Kuna siri gani kati ya Wachaga na Mwisho wa Mwaka?

Hivi kuna mtu alizuiwa kwenda kwao

Ova
Naona home boy umechekaa
Maana nashangaa watu kaskazini
Ikifika Dec wakiendaga kwao watu wana
Mind,sasa kama mtu kwao singida,katavi,sumbawanga,mbeya,songea,
Mtwara,lindi,kigoma ....bukoba
Je wamezuiwaa kwenda makwaoo
Naulizaa tu
Wyatt Mathewson

Ova
 
political positions za nini?

cha msingi ni kumiliki njia zote za uchumi...

siasa achia majinga
Watu wanapambana wana miliki uchumi
Wanakja watu wanalialiaa
Lazima tuambiane ukweli
Nafasi zipo watu wanaziona
Kwenye kutumia kila mtu akili yake
Maana kuna wengine wakipata pesa wao wanaongeza wake tu na kufyatuaa watoto

Ova
 
Naunga mkono hoja. Ni vizuri kujua chimbuko la familia na tamaduni kwa ujumla. Ukipata nafasi ya kwenda kuona asili ya wazazi wako ni faraja sana. Kwa bahati mbaya mimi sijawahi kwenda mkoa niliozaliwa hata siku moja. Wazazi wamekutana Dsm, nimezaliwa na kusoma Dsm ndugu wachache waliopata bahati ya kuja mjini walifikia nyumbani ndio nikawajuwa lakini ambaye hakupata kuja mjini ndo hivyo sikuwahi kuwaona. Natamani huo utamaduni ungekuwepo kwenye familia yangu.
 
Labda hao wengine wamezuiwa kwenda makwao huwezi jua

Ova
 
W
Wivuuuu na Wewe nenda kwenu🤑🤑
 
Lafudhi na chaguzi za matamshi zinaonyesha busara yako inavyofanana.
 
Ardhi unaweza nunua ww hii nchi.

Ardhi unapewa kupitia s/mitaa. Ikitakiwa na wenye nayo unahamishwa tu, Title ya Property yako inakuonyesha nn? Au huna ardhi yenye title? Mtu kutoka KLM😂
 
Nani amekuambia ardhi ni ya serikali ya mtaa?
Hujui mmiliki wa ardhi ya Jamhuri ni nani? Hujui S/mitaa zinahusika vp na ardhi uliyopewa? Kachukue title ya property yako isome acha porojo.
ardhi ni mali yangu
Huna ardhi ww ndani ya hii JAMHURI labda Kenya huko si hapa.
unaongea nini wewe?na kama sisi sio wamiliki wewe mpaka unakuja kutoa malalamiko humu ya sisi kumiliki ardhi ya nini kama huoni hatari?
SIJALALAMIKA POPOTE YOYOTE KUPEWA ARDHI. NIMEKUULIZA WALIOKUPA ARDHI NI WASENGE? Ukaanza kunipa majibu ya kujiamini ya kujimwambafy mara layman 😂 yaani ilimradi ujibu kwa confidence....

unajibu mambo yanayoonyesha hata ardhi iliyo rasmi huenda huna ndani ya hii JAMHURI.

Ungekuwa nayo ungejua taratibu za kuwa na ardhi na uhusiano kati ya MTANZANIA na umiliki wa ardhi ndani ya JAMHURI ikiwemo huko KLM.
Kuna hatari ya umiliki ndio unaona leo...watu washanunua tayari,wanyang'anye kama unaweza?

Nimekuuliza ulipotoka huko KLM ukafika DSM ukapewa ardhi, waliokupa ni wasenge? Tena huku nacheka😂 sababu umeonyesha uelewa mdogo wa taratibu za kupata ardhi.

Sikia, huko kaskazini tuna ardhi rasmi yenye hati ya umiliki wa more than 50 years, Na wapo watu wasio wachaga wenye ardhi hapo Moshi......si kwamba haiwezekani kupewa ila unashika ardhi kubwa huko uifanyie nini? Hakuna mzunguko wala upekee wa kutaka hatimiliki ya eneo kubwa ndio maana hata nyinyi mnaenda mara moja tu kwa mwaka.
 
Pale mwanaume anaposhindwa kuwa Mwanaume.
 
Wake za watu wanabanjuliwa kwa wingi sana mkoani Kili mwezi Dec kuliko mahala popote pale ukanda wa SADC.

Mliooa Kili komaeni muende na wake zenu kama hamuwezi kuwakatalia
Mkuu had SADC inahusika pia
 
Mimi niko hapa Uchira, Moshi DC. Nilianzia KCMC Moshi hapo Kibo.

Huko kwingine kote nimeshazurula tena vijijini kabisa na sioni jipya.

Mpaka Arusha nimeetembea mnoo. Hakuna maajabu.
Ila moshi ni pakali si kama majita.
Majita kuna fukwe za maana, hotel na sato.

Moshi kuna vijiwe vya mbege, gongo na mirungi 🤣🤣🤣
watu wa moshi ni kam wazungu wazungu hivi kila mtu yuko busy na maisha yake..
ila huko majita kuna hoteli kweli?ila kwa sato na madegere napakubali .
 
Mimi niko hapa Uchira, Moshi DC. Nilianzia KCMC Moshi hapo Kibo.

Huko kwingine kote nimeshazurula tena vijijini kabisa na sioni jipya.

Mpaka Arusha nimeetembea mnoo. Hakuna maajabu.
Ila moshi ni pakali si kama majita.
Labda huruma. Mimi niwe na CHUKI na watu kama hawa 👇👇👇👇

🤣🤣🤣

View attachment 2055547
Huu ni upendo wa agape,hapa huyu ni mlevi jamaa anahakikisha anafika home salama.
 
Mimi niko hapa Uchira, Moshi DC. Nilianzia KCMC Moshi hapo Kibo.

Huko kwingine kote nimeshazurula tena vijijini kabisa na sioni jipya.

Mpaka Arusha nimeetembea mnoo. Hakuna maajabu.
Kama hauoni jipya nafikiri umetokea ulaya au America Ila kma Ni vijiji vingne vya apa Tz una chuki binafsi , ata wazungu wenyewe ezi za ukoloni waliona jipya sembuse ww
 
Kwenye mkusanyiko wowote ule laxima matunda yaliwe kimasihara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…