Kuna siri gani kati ya Wachaga na Mwisho wa Mwaka?

ni mazindiko ndugu, mashetani. wanaenda kutii yalivyosema mizimu yao. ndio maana wachaga wana vifungo vya kila aina kwasababu koo zao zimeunganishwa na mikataba ya kimizimu. huu ndio ukweli. kila kabila kuna mizimu, lakini kwa wachaga kuna mizimu sana sana. mbuzi na kondoo mwezi huu huwa wanapata shida sana. wachaga wengi mwezi wa kumi na wa kumi na moja, wanaenda kwao kama kuna mkataba fulani hivi katika familia utakuta wameondoka wanaume tu/baba wa nyumba ameungana na wababa wenzie kila baada ya miezi hiyo, na kuna mambo fulani hata kama pengine sio uchawi na mengine ni ya kichawi huwa wanaenda kuyafanya. vilevile wengine kuna mikataba ya pamoja ya kishetani/cults huwa wamepatana kwa mganga huwa wanaenda kama kurenew kwaajili ya kutafutia pesa.
 
Kwanza ukitoa mikoa ya dar,arusha,mbeya,na mwanza mkoa unaofatia kwa maendleo ni kilmanjaro then wachaga wamejenga kwako zaid kulko kabila lolote hapa tz
so kama nymbn ni pazur na umepajenga vizur umeme mpaka migombn ndio mana wachaga weng December wanaenda kushrehkea nymbni kwao.
 

M.S.E.N.G.E wewe!
 
Hakuna siri zaidi ya kujumuika na ndugu Jamaa na marafiki baada ya kupotezana kwa mwaka mzima au miaka kadhaa


Take it from me

Na kama ni kuhusu mizimu basi kila kabila lina mizimu yake siyo kwa wachagga tu
Mnapotezana kw sababu gani?
 
Huna jipya wewe. Mizimu ipo. Your dead ancestors qualify as Mizimu. Kama wamefungwa how come wanamafanikio hivyo? Ushaambiwa ni utamaduni, wasipoenda kwao walikozaliwa unataka waende wapi?
 
Nasikia wanaenda kupresent kwamba ni nn walichokfanya kwa mwaka mzima
 
Hizi pesa za escrow ni kama zimeharibu mzuguko wa fedha hivi mbona mwezi huu dume hv au ni mimi tu?
 

Simple! Majumba waliyoyajenga Dar ni sawa na yaliyo kijijini, wana lazima ya kwenda huko. Makabila Mengine jitafakari nyumba zilizo vijijini kwetu zikoje, kuna mwenye hamu ya kwenda huko? Tuwe wakweli
 
Wachaga mwisho wa mwaka kwenda nyumbani ina maana ya Familia kukutana pamoja kujadili mambo yanayohusu Familia zao mfano kuangalia mafanikio kati ya wanandugu pia kusaidiana kutatua changamoto wanazokabiliana nazo katika maisha pia kuonyana pale itakapoonekana kuna aliefanya makosa. Kwa waliofanikiwa ndio muda pekee wa kuwaelekeza ambao bado ili nao waweze kupata mafanikio
 

Acha uongo. Mbona husemi kuhusu MAKAFARA ya kumwaga damu ya mbuzi ama kondoo?!!!
 

Utajengaje nyumba nzuri halafu uishi kwa siku 14 tu kila mwaka?!
 
niambie kwanini wamachame na wakibosho hawaoani? kama we mjanja oana uone yatakayokupata. acha kubisha vitu usivyovijua. pole lakini kama nimekugusa penyewe.ukweli siku zote unauma.

Wewe ni jinsia gani kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…