Kuna shule za serikali zinaperform vizuri sana, hebu cheki hii

Kuna shule za serikali zinaperform vizuri sana, hebu cheki hii

Elimu ya bongo ukiwa na cramming capacity ya hali ya juu kupiga 1 ya 7 ni kugusa tu. Ukimeza syllabus yote ukakariri maswali ya revision na past papers unatoboa 100%.

Hilo ni moja, la pili ni kuhakikisha umeelewa kila topic na ukafanya sana mazoezi. It takes heart na hii ni kwa watoto ambao wana passion na shule hasa mkikutana sehemu moja you can do wonders. Kiulaini sana unatoboa sio unakuta shule kuna wavuta bangi mars wengine wanatoroka wanaenda disco usiku. Hakuna utulivu yani
 
Unakuta shule kwa mfano O level ndani ya miaka mitatu washamaliza sehemu kubwa sana ya syllabus ya miaka minne na hivyo basi wamebakia na muda mwingi wa kufanya revisions za kufa mtu na kama ulivyosema unakuta watoto wooote zinachaji mwisho wa siki zikipatipana 1 za single digit haishangazi.
Halafu hizo shule toka miaka hiyo huwa zina dhana/mbinu nzuri za kufundishia. Kwa mfano miaka hiyo kabla ya TV kuwa nyingi na hata kabla ya youtube kuwepo kuna shule moja ya seminary ilikuwa kwa mfano mwalimu akifundisha literature labda kitabu cha things fall apart basi anawawekea wanafunzi na filamu ambapo unakuta kuna maigizo ya hicho kitabu, na hao wanafunzi vilevile na wao wanaigiza tena as character wa hicho kitabu. sasa unakuta mtoto tayari ana akili za kutosha kabisa, then kaangalia filamu, then kaigiza, then kasolve past paper zoote, then kapiga test almost miezi 6 kujiandaaa, mwalimu mzuri yupo, vitabu vipo library sio vya kugombea shule nzima copy 5 wanafunzi mpo 80. Sasa huyu mwananfuzi akipata A ya english sio muujiza maana amendaliwa vilivyo tokea mapema sana.
 
hicho kipaji ni cha kurithi, kama mzazi ulikuwa unataga usidhani mwanao atafaulu hapo. Hakanyagi hiyo shule.
Kuna Mzee hata Darasa la saba hakumaliza. Na hata kusoma hajui vizuri, Mkewe ni Std VII..

Lakini Watoto wao wote ni Vipanga kinoma... Wamesomea St. Kayumba wakawa wanapangiwa Vipaji Maalum, Wote walikula Point 7 na Point 3 na Vyuo wamesomea Udaktari.. As of now wote ni Madaktari specialists...
 
Ndio maana ya kipaji, ni in born sio cha kufundishika.

Sio kila ambaye hajasoma basi ana uwezo mdogo. Huyo mzee na mke wake waliishia elimu ya chini, ila wangeenda shule za maana wangesoma hadi ngazi za juu. Hawakupewa opportunity
 
Kumbe akili unazo ila unajitoa ufahamu kupeleka watoto Ems.
Kumbe unajua fika kabisa kuwa Serikali haijawekeza vizuri kwenye shule zake

Sasa unavyowapoteza wenzako maboya kuwa wawatoe watoto wao EM's halafu wawapeleke shule za Kayumba lengo lako ni nini?
 
Kumbe unajua fika kabisa kuwa Serikali haijawekeza vizuri kwenye shule zake

Sasa unavyowapoteza wenzako maboya kuwa wawatoe watoto wao EM's halafu wawapeleke shule za Kayumba lengo lako ni nini?
Soma nilicho andika. You are very slow
 
Hii ndio shule aliyesoma:-
1.Kikwete
2.Mbowe
3.Ndugai
4.Salum Mwalimu
5.Lazaro Nyarandu
6.Leodgar Tenga
A lot of doctors and PhD holders wamepita hapa,.........walimu hawana mchango wowote kwenye hii shule,usijidanganye kama mwanao kilaza na una pesa mpeleke tu Marian,Feza akakalili,hapo vijana wanasoma kuelewa sio kukalili wapige A flats.
Hapo madogo wanajielewa kuliko 80% ya Tanzania adult population.
Hakuna dogo wa kuamshwa hapo,kuhimizwa kusoma,Wala kuchapwa sababu hajafanya homework,......unaweza ishi Kibaha/Tumbi mwaka mzima usiijue hio shule ipo wapi na hata ukiijua unaweza dhani haina wanafunzi
Unatupiga kamba mkuu, Mbowe na Nyalandu hawakusoma Kibaha.

Nyalandu kasoma Ilboru.
 
Hello JF,

Hi shule ya government, wamefanya vizuri sana na huwa wanafanya vizuri Sana

Imagine mwanao amepangiwa shule hii

Siku hizi ukienda Kibaha sekondari ni nadra Sana kukuta watoto waliosoma Kayumba. Kibaha secondary (O'level) imejaa watoto kutoka shule za private zile kubwa maana wao ndio wenye matokeo mazuri zaidi kwa primary. Hivyo uchukuliwa hapo kwa idadi kubwa. Ukienda advance, utawakuta wanafunz kutoka Kibaha yenyewe, pia wanafunzi kutoka shule za private zile kubwa zenye matokeo mazuri zaidi.

Pointi yangu ni kwamba, hizo shule za serikali Kongwe ( vipaji) haziakisi uhalisia wa elimu ya shule za serikali. Wanaosoma huko wengi wanaback ground ya shule za private kubwa kubwa Sana. Yan unaweza kusema wanaosoma huko pia ni watoto wa vibopa.
 
Uzuri hiyo shule naijua vizuri sana toka miaka hiyo hivyo sijaandika kwa kukurupuka....

Hauijui peke yako ndugu yangu, wengine ni graduates hapo, kadiri miaka ilivyokuwa inasogea hata ufadhili ulikuwa ukipungua...

Mathalani miaka ya zamani sana (kipindi cha mzee Mwampaja na wengine nyuma yake) wanafunzi walikuwa wanakula kuku, matunda mbalimbali, chai ya maziwa, mikate ya siagi n.k lakini vitu hivyo vilikuwa vinaondolewa kimoja baada ya kingine kutokana na kufa kwa miradi ya ufugaji na kilimo, miaka ya elfu 2 mwanzoni wanafunzi walibakia kulishwa kuku tu (enzi za Kayenga)...

Labda kama uniambie hayo unayoyataja yalirejeshwa baada ya Kayenga kwenye utawala wa marehemu Kachingwe Kaselenge "KK" au aliyemfatia marehemu KK...
 
Siku hizi ukienda Kibaha sekondari ni nadra Sana kukuta watoto waliosoma Kayumba. Kibaha secondary (O'level) imejaa watoto kutoka shule za private zile kubwa maana wao ndio wenye matokeo mazuri zaidi kwa primary. Hivyo uchukuliwa hapo kwa idadi kubwa. Ukienda advance, utawakuta wanafunz kutoka Kibaha yenyewe, pia wanafunzi kutoka shule za private zile kubwa zenye matokeo mazuri zaidi.

Pointi yangu ni kwamba, hizo shule za serikali Kongwe ( vipaji) haziakisi uhalisia wa elimu ya shule za serikali. Wanaosoma huko wengi wanaback ground ya shule za private kubwa kubwa Sana. Yan unaweza kusema wanaosoma huko pia ni watoto wa vibopa.
Basi ili kuakisi matokeo ya shule za kayumba wanaochaguliwa shule teule, angalia matokeo ya shule ya Geita secondary. Hii huchukua wanafunzi waliofanya vizuri mtihani wa darasa la saba mkoa mzima wa Geita, matokeo yao ni kama ifuatavyo.

Screenshot_2025-01-24-07-38-05-04.png

Na kwa shule zinazochukua wenye ufaulu wa daraja B na daraja C kutoka matokeo ya darasa la saba, angalia matokeo ya shule hii iliyopo Nyang'hwale, ni shule ya kata asilimia 100%
Screenshot_2025-01-23-14-18-18-72.png
 
Anayefanya vizuri kwenye mitihani lazima pia awe na uwezo mkubwa wa kukariri, haiwezekani mtu mwenye uwezo duni wa kukariri akawa kipanga.
Let me put it this way.
Kukariri pia lazima uwe na good long and short term memory.
Lazima utafanya vizuri tu lakini huenda output ya application ya elimu yako kwa jamii inaweza kuwa ndogo sababu ulikariri tu.
Yule mwenye memory nzuri na alikuwa anaelewa vizuri Kuna uwezekano aka apply vizuri elimu yake kwa jamii inayo mzunguka.
 
Back
Top Bottom