Kuna sehemu hatari kuishi kama South Africa?

Kuna sehemu hatari kuishi kama South Africa?

mwezi wa 10 last yeakr niliingia south Africa. Ila February nikarud bongo nilifanikiwa kutembelea mikoai karibu yote

South Africa kimaendeleo imezidi nchi nyingi sana za ulaya ,Asia ,na america yaani south Africa ipo mbali san kiuchumi.

Tatizo Ina raia wenye hasira sana mara nyingi ni watu wenye kinyongo na kulipa kisasi yan dakika sifuri tu unawezA kupoteza uhai

Swala la mapenzi south Africa ni next level Kuna mchezo unaitwa sleep over.
Yani unawezA kukutana bint kituo Cha tren ukaomba namba ukifika home unamuomba aje alale kwako simply anakuja kesho anaondoka then unatafuta mwingine simply tu.

Shule south Africa wanafunzi wanavaa nusu uchi kama south Korea .
Ushoga na usagaji kwao sio kitu Cha kushangaza.
Afghanstan
 
.....enzi za kina Tkzee, Mdu Masilela, Arthur Mafokate, Zola7..... huku unakutana na Mapanstula...yaani ni ilikuwa ni full vibe[emoji3]
Dah, Tkzee umenikumbusha mbali sana, Dlala Mapantsula, chanel O wakati huo likipigwa goma la Zola7 - Don't cry.. S.A sijawahi fika ila nitafika tu siku moja
 
Hasa iyo El salvador kuna makundi mawili moja linaitwa MS 13 na 18.yan kila raia anaezaliwa lazma awe kund moja kati ya hao na wana mitaa.
Sasa hujatembea sehemu zingine za dunia unataka kusema South Africa ndio sehemu hatari ya kuishi.

Kuna nchi kama Haiti, El Salvador hizi ni moto wa kuotea mbali raia karibu wote washapinda.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Nimeishi SA cape town Pretoria na Joberg kuhusu wasichana Pretoria wale Tswana girls ni habari ingine na Ile lugha Yao ndio kabisa very sex akikuangalia unaweza kuogopa kumtongoza ila hawana shida wako straight sana kwenye mapenzi mnaweza msimalize dk 3 hasa mkiwa mmefanya eye contact au MKo field Moja
Usalama SA ni almost zero Ile nchi hapana crime rate has Jose Durban Pretoria yenyewe Cape yote TU Mzungu mbaya mweusi mbaya mcolored mbaya shida tupu kufa ni kugusa
Yani asubuhi hadi jioni mmekaa kama MKo vitani ila uzuri wao uchawi hakuna kama huku kwetu
Uchawi upo kaka WA kutosha Na chuo cha kusomea kipo
 
Dah, Tkzee umenikumbusha mbali sana, Dlala Mapantsula, chanel O wakati huo likipigwa goma la Zola7 - Don't cry.. S.A sijawahi fika ila nitafika tu siku moja
Nenda siku moja Mkuu. Actually, South Africa ipo Africa by location ile ni Ulaya. Tena ukifika Johannesburg chukua hotel kule New City halafu starehe kafanyie Old City ndio kuna bata za kufa mtu. Ila hakikisha hapo hotelini kwako wamekupa mtu wa kukusindikiza (anayejua mkono) ndio uende Old City. Hapo utafurahia bata za huko.
 
Back
Top Bottom