MZEE WA ROCK
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 622
- 152
Usijali tutatumia substitute!!
Msimu wa kwenda kuungana na ndugu na jamaa huu...nadhani ni utaratibu mzuri sana ambao sote tungepaswa kuuiga....binafsi na-admire sana huu utaratibu wao... Wish them th best of Xmass season
Acha waende bwana, tukae kwa raha zetu. Folen itapngua ana, Ukitaka kwenda posta 10min inatosha
halafu kwenda kwao moshi
kunadororesha biashara
kwa sie wenye mabaa, coz ndio wateja
wakubwa!!
Nipo segera naenda Kibosho! nimemiss mbege!
ndio ninachokipenda...nusu saa tu natumia toka kujijini kwangu kisarawe mpaka mjini...
Yewomiiiiiiiiii!!!!!!! Mlachake naona unanikumbusha pale Ungwasi. Umeona mandhara ya kwetu ilivyo tamu? Lazima tukaenjoy upepo mwananaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!
Yewomiiiiiiiiii!!!!!!! Mlachake naona unanikumbusha pale Ungwasi. Umeona mandhara ya kwetu ilivyo tamu? Lazima tukaenjoy upepo mwananaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!
lakini mazingira umeyaonaje mkuu? nimepamiss kiasi na sasa hivi ule ukijana wa krismass uko kwa mbaaali yaani ni bonge la burudaniha ha ha ha kweli we Mrombo wa Ukweli. ndio hapo hapo Ungwaso kaka. yaani mbavu sina
lakini mazingira umeyaonaje mkuu? nimepamiss kiasi na sasa hivi ule ukijana wa krismass uko kwa mbaaali yaani ni bonge la burudani
Mzee si unajua kitu cha kule ni safari, serengeti, Eagle na wagumu wengine mix na mbege!!!!!!! Sasa huko hakuna sijui nakunywa ipi wala nini. zikiisha tunakunywa zilizopo. Mix kuanzia Eagle mpaka mbege. Karibuni kwenye raha za Rombo mazeee!!!!!!!!!!!!!!!!!1Yani nikishafikaga hapo Ungwasi, kiu inanikamata fasta. natamani gari ipae nifike pale Mrere ninywage bia na nyama choma....
Ujue nina miaka sita sijaenda huko!
ona sasa?!!unawahi namna hii
kwani uliachaga mke huko?