Kuna tabia ya kike imeingia miongoni mwa wanaume kulala kwenye vitanda vya kike

Kwa kweliii, pumbu ndio faraja yake, [emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani mwanaume unapandaje basi kwenda mkoa wakati kuna maFuso na yale magari ya magazeti? Yaani dume zima linaenda Airport kupanda ndege??? Treni si ipo?
 
Yaani mwanaume unapandaje basi kwenda mkoa wakati kuna maFuso na yale magari ya magazeti? Yaani dume zima linaenda Airport kupanda ndege??? Treni si ipo?
Hapo sasa Gran pah, [emoji23][emoji23][emoji23]
Bibi Sky yuko wapii? Nime mmic nae.
 
Cha msingi kijana wangu, we tafuta hela tu. Mengine yanajileta yenyewe ukiwa na hela ya kutosha.
Nilishasemaga situmii bed sofa iwe Nina Hela au Sina. Sijawahi vipenda hivyo vitanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…