Kuna siri gani katika namba 9? Kwanini mtoto akae tumboni miezi 9?

Sina shida ukijibandika label yoyote.

Ukweli upo wazi tu numerology ni pseudoscience.

Sasa ukiamua kuamini kufuata pseudoscience huo ni uchaguzi binafsi tu.
Hawa watu huwa wanaanza na conclusion wanayoitaka, halafu wanaungaunga namba kwa kulazimisha arbitrarily kufikia kwenye conclusion yao wanayoitaka.

Yani mtu anaweza kukuambia namba 9 ina madini.

Halafu akaenda kuokotezaokoteza vitu huko vinavyoonesha namba 9 ina madini, visivyokubaliana na conclusion hiyo anavitupa.

Halafu anakwambia unaona, namba tisa ina madini.

Yani hata akipiga hesabu na kupata 7 ina madini, atakwambia mwezi wa saba katika kalenda ya kale ya Kirumi ni September, mwezi wa tisa kwenye kalenda yetu. Arbitrarily anakupa story ya kalenda ya Kirumi, si ya Kikaldayo.

Hivyo, namba 9 ina madini.

Ni mazingaombwe ya kijingajinga tu.
 
Hii haizungumzii wale watoto njiti wanaozaliwa kabla ya muda.

Twende kimahesabu. Ukisema kila mwezi mmoja anaokaa tumboni uwe na siku 31 X miezi 9 utapata 279. Katika hiyo 279 ukijumlisha mbili kwa saba utapata 9

Ukisema kila mwezi anao kaa tumboni uwe na siku 30 X 9 utapata 270. Ukijumlisha hiyo mbili na saba utapata 9

Mtoto mwenyewe tumboni Anakaa kwa pozi la namba 9/6. Kuna nini?

View attachment 2899279

...Mtoto tumboni hakai miez 9 kamili kwanza mimba wataalam wanahesabu kwa wiki sio miezi...Na mjamzito anaweza kujifungua kuanzia wiki ya 36 mpak 40 iyo ni kawaida

Hii haizungumzii wale watoto njiti wanaozaliwa kabla ya muda.

Twende kimahesabu. Ukisema kila mwezi mmoja anaokaa tumboni uwe na siku 31 X miezi 9 utapata 279. Katika hiyo 279 ukijumlisha mbili kwa saba utapata 9

Ukisema kila mwezi anao kaa tumboni uwe na siku 30 X 9 utapata 270. Ukijumlisha hiyo mbili na saba utapata 9

Mtoto mwenyewe tumboni Anakaa kwa pozi la namba 9/6. Kuna nini?

View attachment 2899279
Rudi ukafanye Research yako upya.....Kiutaalam mtoto anazaliwa kuanzia wiki ya 36 mpaka 40 na mara nyingi ni zaidi ya iyo miez 9
 
Sasa umeelewa? Umeelewa nini?
😀😀
KUna key words nilikuwa naziover look so ndo zilichange maana ya Dhima na theory nzima..
"How do you even know" "Ever Considered " na "Quite possible" na Nyingine "may not have"
So if You overlook these Words kwenye context yako.ina change kila kitu
 
😀😀
KUna key words nilikuwa naziover looks so ndo zilichange maana ya Dhima na theory nzima..
"How do you even know" "Ever Considered " na "Quite possible" na Nyingine "may not have"
So if You overlook these Words kwenye context yako.ina change kila kitu
Exactly.
 
Haya unaona sasa.

Kumbe story nzima imejengwa kwenye uongo?
Unataka Nitengeneze Facts Numerologically au kama unavyoita consipiracy..au Fallacy 😅😅🤣

Mimba hutungwa kuanzia wiki ya 36 ambayo ukijumlisha 3+6 Ni 9 ambayo tunarudi pale pale kwenye 9..

Mimba huwa Full term au Tunaita Due term Kwenye wiki mpKa ya 40 ambayo nao ni namba of birth and Dealth numerologically..

Mtoto akizaliwa chini ya wiki 32 Inatakiwa apewe dawa za kukuza mapafu kwa sababu anaweza kuwa hajamature lungs..

32 =3+2=5 ambayo ni communication Au breath bado unataka niendelee..🤣🤣

Mimba huanza kutohesabika kama abortion ikifikisha wiki 28..
28 =10=1
1 maana yake start count au the leading au Mwanzo wa Uhai
Umenielewa 🤣🤣
 
Hawa watu huwa wanaanza na conclusion wanayoitaka, halafu wanaungaunga namba kwa kulazimisha arbitrarily kufikia kwenye conclusion yao wanayoitaka.

Yani mtu anaweza kukuambia namba 9 ina madini.

Halafu akaenda kuokotezaokoteza vitu huko vinavyoonesha namba 9 ina madini, visivyokubaliana na conclusion hiyo anavitupa.

Halafu anakwambia unaona, namba tisa ina madini.

Yani hata akipiga hesabu na kupata 7 ina madini, atakwambia mwezi wa saba katika kalenda ya kale ya Kirumi ni September, mwezi wa tisa kwenye kalenda yetu. Arbitrarily anakupa story ya kalenda ya Kirumi, si ya Kikaldayo.

Hivyo, namba 9 ina madini.

Ni mazingaombwe ya kijingajinga tu.
Ni ujinga ujinga tu.

Numerology haina ushahidi wowote wakisayansi.

Mtu anayeamua kuamini huo ujinga ni maamuzi yake hapaswi kuchukuliwa serious.

Anachangamsha jamvi.
 
Unataka Nitengeneze Facts Numerologically au kama unavyoita consipiracy..au Fallacy 😅😅🤣

Mimba hutungwa kuanzia wiki ya 36 ambayo ukijumlisha 3+6 Ni 9 ambayo tunarudi pale pale kwenye 9..

Mimba huwa Full term au Tunaita Due term Kwenye wiki mpKa ya 40 ambayo nao ni namba of birth and Dealth numerologically..

Mtoto akizaliwa chini ya wiki 32 Inatakiwa apewe dawa za kukuza mapafu kwa sababu anaweza kuwa hajamature lungs..

32 =3+2=5 ambayo ni communication Au breath bado unataka niendelee..🤣🤣

Mimba huanza kutohesabika kama abortion ikifikisha wiki 28..
28 =10=1
1 maana yake start count au the leading au Mwanzo wa Uhai
Umenielewa 🤣🤣
From a scientific standpoint, no evidence supports the idea that numbers have mystical or magical properties that can influence our lives.

Numerology ni scam tu.

Unadhani wewe pekeyako ndiyo unafahamu numerology?

Numerology ni janja janja yakujaribu kuonyesha uhusiano wa vitu visivyokuwepo au kuwezekana.

Ukichunguza kwa umakini haya mambo ya numerology yanapigiwa sana chapuo na scam artists.

Kwamfano mambo umeandika hapo juu hayana maana yoyote.

Inabidi ujitoe akili ukubali hayo.
 
Mi ni Scientist very devoted Scientists...
Ulianza vizuri mwanzoni..
Kuwa No evidence..

Kitu chochote Katika Science kinapokosa Evidence hatukiiti scam ila tunaita Theorem..mpaka Pale itakapokuwa proved Kuwa scientific facts..

Kwa asilimia kubwa waliopiga chapuo Numerology na walimu wakubwa wa numerology ndo wavumbuzi wakubwa wa kisayansi ya Hidden Mystery..

Go and Study 'Universal meaning of number"
Utawaona wanasayansi wengi sana hasa Ma Astrophycists wa Sasa na Wale wanasayansi karibu wote wa zaman kina Newtons,Galileo,Fardays,Pythagoras..kina S.Ramanujan N.k..

Its No evidence scientifically na wala haina supprt ila sio scam
 
"Mimi ni scientist very devoted scientist"

Ongezea hapo wewe pia ni numerologist ambaye anaamini kitu ambacho hakina maana, tena naku-quote moja ya maneno yako ukirejelea maana ya numerology "its no evidence scientifically na wala haina support"

Sasa kama unasema hiki na tena unakanusha, kwanini nikuchukulie serious?

Soon utaanza kuwa con artist.

Tena unanitaka niende nikasome ulichosema "Universal meaning of number"

Kwanini nifanye hivyo?

Unataka nipoteze muda wangu?

Au umesahau umeandika mwenyewe naku-quote tena "It has no evidence scientifically na wala haina support"

Mjadala ndiyo unaishia hapo.

Tofauti na hapo tuendelee kuchangamsha jamvi.
 
Kwanini nikafanye hivyo?

Unataka nipoteze muda wangu?

Au umesahau umeandika mwenyewe naku-quote tena "It has no evidence scientifically na wala haina support"

Mjadala ndiyo unaishia hapo.

Tofauti na hapo tuendelee kuchangamsha jamvi.
MKuu Nimeanza kupractise Numerologists au kusoma Numerologists Mwaka 1998 wakati nimemaliza Medical studies..(First Degree Ya Medical "MD")

Sijawahi kubadilika na kuwa corn I just Love the numbers na jinsi zinavyocheza na energy na frequency..

Sikushangai Hata Galileo Alipingwa sana Aliposema Dunia Inazunguka Jua..

Waliona kwao ni idea mpya na Kama Uongo scam au cult tu..
Lakini ilikuwa Kuthibitka yuko sahihi miaka mingi baadaye..
Watu Kama pythgoras na ramanujan ni wanasanyansi wa Kimahesabu Waliowahi kuwepo Duniani Na walikuwa Numerologists je waliwahi kuwa con artist..

Tusikariri maisha
 
Acha mambo yako basi.

Mimi ni mvuvi lakini ninaelewa namba kama nilivyofundishwa na mwalimu wangu wa primary na sijasahau hadi leo.

Nakushangaa ujue Mr Scientist.

Numerology haina mashiko yoyote.

1. Inawezekana vipi scientist kama wewe kuamini kitu ambacho HAKIPO kinaweza kuathiri maisha ya mwanadamu?

Au hufahamu namba kwa uhalisia hazipo?

Namba hazipo sehemu yoyote ile zaidi ya kwenye mawazo yetu.

Nikuulize Mr scientits. Je, nikisema kuna sita kwenye hiyo meza mbele yako, hiyo itakuwa na maana yoyote?

Hapana, kwasababu namba 6 haina maana yoyote na pia haipo mpaka niiassociate na kitu mfano kuna machungwa 6 kwenye meza. Sisi wanadamu tuna AKILI tunafahamu namna yakuelezea idadi ya vitu na kwa maana hiyo tunatumia namba.

2. Namba inategemea unatumia system gani. Kama unatumia decimal system basi tutatumia base 10 lakini ukiingia kwenye binary system inakuwa kitu kingine vilevile kwenye octal system. Inategemea sana.

3. Nasema soon utageuka scam artist kwasababu unatoka flawed arguments na unajua kabisa vichwa vibovu vitaamini hii dunia yetu inatawaliwa na namba na kila kitu duniani na kila namba inga nguvu blah blah blah.

4. Namba kama namba haina nguvu yoyote. Point yakurudi nayo nyumbani leo ni uliwengu wetu huu unatawaliwa na sheria za kihesabu na si namba kama namba kama unavyojaribu kusema Mr Doctor.

5. Tena kwasababu unadai hapa wewe ni scientist ungefahamu jinsi unavyoenda ndani zaidi katika mathematics namba zinakuwa replaced na variables.

6. Kwa maana rahisi hakuna namba yenye nguvu zaidi ya nyingine au uspecial wowote ule Mr Doctor.
 
Acha mambo yako basi.

Mimi ni mvuvi lakini ninaelewa namba kama nilivyofundishwa na mwalimu wangu wa primary na sijasahau hadi leo.

Nakushangaa ujue Mr Scientist.

Numerology haina mashiko yoyote.

1. Inawezekana vipi scientist kama wewe kuamini kitu ambacho HAKIPO kinaweza kuathiri maisha ya mwanadamu?

Au hufahamu namba kwa uhalisia hazipo?

Namba hazipo sehemu yoyote ile zaidi ya kwenye mawazo yetu.

Nikuulize Mr scientits. Je, nikisema kuna sita kwenye hiyo meza mbele yako, hiyo itakuwa na maana yoyote?

Hapana, kwasababu namba 6 haina maana yoyote na pia haipo mpaka niiassociate na kitu mfano kuna machungwa 6 kwenye meza. Sisi wanadamu tuna AKILI tunafahamu namna yakuelezea idadi ya vitu na kwa maana hiyo tunatumia namba.

2. Namba inategemea unatumia system gani. Kama unatumia decimal system basi tutatumia base 10 lakini ukiingia kwenye binary system inakuwa kitu kingine vilevile kwenye octal system. Inategemea sana.

3. Nasema soon utageuka scam artist kwasababu unatoka flawed arguments na unajua kabisa vichwa vibovu vitaamini hii dunia yetu inatawaliwa na namba na kila kitu duniani na kila namba inga nguvu blah blah blah.

4. Namba kama namba haina nguvu yoyote. Point yakurudi nayo nyumbani leo ni uliwengu wetu huu unatawaliwa na sheria za kihesabu na namba kama unavyojaribu kusema Mr Doctor.

5. Tena kwasababu unadai hapa wewe ni scientist ungefahamu jinsi unavyoenda ndani zaidi katika mathematics namba zinakuwa replaced na variables.

6. Kwa maana rahisi hakuna namba yenye nguvu zaidi ya nyingine au uspecial wowote ule Mr Doctor.
Vipi kuhusu Binary number and Computer communicative Process..
Binary ya 10 au 1001 au 1010 nayo pia Haina maana?
What about Binary nayo ni scam unajua kwanini? Wametumia 1001 au 10 insteady ya 20 au 21 kwenye binary..

Elimu ni Pana Sana so usijifungie kwenye CHUPA

Ngoja niconclude kwa kusema "conveniamus ut dissentiamus" yaani "let's agree to disagree."
 
Unataka Nitengeneze Facts Numerologically au kama unavyoita consipiracy..au Fallacy 😅😅🤣

Mimba hutungwa kuanzia wiki ya 36 ambayo ukijumlisha 3+6 Ni 9 ambayo tunarudi pale pale kwenye 9..

Mimba huwa Full term au Tunaita Due term Kwenye wiki mpKa ya 40 ambayo nao ni namba of birth and Dealth numerologically..

Mtoto akizaliwa chini ya wiki 32 Inatakiwa apewe dawa za kukuza mapafu kwa sababu anaweza kuwa hajamature lungs..

32 =3+2=5 ambayo ni communication Au breath bado unataka niendelee..🤣🤣

Mimba huanza kutohesabika kama abortion ikifikisha wiki 28..
28 =10=1
1 maana yake start count au the leading au Mwanzo wa Uhai
Umenielewa 🤣🤣

Nimekuuliza kwa nini unajumlisha tu, hutoi, huzidishi, hugawanyi.

Hujanijibu.

That seems arbitrary.

Sijakuelewa mpaka uweke kalenda ya Warumi na hesabu za Wakaldayo 🤣🤣🤣
 
Vipi kuhusu Binary number and Computer communicative Process..
Binary ya 10 au 1001 au 1010 nayo pia Haina maana?
What about Binary nayo ni scam unajua kwanini? Wametumia 1001 au 10 insteady ya 20 au 21 kwenye binary..

Elimu ni Pana Sana so usijifungie kwenye CHUPA

Ngoja niconclude kwa kusema "conveniamus ut dissentiamus" yaani "let's agree to disagree."
Mr Doctor unakosa uelewa wa msingi.

Sikuelewi unataka kusema nini.

0 na 1 haina maana yoyote ile unless it is used for encoding data and performing calculations in digital systems.

Pia Mr Doctor binary si pseudoscience.

Binary ina msingi wake......mathematical principals.

Ngoja nipate ugali na samaki nitarudi.
 
"MInd choose Eyes want to see"
😂😂
Sijui umeona ulichoandika Kwahyo umebagua kwamba kumbe kuna namba umeziwekea Lebel hizi ni Pseudo na hizi hazipo..

kama binary ina Misingi yake so do the Numerology?😂😂
Sijui kama umekielewa Ulichoandika?
Numerology pia Ina mathematical Principal na Mwanzilishi mmojawapo Ni father of Mathematics 😂😂

Mkuu we pata Ugali na Samaki huenda Umetype ukiwa na Njaaa😅🤣🤣😂😂
 
Nimekuuliza kwa nini unajumlisha tu, hutoi, huzidishi, hugawanyi.

Hujanijibu.

That seems arbitrary.

Sijakuelewa mpaka uweke kalenda ya Warumi na hesabu za Wakaldayo 🤣🤣🤣
Kwanini unajumlisha kwa sababu Numerology ni Arithmetic operations ya number au Alphabetical to number value..
Sijui nimekujibu hapo?

Unataka niweke Kalendar ya warumi ya Mwaka gani 😂😂😂 BCE au C..
Unataka rome enzi as Kingdom(Roman kingdom) as Republic (Roman Republic) au As Empire (Roman Empire)..

Unataka Gregory au Julian 😂..
 
Back
Top Bottom