Kuna shule za serikali zinaperform vizuri sana, hebu cheki hii

mkuu namie nimesoma hapa pia wengine waliosoma hapo
 
Huyo mwenye nyekundu alitaga 🥚 🐣 au nasema uongo cc. johnthebaptist
 
nimepita hapa, yaani hakuna kuambiwa kuwa uwahi shuleni.
Boys teacher anaingia school Kama mnatakiwa kusoma topic ya magonjwa anauliza Kuna mtu hajui magonjwa humu darasani, darasa kimyaaa iyo topic imeisha.
Mnatakiwa msome maji anauliza Kuna mtu hajui maji, harufu ama rangi yake kimya, hapo topic imeisha huyo alikuwa mwalimu Choya boys Ila Sasa somo lake A zinapigwa utadhani zinatolewa bure.
Kufungua shule lazima uvute kwanza mwezi mmoja nyumbani, yaani shuleni tulikuwa tunasoma miezi mitatu tu muhula imeisha.
 
Kumbe akili unazo ila unajitoa ufahamu kupeleka watoto Ems.
Zaidi ya 70% ya wanafunzi unaowaona hapo wamefaulu wametoka EMs na wapo vipaji maalum.

Na shule hazifundishi kivile wanafunzi wanakula sana tuition na kujisomea wenyewe. Sasa hicho kipaji ni cha kurithi, kama mzazi ulikuwa unataga usidhani mwanao atafaulu hapo. Hakanyagi hiyo shule.
 
Okay I agree kumbe ni St Francis . Nilikuwa najua hii hapa ile shule ya Nyan'gwale kumbe hawa St Francis ambayo ni ya kulipia shule ya kanisa.

Am not even surprised
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…