Kuna Siri gani katika kufanya mapenzi?

Hakuna binadamu anaweza kuzuia hormone. Hormone ndo zinacontrol maisha ya binadamu na ndo zinakuendesha uvutiwe na mwanamke.....

Labda ukatwe pumbu afu ukiingia kwenye ndoa ushonewe tena[emoji23]
Kuna watu wanaweza mkuu
 
Shida watu tunafanya tendo la ndoa wkt hatupo kwenye ndoa. Kama tendo Ili lingesubiri mpk ndoa ingemake sense. Otherwise watu watakula tu na kupita Kule. Maana tumeharibu uhalisia wa tendo la ndoa.
Kabisa mkuu,mambo yote yatapita lakini neno litasimama.....neno halijawahindanganya
 
Inategemea, ila kama wote ni 35+ na mnajielewa hakuna shida; mfano wengine tulishaoa, ila tunahitaji kampani tu iliyo active katika kusongesha haya maisha, kama mtakutana wote ni watu wazima na mnajielewa kunakuwa hakuna shida.
Kusex nje ya ndoa sikuhizi ni fashion?🤳
 
Nimekuota leo😇
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…