Kuna siri gani ambayo Jenerali Venance Mabeyo anataka kumpa Rais Samia Suluhu?

JE KULIKUWA NA UMUHIMU GANI WA MKUU WA MAJESHI KUTOA KAULI HIYO? Je, haoni kwamba kwa nafasi yake kutoa kauli kama hiyo kunaweza kuzua taharuki kwenye jamii juu ya usalama wa nchi au Mh. Rais?
Hakuna taharuki hapo....ni msg tu hiyo
 
Ndio hiyo hasa na Jenerali Mabeyo amefanya vizuri kulisema hili adhalani - wale wote wenye lengo/nia ovu watafikiria mara mbili.
 
Akishamwambia rais itakuwa sio siri tena
Na majibu tutayapata
 
Huyu nae afanye kazi yake,asilete ushirombo hapa,aelewe kuwa Tanzania,ni kubwa,inaanzia Mtwara mpaka Tanga,Kigoma mpaka murongo border Kagera,Rukwa,mpaka Arusha...
Comment yako inafikrisha Sana , wewe sio mtu wa kawaida , Kwanza wewe ni mkongwe humu kwenye jukwaa , probably we upo serikalin na ni mtu maarufu serikalin. Na unajua mengi sana
 
Siri hiyo atakuwa nayo Generali mwenyewe. Sisi hapa tutaishia kuwa wapiga ramli tu.
Siri hiyo atakuwa nayo Generali mwenyewe. Sisi hapa tutaishia kuwa wapiga ramli tu.
Alikuwa anazungumzia kuhusu ukuta wa mererani ambapo wanajeshi ndio waliojenga...inaelekea JPM alikuwa amemwelekeza CDF Nini Cha Jeshi kufanya kudhibiti wizi wa Mali za umma...inawezekana hata kujenga ukuta mahali fulani kwenye raslimali...pengine hata kuzunguka mlima Kilimanjaro...tehtehtehteh
 
Hapo Mabeyo kacheza na akili za wenye Uchu wa madaraka,
 
Labda anataka amwambie anakampuni yake ya ulinzi ya nguvu moja migodi ya Barrick inanyanyasa wafanya kazi ivo ailinde
 
Labda anataka amwambie anakampuni yake ya ulinzi ya nguvu moja migodi ya Barrick inanyanyasa wafanya kazi ivo ailinde
Nimekuelewa bi mdada , kama vip tuyajenge😋
 
Mimi na bet mambo mawili kwanza inawezekana General amenusa harufu ya kuwekwa kando katika hii regime Pili inawezekana kuna message anaituma kwa watu fulani wafahamu, Mana kwa Level ya CDF ana clearance na Rais 24/7, Ajapo mtawala mpya ghafla, kila mtu hutafuta kuaminika
Lakini kwangu naona General amefungua ukurusa wa Speculations na kufanya watu wa connect dots za nyuma, Mimi nilinusa halafu ya Power struggle mapema sana
 
Hapo usukuma unaingia vip kwann ukabila mnauleta sana mkuuu.Hebu tujenge nchi yetu jamani wasukuma tuacheni kwanza tuna msiba.
 
Wabongo tupe pic au mifupa nyama tuna jaza wenyewe [emoji3], Mabeyo wewe pigiaga mistari tu huko!
 
Kwa akili ya kufikiri kidogo.. Katuma ujumbe, kwa nani sijui..
Kitendo cha kusema kuwa ni siri atamtafuta ofisini, kaongea hivyo kusudi, sababu aliweza kukaa kimya, akamtafuta kimya kimya. Kikawaida kabla ya kuzungumza neno huwa tayari tumeamua kulisema, tusilotaka huwa tunakaa kimya..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…