Hute
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,537
- 6,472
ni mazindiko ndugu, mashetani. wanaenda kutii yalivyosema mizimu yao. ndio maana wachaga wana vifungo vya kila aina kwasababu koo zao zimeunganishwa na mikataba ya kimizimu. huu ndio ukweli. kila kabila kuna mizimu, lakini kwa wachaga kuna mizimu sana sana. mbuzi na kondoo mwezi huu huwa wanapata shida sana. wachaga wengi mwezi wa kumi na wa kumi na moja, wanaenda kwao kama kuna mkataba fulani hivi katika familia utakuta wameondoka wanaume tu/baba wa nyumba ameungana na wababa wenzie kila baada ya miezi hiyo, na kuna mambo fulani hata kama pengine sio uchawi na mengine ni ya kichawi huwa wanaenda kuyafanya. vilevile wengine kuna mikataba ya pamoja ya kishetani/cults huwa wamepatana kwa mganga huwa wanaenda kama kurenew kwaajili ya kutafutia pesa.