financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
why wafupi nao ni watu jamani😃, 6.6ft? You mean wewe uko 6ft pia? AiseeMimi binafsi mwanamke wangu nikikuta kachepika na mwanaume mrefu kama mimi ama zaidi yangu(kuanzia 6.6 na kuendelea) naweza kumsamehe kwa sababu hata ikitokea wamezaa mtoto bado watu watasema kachukua urefu wa baba yake.
Akichepuka na mfupi na namuacha siku hiyo hiyo.
Hii couple bado sijaelewa walipatanaje 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Cha kushangaza ndio mnaongoza kula pisi Kali....mfano Steve Nyerere na Wellu Sengo🤦🤦🤦🤦
😅😅😅😅Mazingiraaa yaliruhusuu kbsaa mpk nikanotice viatu ngozi original...si unajuaa tukiamuaa kufanyaa kauchunguzi ketuu huwaa hatushindwii😅😅Ulienda kwenye kivutio gani cha utalii mom? Ulinotice hadi viatu vya ngozi original😀🙌
Uko vizuri, siku nipeleke na mimi nikajionee Mungu alivyofundi😀😅😅😅😅Mazingiraaa yaliruhusuu kbsaa mpk nikanotice viatu ngozi original...si unajuaa tukiamuaa kufanyaa kauchunguzi ketuu huwaa hatushindwii😅😅
Kwa kweli kizuri kionwee na woteee😅😅😅Uko vizuri, siku nipeleke na mimi nikajionee Mungu alivyofundi😀
Kwani ushawai kuliwa na shotileee?
Hii yote ni inferiority complex ya wabongo. Mapenzi au ndoa ina mambo mengi, ni zaidi ya u handsome na urefu, weupe etc. Kuna wengine tuliolewaga na tall, handsome lakini yalitushinda kutokana na tabia ambazo hazivumiliki. Tuko na wanaume wa kawaida sana ambao wanajua thamani ya mapennzi.Aiseee,,,hao hao watoto wakiume tunaowapenda wakiwa watoto wakifika ukubwani jamii inaanza kuwabeza kwamba wamepoa??na wale waliobezwa na kufichwa utotoni mwao wanaanza kutukuzwa?jamii inabidi ichange huu upuuzi aiseeee
Teh teh teh 😂😂😂 intelligence level matters....wewe unafaa kabisa kuwa life partner....Urefu na ufupi,weupe na weusi sio kipaumbele kwangu.......Ana akili TIMAMU?....TIMAMU jamani anazooo????
Oooooh Isije huko mbele ukamuona ni Goliath yanapoanza mambo ya kutumia akili.
Woow!...una akili nzuri sana...pokea maua yako..🌺🌺🌺🥀🥀🥀🌹🌹....mnapatikana wapi nyie akili nzuri?Hii yote ni inferiority complex ya wabongo. Mapenzi au ndoa ina mambo mengi, ni zaidi ya u handsome na urefu, weupe etc. Kuna wengine tuliolewaga na tall, handsome lakini yalitushinda kutokana na tabia ambazo hazivumiliki. Tuko na wanaume wa kawaida sana ambao wanajua thamani ya mapennzi.
👇👇Kwa utafiti nilioufanya asilimia 90 ya wanawake wanapenda kudeti na mwanaume mrefu mweusi au mweupe.
Wanawake embu tujuzeni sisi wanaume wafupi tunazidiwa nini na hawa warefu?
View attachment 2682135
Hapo sasa. Wanataka wanaume weusi ila wanataka watoto weupeCha kushangaza akitaka kuzaa atakutafuta🤦🤦🤦🤦
Haya. Ila katika kukaza maneno kama 'umeninywea dawa', unajua kukunikuna nk huwa hayaishiumepoa sana wanaume weupe asilimia kubwa kitandani hamna maajabu yan mko dorooo hamna jotroo
Mbona tuko wengi tu.Woow!...una akili nzuri sana...pokea maua yako..🌺🌺🌺🥀🥀🥀🌹🌹....mnapatikana wapi nyie akili nzuri?
Kwa kweli umeongea vyema,hayo mambo ya uhandsome hayana impact kwenye maisha endelevu.Hii yote ni inferiority complex ya wabongo. Mapenzi au ndoa ina mambo mengi, ni zaidi ya u handsome na urefu, weupe etc. Kuna wengine tuliolewaga na tall, handsome lakini yalitushinda kutokana na tabia ambazo hazivumiliki. Tuko na wanaume wa kawaida sana ambao wanajua thamani ya mapennzi.
We waache walete ujinga kwenye masuala nyeti🤣🤣🤣🤣watalipa school fees hizo 6ftTeh teh teh 😂😂😂 intelligence level matters....wewe unafaa kabisa kuwa life partner....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila watu jamaniiiMwanaume wa kiafrika ukiwa mweupe tu wanawake wanakuona kama mwenzao.
Wanawake wa kiafrika wanapenda aitha uwe mzungu pure ama black pure lakini ukiwa mweupe ama chotara wanakuona rojo rojo mshikishwa ukuta kama wao.
Kwenye kimo, kuna kanuni moja, the bigger the size the more the confidence. Mwanaume ukiwa mrefu tu ukipita mahala popote lazima u attract attention kidogo, na wanawake wanapenda sana hiyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi binafsi mwanamke wangu nikikuta kachepuka na mwanaume mrefu kama mimi ama zaidi yangu(kuanzia 6.6 na kuendelea) naweza kumsamehe kwa sababu hata ikitokea wamezaa mtoto bado watu watasema kachukua urefu wa baba yake.
Akichepuka na mfupi namuacha siku hiyo hiyo.