Nowonmai
JF-Expert Member
- Jan 15, 2019
- 1,050
- 1,126
Kiukweli fani ya sheria ni fani adhimu!.
p
- Spika wa Bunge Dr. Tulia Akson ni mwanasheria
- Jaji Mkuu, Prof. Ibrahim Juma ni mwanasheria
- GAC Kicheere ni Mwanasheria
- Mkurugenzi Mkuu wa TAA ni mwanasheria
- Mkurugenzi Mkuu wa TCAA ni mwanasheria.
- Katibu Mkuu Utalii Dr. Hassan Abasi ni mwanasheria
- Katibu Mkuu Michezo na Utamaduni ni ni mwanasheria
Mkuu P.
Fani zote ni adhimu kama maadili yake yakishikiliwa.
Udaktari wa binadamu, uandishi wa habari, na uanasheria ni fani ambazo maadili husomwa na kusisitizwa sana huko vyuoni.
Ila wahusika wakisha tunukiwa hizo shahada kinachofuata ni posturing nyingi tu, na upigaji hasa kwenu nyie wanasheria.
Na kwasababu Tz yetu haina vyombo vyenye dhamira thabiti ya kukukazia hayo maadili, posturing inakuwa ndiyo taswira ya kudumu inayoonekana kwa wananchi.
Ndiyo maana hata uadhimu wa hizo fani hauonekani tena au kutiliwa maanani na kizazi cha leo.