Ibilisi Mjalaana
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,297
- 16,529
Vitanda vya vijana wa uzi wa efootball
😅😅 namna hiyoo , huo ndio uanaumeHakyanane.Tumepatikana.Kwa hiyo ni griiii...griii halafu unavaa kaboka na kutokomea mbali kwa mbali?
Hakyanane!😅😅 namna hiyoo , huo ndio uanaume
mwanaume unajimwagia maji mkuu.Hata kuoga pia,mwanaume unaogaje umekuwa mwanamke?
Kitanda chake, nyumba yake, pesa yake, kama cha kike kakipenda yeye.Hii tabia imekaa kiupinde sana unakuta mwanaume kabisa ananua kitanda eti bed sofa WTF!
Kihalisi kitanda cha kiume ni cha mbao, imeshindikana kabisa basi kiwe cha chuma kisicho na urembo wa sofa.
View attachment 3589622
Hivi vitanda vimekaa kikike na vinapendwa na wanawake
Kawaida maskini Kila kitu kizuri asichoweza kukimudu lazima atakiponda(za nini hizi, Kwanza mbichi) ila wewe umaskini kwko umezidi dahh!🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕Hii tabia imekaa kiupinde sana unakuta mwanaume kabisa ananua kitanda eti bed sofa WTF!
Kihalisi kitanda cha kiume ni cha mbao, imeshindikana kabisa basi kiwe cha chuma kisicho na urembo wa sofa.
View attachment 3589622
Hivi vitanda vimekaa kikike na vinapendwa na wanawake
Shuka ya nini hapo? Mwanaume anatakiwa ajifunike ngumi.
Unajua gharama yake hiyo😅😅😅😅Kitanda ya Mwanaume hio.View attachment 3589626
Hata kuulizia sitaki.Unajua gharama yake hiyo😅😅😅😅
😂😂😂😂😂😂😂Hata kuulizia sitaki.