Kuna sehemu hatari kuishi kama South Africa?

Kuna sehemu hatari kuishi kama South Africa?

Acha uongo el salvador ni nchi salama kuliko nchi zote za caribbean kwa hiki kipindi cha miaka miwili
Nakubaliana na wewe ni baada ya Rais Bitozi Bukele kuua magenge yote ya wahuni, pigwa risasi hadharani ukinusurika na kuuwawa na polisi unaishia jela, miaka 2 nchi ina usalama wa hali ya juu.

Ila sidhani South inawafikia Mexico, Columbia na Haiti. Kule uhalifu ni mkubwa sana.

Ukija Afrika, Central Africa, Congo DRC, South Sudan, Somalia, Nigeria nk ni worse kuliko South Africa.

Asia kuna Afghanistan, Pakistani, Iraq, Yemen kule magenge ya wahuni ni nje nje unakuta mtu yuko saluni na AK47 anayoa. Kinyozi ana hand launcher Anti-aircraft na siraha za hatari hapo jirani.
 
Nakubaliana na wewe ni baada ya Rais Bitozi Bukele kuua magenge yote ya wahuni, pigwa risasi hadharani ukinusurika na kuuwawa na polisi unaishia jela, miaka 2 nchi ina usalama wa hali ya juu.

Ila sidhani South inawafikia Mexico, Columbia na Haiti. Kule uhalifu ni mkubwa sana.

Ukija Afrika, Central Africa, Congo DRC, South Sudan, Somalia, Nigeria nk ni worse kuliko South Africa.
El salvador ni kainch kadogo watu million 5 ni rahis kudhibiti uhalifu
 
Ongea yote usikanyage MEXICO......south africa ina subiria mbali sana ukiangalia kwa video zao wakiwa wanafanya mauji sidhani kama south africa inawakuta
Kuna wakati nadhani 2006 ilionesha 1.Rio de Janeiro 2.Mahali flani Colombia 3.Joberg
Ni kweli Kuna miji mingi mibaya ya kuishi ila Joberg ikifika 12 jioni usafiri wa uma unastop ili kupunguza crime ule mji mkuu acha kabisa
 
south Africa wanauwana kwa kupigana sana risasi,ila nchi za S.America wanauwana sana tena kinyama,kuchinjana,kukatana miili vipande kama mishakaki,ni vile zipo mbali hatusikii mamabo yao.
Brother waulize wa Ethiopia Somalian na wenyewe wa SA ugomvi wa route za tax utajua hayo yanayofanyika mexico SA yanafanyika sana
 
kila mtu ana bunduki hilo ni tatizo kubwa na mambo ya ushoga imekuwa balaa kiufupi siyo sehemu ya kuishi na familia, ni sehemu ya kula bata au biashara tu, ila kwa pisi kali ukija tanzania mademu zetu unawaona kama masokwe
😂😂😂😂 ukirud bongo unaona kama watu wapoje ? Nyie jamaa bwana
 
Siongelei movie naongelea facts uliwahi video za live leak za mexico wewe au google most dangerous country mexico number 1 kwa crime
Ya kwanza ni Venezuela na ni Caracas ya pili ndio Mexico, hapo ciudad juarez hata ivyo cape town ni ya tatu hii ni dunia nzima na cape town ina watu wengi kuliko caracas na coudad kwahiyo mkuu usibeze S.A ni noma sana mkuu
 
Brother waulize wa Ethiopia Somalian na wenyewe wa SA ugomvi wa route za tax utajua hayo yanayofanyika mexico SA yanafanyika sana
South Africa ni risasi tu ikizidi sana mtu kachomwa kisu.
kule latin America ukishauliwa viungo vyako vya mwili vinatenganishwa vinakatwa kama mishkaki alafu vinasambazwa barabarani.
 
Back
Top Bottom