Kuna siri gani Rais kujaza wanasheria kwenye Baraza la Mawaziri?

Wa kuwaamini ni mainjinia tu, wanasheria wengi ni nyoka.
 
Degree za PASS hizi ndio zipo kwenye siasa
 
Wa kuaminika ni wanafunzi wasomi kutoka SUA tu, wengine ni matakataka tu!
 
Halafu wote hao huko serikalini na bado mikataba ni ya kimagumashi, huko kwenye mahakama za kimataifa siku zote tunashindwa. Sijui huko serikalini huwa wanashauri nini? waalimu wa wanasheria hawa wanalo la kujifunza hapa.
 
Hawana faida Kwa nafasi zao wanazotumikia wakiwa pia kama wanasheria. Issue kama ya DPWorld wangemshauri vyema rais wa nchi kwenye baraza la mawaziri Ili nchi isiingie kwenye huo mkataba mbovu kuwahi kutoka.
 
Hao wote ni makapuku kasoro Pinda tu hapo ndiye anayejitambua....

Fanya utafiti
 
Kwani bunge si linaongozwa na yule Dr. Uchwara wa sheria je unalienable?? Ndani ya CCM ili ukubalike ni starting akili na elimu yako uvifukie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…