Kuna shule za serikali zinaperform vizuri sana, hebu cheki hii

Anajizima data huyo kingine hiyo shule mpaka miaka ya juzijuzi ilikuwa ikipata misaada kutoka nje so tunarudi palepale uwekezaji duni katika elimu hupelekea matokeo duni na si vinginevyo.
 
Kuna dogo aliingia Kibaha kimichongo ila matokeo ya Form II yamemzingua. Ni kati ya wanafunzi wawili waliopata div IV
 
Duh!
Ina maana hao wasichana darasa lao wote ni ma-genius , hakuna kilaza.
Kweli God is wonderful!

Hongera zao.
Hawa mchujo wa kuanza Form one umekaa kibabe sana imagine wanakawaida ya kuchukua watoto 80 ila mchujo unaweza kuwa na watoto hata 300 ambao wanaonekana wako vizuri.

Hapa wanachukua best cream. Maana Mtoto wako anaweza kuwa kapata 95 wastani ila akaachwa.

Wanazingatia kuanzia mwandiko, kujitambua, Ukifuta majibu ukaanfika upya ndo kabisaa hawakuchukui.
 
Kibaha ipo chini ya serikali na haijawahi pata misaada ya waalimu toka nje kama ulivyoandika...

Waalimu wa Kibaha ni waswahili kwa maiaaka mingi tu...
Uzuri hiyo shule naijua vizuri sana toka miaka hiyo hivyo sijaandika kwa kukurupuka....
 
Kumbe akili unazo ila unajitoa ufahamu kupeleka watoto Ems.
Tatizo bado serikali haijawekeza vizuri kwenye elimu kama watu au taasisi binafsi.
Kwa hivyo tunapeleka ulipo uwekezaji mzuri na mkubwa.
 
Umeongea ukweli karibu maelezo yote. Umeharibu ulipozungumzia kukariri.
Mkuu hao wengi ni wale wa kukariri, in fact elimu ya Tanzania ni kukariri/kukaririshwa kuanzia kindergarten hadi Masters at least PhD huko kuna nafuu.
Primary na Secondary education kwa Tanzania ni kukariri tu 98% ya wanafunzi.
 
Okay I agree kumbe ni St Francis . Nilikuwa najua hii hapa ile shule ya Nyan'gwale kumbe hawa St Francis ambayo ni ya kulipia shule ya kanisa.

Am not even surprised
Uzi uliochangia unaisema shule gani.
Kibaha

Uliyemquote aliisema shule gani.
Kibaha

Na mimi nilikunukuu kwenye mjadala wa shule gani.
Ni hiyohiyo Kibaha.

St. Francis umeitoa wapi kwenye huu mjadala?

Kwa hizi akili zako hata uzae watoto 100, unaweza umkose hata mmoja wa kumpeleka shule kama Ilboru au Kibaha. Wataishia kwenda huku
 
Marian, Feza hawapokei vilaza
 
Anayefanya vizuri kwenye mitihani lazima pia awe na uwezo mkubwa wa kukariri, haiwezekani mtu mwenye uwezo duni wa kukariri akawa kipanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…