Kuna tabia ya kike imeingia miongoni mwa wanaume kulala kwenye vitanda vya kike

Mwakinyo huwa anapenda taarab, anasikiliza na nilimuona anacheza, lakini huwezi kusimama nae kwenye ngumi, utapigwa ufe ukinusurika basi ni ngumi moja unajinyea kabla hujazirai..

Vitu ambavyo mwanaume anapenda, anafanya, anakula, anatumia, hai akisi kama ni mwanaume kamili au sio mwanaume kamili(bwabwa).

Na ukiendelea hivyo ukizeeka utakuja kuwa vile vizee vichawi mtaani..
 
Kitanda chake, nyumba yake, pesa yake, kama cha kike kakipenda yeye.

Wewe tatizo lako nini?

Si una kitanda chako unachokitaka? Kwa nini kitanda cha mtu mwingine kikushughulishe sana?
 
Kawaida maskini Kila kitu kizuri asichoweza kukimudu lazima atakiponda(za nini hizi, Kwanza mbichi) ila wewe umaskini kwko umezidi dahh!πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…