kuona mabadiliko ya kiutawala yakifanyika nchini Iran.
Viongozi hao wakilengwa na kuuliwa hakuna uongozi mwingine utakaokuja na kuendeleza hayahaya yanayoendelea sasa.
Angekuwepo Nyerere leo asingepepesa macho, bali angekemea vikali tena hadharani bila wogaNimekusoma mkuu .
Wabongo tusimame ktk haki hizi dini tulizoletewa ni mtego tu waliotuletea wenyewe wanatucheka
Unataka watu wote wawe na mawazo yanayofanana na ya kwako. Hivyo na sisi tukisema na wewe ni msukule wa Iran tutakuwa tumekosea.Nyinyi ndio Ile misukule ya Marekani na Israel
Kuendeleza hayo hayo yapi?
This is a great lie, there is no a country in the world that possess that quantity of missiles.Na hii ndo imewaogopesha NATO. Halafu missile arsenal ya Iran ni zaidi ya makombora 500,000 maana yake ana uwezo wa kusustain vita vikali kwa mwaka mzima
Mbona na wewe unaleta tu propaganda za vyombo vya habari vya Iran ambavyo ni mali ya serekali ya Iran ikizingatiwa kwamba vyombo vya habari vya nje haviruhusiwi kufanya kazi ndani ya Iran.Hakuna muiran aliechoka na utawara wa sasa wa Iran, hizo unazoleta wewe ni propaganda za kimagharibi, jibidishe kutafuta ukweli na ukweli uo usitegemee kuupata kupitia vyombo vya hbr vya kimagharibi bro.