cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
[emoji23][emoji23][emoji23]Halafu mambo ya kutumia social networks km Jf ni umama na ushoga, dume la mbegu inatakiwa utumie barua au ukaushe kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23]Halafu mambo ya kutumia social networks km Jf ni umama na ushoga, dume la mbegu inatakiwa utumie barua au ukaushe kabisa.
Acha kutushushia hadhi yetu. Mwanaume analala barazani kuzuia wezi....Mwanaume unalalaje kitandani? Mwanaume unatakiwa ulale sakafuni
Cha msingi kijana wangu, we tafuta hela tu. Mengine yanajileta yenyewe ukiwa na hela ya kutosha.Mi mwenyewe sofa bed hapana aisee.
Yaani mwanaume unapandaje basi kwenda mkoa wakati kuna maFuso na yale magari ya magazeti? Yaani dume zima linaenda Airport kupanda ndege??? Treni si ipo?Kwa kweliii, pumbu ndio faraja yake, [emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣 KabisaaAcha kutushushia hadhi yetu. Mwanaume analala barazani kuzuia wezi....
Sa kama umeolewa utafanyaje mkuu?Hii tabia imekaa kiupinde sana unakuta mwanaume kabisa ananua kitanda eti bed sofa WTF!
Kihalisi kitanda cha kiume ni cha mbao, imeshindikana kabisa basi kiwe cha chuma kisicho na urembo wa sofa.
View attachment 3589622
Hivi vitanda vimekaa kikike na vinapendwa na wanawake
Hapo sasa Gran pah, [emoji23][emoji23][emoji23]Yaani mwanaume unapandaje basi kwenda mkoa wakati kuna maFuso na yale magari ya magazeti? Yaani dume zima linaenda Airport kupanda ndege??? Treni si ipo?
Nilishasemaga situmii bed sofa iwe Nina Hela au Sina. Sijawahi vipenda hivyo vitanda.Cha msingi kijana wangu, we tafuta hela tu. Mengine yanajileta yenyewe ukiwa na hela ya kutosha.
HahahhahShuka ya nini hapo? Mwanaume anatakiwa ajifunike ngumi.