Kuna tabia ya kike imeingia miongoni mwa wanaume kulala kwenye vitanda vya kike

Kuna tabia ya kike imeingia miongoni mwa wanaume kulala kwenye vitanda vya kike

Kwa hiyo tutumie virago au tulale juu ya miti?
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
images (1).jpeg
 
Hii tabia imekaa kiupinde sana unakuta mwanaume kabisa ananua kitanda eti bed sofa WTF!

Kihalisi kitanda cha kiume ni cha mbao, imeshindikana kabisa basi kiwe cha chuma kisicho na urembo wa sofa.
​

View attachment 3589622
Hivi vitanda vimekaa kikike na vinapendwa na wanawake​
Hata kuoga pia,mwanaume unaogaje umekuwa mwanamke?
 
Back
Top Bottom