Kuna sehemu hatari kuishi kama South Africa?

Mexico Kundi za DRUGS DEALER ndo ishu ila ukiamua kuishi kwa hamsini zako bila kuingilia Anga zao hakuna tabu utapata
Ila sasa SOUTH kuna VITA aina nyingi sana ambavyo vinaweza kukutoa UHAI wako muda wowote
Cape town wood stock hata kama unapita na hamsini tena mchana bado unakuwa maiti Ile nchi hapana aisee security ni issue sana SA
Mtaani unaulizwa "money or bullet "hapo ni kama umejichanganya ukatembea kwenye zile highway juu
 
Hait je? Mji mkuu wa Port-au-Prince una magenge ya uhalifu zaidi ya 200! Rais aliuwawa ndani ya makazi yake! Waziri mkuu alienda Kenya kukamilisha dili ya polisi wa Kenya kwenda Hait akapigwa mkwara na mkuu wa genge la uhalifu asirudi nchini mwake, na kweli hajarudi na akajiuzulu!
 
South Africa ni risasi tu ikizidi sana mtu kachomwa kisu.
kule latin America ukishauliwa viungo vyako vya mwili vinatenganishwa vinakatwa kama mishkaki alafu vinasambazwa barabarani.
Nilikuwa naangalia interview moja ya Hitman kutoka Mexico, alifungwa jela sasa si unajua jela ubabe ubabe kuna kingpin mmoja aliwazingua wenzie, aisee anasema walimkata kichwa halafu kile kichwa wakawa wanachezea kama mpira wa basketball.

Hatari sana.
 
Lazima nitafika tu mkuu Mungu akinijaalia uhai. Naipenda sana ile nchi kuanzia historia yake, mziki wake mpaka lifestyle, kibaya tu imekuja kuharibika sana kwa sasa.
 
Bunduki haiwezi kuwa dawa ya uhalifu pengine itakupa ile hali ya kujiamini tu kiasi fulani.

Kumbuka katika hao hao wahalifu, wengine ni ex soldiers, Polices and experts katika matumiza ya silaha, mimi huwa nasema ni kuwahiana maana chuma haina mjanja.
 


World crimes index of 2023 miji ya Joburg, Pretoria na Durban inashika nafasi ya 3, 4 na 5, ni miji hatari sana kuishi kuliko mnavyofikiria
 
huko jela zao sasa ni bora ufe tu.

namba chafu hizi hapa.
πŸ‘‡
Rosallo Reta.
Miguel Gallardo.
Amadoo Fuentes.
Osiel Guillen.
Jorge Alberto Rodriguez.
Grelda Blanco n,k

wengine hapo wapo jela na huko jela wanafanya matukio mpaka unabaki mdomo wazi.
 
Kuna nchi hazina amani sababu ya vita Lakini uliondoka vita unakuta watu wake Sio katili
Sasa watu wanachanganya kati ya vita na matukio ya raia mmoja mmoja,nchi kama Somalia, Afghanistan, Sudan na Congo πŸ‡¨πŸ‡© hawa wameathiriwa na vita lakini sio tatizo kwa raia,tusichanganye hapo
 
Ndio waafrica tunaonyeshwa ingali bado tupo duniani,kuwa bila ya Wazungu kamwe tusingestarabika.umo kote ni waafrica tu.halafu wanaibuka wanasiasa na habari ya tujitawale wenyewe,ila kwa jicho la tatu hatuwezi.
Sasa watu wanachanganya kati ya vita na matukio ya raia mmoja mmoja,nchi kama Somalia, Afghanistan, Sudan na Congo [emoji1078] hawa wameathiriwa na vita lakini sio tatizo kwa raia,tusichanganye hapo
Congo ukitoa vita bado kuna raia ni vibaka ubabe wanafanya mchana kweupe wapiga wanapora mbele ya polisi na polisi hawana cha kuwafanya polisi n'a wanajeshi pia nao wanapora mchana kweupe

Sent from my PRA-LA1 using JamiiForums mobile app
 
Shekhe usisikie Kuhusu MEXICO
Mkuu kuna Mexico , hatari sana hii...

1πŸ‡―πŸ‡² Jamaica53.3
2πŸ‡»πŸ‡¨ St. Vincent and the Grenadines40.4
3πŸ‡ΉπŸ‡Ή Trinidad and Tobago39.5
4πŸ‡±πŸ‡¨ Saint Lucia36.7
5πŸ‡­πŸ‡³ Honduras35.1
6πŸ‡ΏπŸ‡¦ South Africa34.0
7πŸ‡§πŸ‡Έ Bahamas31.2
8πŸ‡°πŸ‡³ St. Kitts and Nevis29.4
9πŸ‡§πŸ‡Ώ Belize27.9
10πŸ‡ͺπŸ‡¨ Ecuador27.9

Na hizo ni Homicide rate per 100,000 people.
 
The ten most violent cities in the world are:

Tijuana, Mexico
Acapulco, Mexico
Caracas, Venezuela
Ciudad Victoria, Mexico
Ciudad JuΓ‘rez, Mexico
Irapuato, Mexico
Ciudad Guayana, Venezuela
Natal, Brazil
Fortaleza, Brazil
Ciudad BolΓ­var, Venezuela

Masela wa Keko wenyewe huku hawapawezi mkuu.
 
Haiti kuna sehemu inaitwa Port-au-Prince,serikali ikitaka kwenda kufanya jambo la kiserikali kwa wananchi ni lazima waombe kibali au watoe taarifa kwa Gang Leader Jimmy Bebycyu.serikali ikiingia kichwakichwa awatoki.
hatari sana mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…