Kuna wanaume wafupi na ni ma handsome??Mwanaume wangu ni Black,Tall na very handsome.......Akili Sasa ni kipanga!π
Ni namna nyingine ya kusema wanataka dushe za 7 to 11 inches, urefu na weusi ni kama madem wa kilatino wanavyopenda fvck-buddies walio niggas. Umeingia mjini lini mkuu? na ukiona demu wako anaukaribu sana na mtu mweusi alokuzidi urefu nenda benjamin mkapa ukajipandikizie inches ziongezekeKwa utafiti nilioufanya asilimia 90 ya wanawake wanapenda kudeti na mwanaume mrefu mweusi au mweupe.
Wanawake embu tujuzeni sisi wanaume wafupi tunazidiwa nini na hawa warefu?
View attachment 2682135
π€£π€£π€£ mkuu niaje, ila wanawake baadhi huwa wanasema wanaume wafupi huwa na gubu kwa sababu ya insecurities, hata ukikosewa huchukulii kama ni kosa la kawaida ila dharau kwa kimo chako.Aliekupa urefu ndio ametupa sisi ufupi,,,Nyoko zenu mnao tusema vibaya watu wafupi,, mnakatwaaπ‘
π€£π€£π€£π€£π€£ Mipango ikikaa sawa ndio watakuita Tall,Dark and handsomemnara wa 5G huu ni shughuliπ
Waongo waongo tu,,wote wameolewa na wanaume wafupi weupe,na sio kina tall and darkLakini hao wanapambana kuchibua wanawake wa bongo picha wanaweka filter ili wawe weupe watoto wanatamani wazae weupe inshort wanawake hawajitambui Hawa Watanzania
Huyo wa hivyo labda awe na economic instability.....π€£π€£π€£ mkuu niaje, ila wanawake baadhi huwa wanasema wanaume wafupi huwa na gubu kwa sababu ya insecurities, hata ukikosewa huchukulii kama ni kosa la kawaida ila dharau kwa kimo chako.
Wanaangalia kina Idris Elba....Lakini mbona Kuna black American wengi warefu na weupe na wanavutia?Watanzania wengi ni bendera fuata upepoWameathirika na movies za black Americans maana ukiangalia casts zao huwa ni za type hizo haswa kwenye series za Tyler Perry.
Kuna namna movies, music videos na showbiz kiujumla huwa zinacontrol akili za watu, mfano enzi hizo K lyn na Ray C wanatamba, huko mbele english figures kama J lo na Aliyaah ndo zilikuwa kwenye market, lakini leo tupo kwenye makalio. Kwa hiyo ni upepo tu kwa kiasi kikubwa utapita
πππ kwa hiyo pesa inafidia mapungufu yoyote ambayo mwanaume anaweza kuwa nayo mbele ya mwanamke wake..Huyo wa hivyo labda awe na economic instability.....
Waongo waongo tu,,wote wameolewa na wanaume wafupi weupe,na sio kina tall and dark
Kabisaaa!heshima sana like neno "Tafuta Hela"πππ kwa hiyo pesa inafidia mapungufu yoyote ambayo mwanaume anaweza kuwa nayo mbele ya mwanamke wake..
Hahaa!, just say you wish. JF kila mwanamke mwanaume wake ni mrefu, handsome & smart. Au umesahau hilo πMwanaume wangu ni Black,Tall na very handsome.......Akili Sasa ni kipanga!π
Kama mama yenu ni mweusi,Kwa Nini anawachukia weusi wenzie?Ndoa ni zaidi ya Tall handsome and dark
Mimi Mama yangu ni mweusi tiii na father mweupe Sana lakini hapendi sisi watoto wake tuoe wanawake weusi anachukia Sana hasa alimkataa mke wa bro kisa mweusi tii japo ni tall mweupe Sana na kazaa watoto weupe pee so ile bimkubwa kutembea nao hao wajukuu Basi anaona ufahari kwa wanawake wenzie .
Hii nchi Mzazi hataki kijana wake aoe mke mweusi
Huku mademu wa kwenye Tamthiliya wanataka tall dark na wakizaa mtoto mweusi wampiga picha za filter fulll maajabu
Wanaangalia kina Idris Elba....Lakini mbona Kuna black American wengi warefu na weupe na wanavutia?Watanzania wengi ni bendera fuata upepo
nahitajikaa wapi tenaaa πππ
Take it or leave it,huna Cha kupoteza....ila hicho kigezo kilitokea tu by the way Cha kwanza ilikuwa akili yake....Hahaa!, just say you wish. JF kila mwanamke mwanaume wake ni mrefu, handsome & smart. Au umesahau hilo π
Kiufupi hii nchi yetu inaonekana Mtu akizaa watoto weupe anaona ufahari Sana hasa wanawake .Kama mama yenu ni mweusi,Kwa Nini anawachukia weusi wenzie?