Kuna siri gani Rais kujaza wanasheria kwenye Baraza la Mawaziri?


Mkuu P.

Fani zote ni adhimu kama maadili yake yakishikiliwa.

Udaktari wa binadamu, uandishi wa habari, na uanasheria ni fani ambazo maadili husomwa na kusisitizwa sana huko vyuoni.

Ila wahusika wakisha tunukiwa hizo shahada kinachofuata ni posturing nyingi tu, na upigaji hasa kwenu nyie wanasheria.

Na kwasababu Tz yetu haina vyombo vyenye dhamira thabiti ya kukukazia hayo maadili, posturing inakuwa ndiyo taswira ya kudumu inayoonekana kwa wananchi.

Ndiyo maana hata uadhimu wa hizo fani hauonekani tena au kutiliwa maanani na kizazi cha leo.
 
wanasheria ndio viumbe wenye akili hapa duniani wewe.
 
Sasa kuna kitu cha kujifunza unapoona baraza limejaa wanasheria alafu kinachoendelea kwenye mambo ya nchi ni chenga tu au sifuri kwa maneno mengine,sasa hapo unapata picha ya wanasheria wanaozalishwa na vyuo vyetu kuwa ni chenga tupu na hivyo maboresho kwenye kitivo cha sheria vyuo vikuu hayakwepeki maana ishara ziko wazi kuna umbumbumbu mkubwa sana na sio kidogo kwenye sheria na ufahamu wake kwa wahitimu wetu.
 
Na kadi za chama chetu zinaendelea kurudishwa jana ilikuwa kwa wamasai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ