Kuna sehemu yenye joto zaidi ya Ifakara Tanzania?

Dar watu wanakuza sana mambo.. bado sijaona hilo joto la kulia lia hivi.
Kinachofanya joto la Dar liwe baya ni humidity. Humidity iko very high kwa sababu ya bahari na maji chumvi hivyo kufanya mwili kushindwa ''kupumua'' Huko kwingine mnakosema ukikaa sehemu ya uwazi ambayo haina direct sunshine huwezi kujisikia vibaya kama Dar.
 
Hao wana kupotosha nenda ukanda wa mlima nyang'oro uone motooo
 
Mkoa wa Kilimanjaro wilaya ya Moshi ndio unaogoza kwa joto kwasasa hata Dar inangoja.....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…