Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaonekana unatazama sana movie. Watu hapa hawaongelei movie.Ongea yote usikanyage MEXICO......south africa ina subiria mbali sana ukiangalia kwa video zao wakiwa wanafanya mauji sidhani kama south africa inawakuta
Makanisa yapo. Wanaijeria wanafungua sana makanisa huko. South Africa kwa uhalifu na ushoga iko mstari wa mbele.Mungu na wanadamu
Makanisa je yapo
Misikiti je ipo
Wanasali hawa?
Siongelei movie naongelea facts uliwahi video za live leak za mexico wewe au google most dangerous country mexico number 1 kwa crimeInaonekana unatazama sana movie. Watu hapa hawaongelei movie.
rio de JaneiroSasa hujatembea sehemu zingine za dunia unataka kusema South Africa ndio sehemu hatari ya kuishi.
Kuna nchi kama Haiti, El Salvador hizi ni moto wa kuotea mbali raia karibu wote washapinda.
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Nakubaliana na wewe ni baada ya Rais Bitozi Bukele kuua magenge yote ya wahuni, pigwa risasi hadharani ukinusurika na kuuwawa na polisi unaishia jela, miaka 2 nchi ina usalama wa hali ya juu.Acha uongo el salvador ni nchi salama kuliko nchi zote za caribbean kwa hiki kipindi cha miaka miwili
El salvador ni kainch kadogo watu million 5 ni rahis kudhibiti uhalifuNakubaliana na wewe ni baada ya Rais Bitozi Bukele kuua magenge yote ya wahuni, pigwa risasi hadharani ukinusurika na kuuwawa na polisi unaishia jela, miaka 2 nchi ina usalama wa hali ya juu.
Ila sidhani South inawafikia Mexico, Columbia na Haiti. Kule uhalifu ni mkubwa sana.
Ukija Afrika, Central Africa, Congo DRC, South Sudan, Somalia, Nigeria nk ni worse kuliko South Africa.
Kuna wakati nadhani 2006 ilionesha 1.Rio de Janeiro 2.Mahali flani Colombia 3.JobergOngea yote usikanyage MEXICO......south africa ina subiria mbali sana ukiangalia kwa video zao wakiwa wanafanya mauji sidhani kama south africa inawakuta
Brother waulize wa Ethiopia Somalian na wenyewe wa SA ugomvi wa route za tax utajua hayo yanayofanyika mexico SA yanafanyika sanasouth Africa wanauwana kwa kupigana sana risasi,ila nchi za S.America wanauwana sana tena kinyama,kuchinjana,kukatana miili vipande kama mishakaki,ni vile zipo mbali hatusikii mamabo yao.
😂😂😂😂 ukirud bongo unaona kama watu wapoje ? Nyie jamaa bwanakila mtu ana bunduki hilo ni tatizo kubwa na mambo ya ushoga imekuwa balaa kiufupi siyo sehemu ya kuishi na familia, ni sehemu ya kula bata au biashara tu, ila kwa pisi kali ukija tanzania mademu zetu unawaona kama masokwe
Na Yale ya Sicily vipi wao wameshakamilika!?Maisha ya South Afrika ni uthibitisho tosha kuwa Evolution ya mwafrika haijakamilika!
Ya kwanza ni Venezuela na ni Caracas ya pili ndio Mexico, hapo ciudad juarez hata ivyo cape town ni ya tatu hii ni dunia nzima na cape town ina watu wengi kuliko caracas na coudad kwahiyo mkuu usibeze S.A ni noma sana mkuuSiongelei movie naongelea facts uliwahi video za live leak za mexico wewe au google most dangerous country mexico number 1 kwa crime
Rio na Sao nmekaa hapo miaka 2rio de jeneiro
carcass
Trench town
haiti
South Africa ni risasi tu ikizidi sana mtu kachomwa kisu.Brother waulize wa Ethiopia Somalian na wenyewe wa SA ugomvi wa route za tax utajua hayo yanayofanyika mexico SA yanafanyika sana