Kuna shule za serikali zinaperform vizuri sana, hebu cheki hii

ziko nyingi na nyingine hadi mikoani zipo kama kule moshi kuna mawenzi sekondari inajitahidi pia
 
Sure,enzi za Kayenga tumekula kuku kila alhamisi na matunda. Ila marehemu KK hakuwahi kuwa master alitolewa Sec akaenda FDC kuwa mkuu pale.
 
Ubaguzi tu na kutafuta sifa.
Kama wanataka sifa ya kufundisha vizuri au kutoa elimu bora wasichague wachukue mchanganyiko kisha wafaulishe wote kiwango Cha juu.
 
ina maana hujui hii ni shule ya mabingwa wa kila mkoa? Kulitokea mgomo wa wanafunzi kupewa maswali ya past papers wao wanayo toka mwingereza ai gie nchi hii
Elezea vizuri tukio hili.
 
Inasikitisha sana yaani Point 7 zimekuwa hivi? Enzi zetu tunasoma Shule nzima One inaanzia Point 8 tena moja tu ,ukienda Ilboru au mzumbe Point 7 unakuta tatu au nne ,tena mmoja tu ana A straight 9 ,ila kwasasa mademu shule nzima wote wana Div I Point 7 inasikitisha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…