Acha akiri mgando.Hii tabia imekaa kiupinde sana unakuta mwanaume kabisa ananua kitanda eti bed sofa WTF!
Kihalisi kitanda cha kiume ni cha mbao, imeshindikana kabisa basi kiwe cha chuma kisicho na urembo wa sofa.
View attachment 3589622
Hivi vitanda vimekaa kikike na vinapendwa na wanawake
Kwanza hiki ni kitanda au Ghorofa? yaani unakuta kijana maskini analalia nusu ya utajiri wake wote. WTFHii tabia imekaa kiupinde sana unakuta mwanaume kabisa ananua kitanda eti bed sofa WTF!
Kihalisi kitanda cha kiume ni cha mbao, imeshindikana kabisa basi kiwe cha chuma kisicho na urembo wa sofa.
View attachment 3589622
Hivi vitanda vimekaa kikike na vinapendwa na wanawake
Punguza mito huo ni ubadhilifu na dalili za mbunyeto.Kitanda ya Mwanaume hio.View attachment 3589626
Ndio mwanaume unavaa Bukta, yaani mtoto wa kiume unavaa ndembendembe unaita Boxer?Sio muda atatoa ushauri, tuache kuvaa boxer, tuvae bukta. Inaonekana old school huyu mkali. 😁
Tunakoelekea utatuambia kitanda cha mwanaume ni kile walichotumia mbao za mlingoti, kilichotengenezwa kwa mninga ni cha kike.Hii tabia imekaa kiupinde sana unakuta mwanaume kabisa ananua kitanda eti bed sofa WTF!
Kihalisi kitanda cha kiume ni cha mbao, imeshindikana kabisa basi kiwe cha chuma kisicho na urembo wa sofa.
View attachment 3589622
Hivi vitanda vimekaa kikike na vinapendwa na wanawake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aiseee!Nimekichunguza hicho kitanda sijaona kama kina papuchi.Mkuu bado upo kwenye box la uzamani.Tunapoelekea utatushauri wanaume tulale juu ya moto ili tufe.Punguza masharti usife kwa sonona.
[emoji23][emoji23][emoji23]Kitanda chake, nyumba yake, pesa yake, kama cha kike kakipenda yeye.
Wewe tatizo lako nini?
Si una kitanda chako unachokitaka? Kwa nini kitanda cha mtu mwingine kikushughulishe sana?
Hii ni dalili ya mtu kutokuwa na kitu, hana pesa, hana elimu, anashikilia mapumbu yake tu.Ila wanaume wa kibongo wako so insecure, yaan wako hai hai kutafuta validation ya uanaume wao, ambao kimsingi hata siuoni kwangu binafsi.
Lol
Mwanamme unakuaje na pazia?Hii nakubaliana na wewe kabisa..
Mwanaume mzima unakua na bed sofa si umama huo...
View attachment 3589624
Mwanamme unalala mpaka asubuhi?Hata ukilala mwanaume haitakiwi kugeuka geuka unatakiwa ulale umenyooka mpaka asubuh 🤣🤣🤣
Khaaa we jamaaa kwahyo mbu waingie ndani sioMwanamme unakuaje na pazia?
Kwa kweliii, pumbu ndio faraja yake, [emoji23][emoji23][emoji23]Hii ni dalili ya mtu kutokuwa na kitu, hana pesa, hana elimu, anashikilia mapumbu yake tu.