zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
WanafaulishwaLet me put this way.
Kukariri pia lazima uwe na good long and short term memory.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WanafaulishwaLet me put this way.
Kukariri pia lazima uwe na good long and short term memory.
Hapana wanafaulu kwa mtazamo wangu.Wanafaulishwa
Hujui hujui bado hujuiHapana wanafaulu kwa mtazamo wangu.
Tufundishe mkuuMambo ya kufaulisha unajua yapoje au hujui tukufundishe jinsi tunavyofaulisha?
Sure,enzi za Kayenga tumekula kuku kila alhamisi na matunda. Ila marehemu KK hakuwahi kuwa master alitolewa Sec akaenda FDC kuwa mkuu pale.Hauijui peke yako ndugu yangu, wengine ni graduates hapo, kadiri miaka ilivyokuwa inasogea hata ufadhili ulikuwa ukipungua...
Mathalani miaka ya zamani sana (kipindi cha mzee Mwampaja na wengine nyuma yake) wanafunzi walikuwa wanakula kuku, matunda mbalimbali, chai ya maziwa, mikate ya siagi n.k lakini vitu hivyo vilikuwa vinaondolewa kimoja baada ya kingine kutokana na kufa kwa miradi ya ufugaji na kilimo, miaka ya elfu 2 mwanzoni wanafunzi walibakia kulishwa kuku tu (enzi za Kayenga)...
Labda kama uniambie hayo unayoyataja yalirejeshwa baada ya Kayenga kwenye utawala wa marehemu Kachingwe Kaselenge "KK" au aliyemfatia marehemu KK...
Ubaguzi tu na kutafuta sifa.Hawa mchujo wa kuanza Form one umekaa kibabe sana imagine wanakawaida ya kuchukua watoto 80 ila mchujo unaweza kuwa na watoto hata 300 ambao wanaonekana wako vizuri.
Hapa wanachukua best cream. Maana Mtoto wako anaweza kuwa kapata 95 wastani ila akaachwa.
Wanazingatia kuanzia mwandiko, kujitambua, Ukifuta majibu ukaanfika upya ndo kabisaa hawakuchukui.
Elezea vizuri tukio hili.ina maana hujui hii ni shule ya mabingwa wa kila mkoa? Kulitokea mgomo wa wanafunzi kupewa maswali ya past papers wao wanayo toka mwingereza ai gie nchi hii