Kuna shule za serikali zinaperform vizuri sana, hebu cheki hii

Wanaopangiwa huko ni watoto wanaopenda kusoma, waliopata A zote matokeo ya la saba.

Kama Ilboru, kisimiri na mzumbe.

Kama mwanao hapendi kusoma, unampa pole kwamba 'asikilize kipaji chake' 'elimu sio kila kitu' huko ataingia labda kwa hongo na atakuwa kilaza wa darasa.
 
Hello JF,

Hi shule ya government, wamefanya vizuri sana na huwa wanafanya vizuri Sana

Imagine mwanao amepangiwa shule hii

Hii ndio shule aliyesoma:-
1.Kikwete
2.Mbowe
3.Ndugai
4.Salum Mwalimu
5.Lazaro Nyarandu
6.Leodgar Tenga
A lot of doctors and PhD holders wamepita hapa,.........walimu hawana mchango wowote kwenye hii shule,usijidanganye kama mwanao kilaza na una pesa mpeleke tu Marian,Feza akakalili,hapo vijana wanasoma kuelewa sio kukalili wapige A flats.
Hapo madogo wanajielewa kuliko 80% ya Tanzania adult population.
Hakuna dogo wa kuamshwa hapo,kuhimizwa kusoma,Wala kuchapwa sababu hajafanya homework,......unaweza ishi Kibaha/Tumbi mwaka mzima usiijue hio shule ipo wapi na hata ukiijua unaweza dhani haina wanafunzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…