Song of Solomon
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 2,752
- 5,609
Nimependezwa sana na jibu lako hakika umeufurahisha sana moyo wangu,ndg yangu hii dunia ina watu wa aina nyingi sana mojawapo ni huyu anaebisha mambo asiyoyajua,mambo ya rohoni kuajua inahitajika Neema kweli kweliUnachoongea upo kwenye upofu nisingependa mada iingie kwenye malumbano ya kidini.Nafunga mjadala kati yangu na wewe.
Maswali ya kijinga kama haya huwa hayajibiwiHuyo mchawi wa diamond anapatikana wapi?
Watu hawajamgundua waende kupanga foleni kwake?
Walichagua Tabora wachawi wake wakajitetea zindiko hilo litahusisha majini mengi na huko Tabora hakuna maji mengi.Tanga wakagoma wakasema mazindiko mengi makubwa yalifanyikia kwao ikabakia Lindi wapo karibu na bahari na madhara yake ni mkoa kuwa masikini kuliko na wananchi zindiko lilipofanyika kuwa na akili au uelewa mdogo.La Lindi hujalidadafua mkuu tulijue kidogo

Walichagua Tabora wachawi wake wakajitetea zindiko hilo litahusisha majini mengi na huko Tabora hakuna maji mengi.Tanga wakagoma wakasema mazindiko mengi makubwa yalifanyikia kwao ikabakia Lindi wapo karibu na bahari na madhara yake ni mkoa kuwa masikini kuliko na wananchi zindiko lilipofanyika kuwa na akili au uelewa mdogo.Hapa pazito... Hakuna namna ya kuliangamiza hilo zindiko ili tuanze upya? Wananchi tuna teseka jamani na makosa ya wachache
Hapo Nyerere umemtoa lakini yeye ndio mwanzilishi wa hayo yote.Baada ya hapo waliofuatia wote waliingia kwa upole na unyenyekevu lakini mara wakageuka wajivuni, wababe, na baadhi yao dharau kujikweza na kujimwambafai kwingi...bila kusahau vitisho na ugiligili mwingine mwingi
Baada ya hapo wengine wote watakanguliza maslahi binafsi, ya ndugu zao, jamaa zao na watu wote waliokuwa na maslahi nao
Sasa Chief kwanini amuombe Mungu?, Hauoni kumwambia amuombe Mungu ni kukubaliana naye kuwa kweli hizo nguvu giza zipo?Hayaa sasa yale yalee..mkuu ebu toka kwenye hayo mawazo bas. Ebu jikitr kufanya kaz kwa bidii na umuombe MUNGU utafanikiwa.
Ikiwa kama kweli hii nchi inalaana mbona MUNGU yupo na ndo anaweza kutuondolea hizo laana.
Kama kweli laanza ipo, mbona kila kukicha viongoz wa dini zote wanakusanyika na kuliombea taifa. Na wengine wanaitisha maombi hadi ya kufunga kwa ajili ya kuondosha laana katika nchi. Mbona kila mwaka tunafunga mwez wa ramadhani kumuomba Mwenyezi Mungu atuondolee kila makosa na laana.
Kama tunafanya maombi iweje bas uendelee kuamni kuwa nchi ina laana? Kama laana iliingia nchini kwa makafara na maombi ya wachawii, bas laana imeshatoka pia kwa maombi na sadaka za wanaomcha MUNGU. Ebu tuachane na mawazo hayo..laana ni yako mtu binafs unapoacha kufanya kaz kisha unalaumu wengine kwa kufeli kwako hiyo ndo laana sasa.
Hakuna taifa lolote duniani lililosimama imara bila nguvu za mkuu wa anga! Kuanzia matambiko mpaka makafara na vyama vya kishetani.
Hivi vyote vimejenga madhabahu zao kwenye kila ardhi ya kila taifa. Wananchi wake wana dini na imani zao lakini mataifa yamesimikwa kwenye hizi madhabahu viapo na makafara.
Tanzania nj taifa kama mataifa mengine duniani, nayo ina makafara na madhabahu zake za kuifanya nchi itawalike iheshimike na iwe na 'stability' kwenye kila nyanja kuanzia kiuchumi, kijamii, kimaono mpaka kiulinzi nk
Kuna makafara ya kuilinda Tanzania yanatajwatajwa sana.. Kafara la Bagamoyo na kafara la Lindi! Kafara la Bagamoyo linaelezewa kwa ufasaha na wahusika wake wanajulikana.. Shida ipo kwenye usiri mkubwa unaotawala kwenye kafara la Lindi
Hili limebaki kuwa fumbo na tetesi isiyothibitishwa popote. Wanaolijua ni wachache na hulisimulia kwa tahadhari kubwa sana! Lina nini ndani yake hili?
Kafara la Bagamoyo ni la moto..na kiongozi wake ni Mzee mchawi marehemu Forojo Ganze na hiki ndicho alikisema kabla ya kukata roho
"Baba, sisi tunataka kuwasha mwenge na kuuweka juu ya mlima Kilimanjaro, umulike hata nje ya mipaka yetu, ulete tumaini mahala pasipo na tumaini, faraja palipo na huzuni, tumaini pasipo na tumaini, upendo penye chuki na heshima palipo na dharau"
Baada ya kutamka hayo mbele ya Mwl. Nyerere, Ganze alikata roho na ndipo ukaanzishwa Mwenge wa Uhuru. Kinachonishangaza hapa ni kile kipengele kisemacho"UMULIKE NJE YA MIPAKA YETU". Ina maana ndani ya nchi tubaki gizani kama tulivyo sasa?
Hli kafara la Bagamoyo tunaweza kuliita kafara la mambo ya nje na lile la Lindi tunaweza kuliita la mambo ya ndani...sasa hapa ndio penye shida...ni kafara la mambo ya ndani na limebaki ndani na kuwa siri kubwa
Mwalimu Nyerere Mchonga meno kwa hakika anayajua vema makafara yote mawili na miiko yake na pengine ndio maana katika tawala zote tangu uhuru ni utawala wake pekee ndio ukifanikiwa kwa kiwango cha juu kwenye
Kuweka misingi sahihi ya uongozi, uwajibikaji na uzalendo
Kuweka misingi sahihi kijamii, kisiasa na kiulinzi
Kuweka misingi sahihi ya kimtazamo na kimaono
Mipango endelevu na dira sahihi tangu tulipoanzia, tulipofikia na tunakoenda
Baada ya hapo waliofuatia wote kila mtu alikuja na MAGAZIJUTO YAKE na sarakasi zake
Baada ya hapo kila aliyeingia alianza vizuri lakini hakuchelewa kuharibu. Kama si kipindi cha kwanza basi cha pili cha uongozi wake
Baada ya hapo waliofuatia wote waliingia kwa upole na unyenyekevu lakini mara wakageuka wajivuni, wababe, na baadhi yao dharau kujikweza na kujimwambafai kwingi...bila kusahau vitisho na ugiligili mwingine mwingi
Baada ya hapo wengine wote watakanguliza maslahi binafsi, ya ndugu zao, jamaa zao na watu wote waliokuwa na maslahi nao
Mambo yanazidi kuharibika na pengine hawaoni wametiwa upofu.. Huu ugiligili sasa ni mpaka kwa viongozi wanaowateua kuwasaidia majukumu ya kiutendaji. Sasa hivi kiongozi akipewa kipaza sauti aongee mbele ya makamera asipotoa boko basi atatoa kituko cha karne ama kuongea yasiyowezekana
Matamko ni mengi mno
Maelekezo ni mengi mno
Makatazo ni mengi mno
Maonyo ni mengi mno
Yani haya ni mengi mno mpaka yanapishana barabarani na kupigana vibega
Kuna tatizo kubwa la kiuongozi na hili lina mizizi mirefu tangu ang'atuke mwalimu. Je, kwa mtazamo wa kiroho ni lile kafara la Lindi?
Wakati utaongea. Hebu tuupe muda!
DuhKuna hivi vifo pia vinahusishwa na kafara la Lindi
Mkuu wa nchi
Mtendaji mkuu
Mlinzi wa sheria
Mkuu wa walinzi
I think hata viongozi wetu huanza vizuri ila ikifikia mahali hubadilika na kufungwa ufahamu wa kutenda mamboFunguka zaidi Mshana hata Kwa codes mbona mie naweka nyama za kutosha au hupendi watu wajue hebu muda unao weka madini humu watu waamke nchi inapelekwa kiroho na ndiyo maana kimwili no delivery
Kafara la Lindi mtafute mtu anaitwa Omari Mnyeshani amezungumzia vizuri na amehusika moja kwa mojaHakuna taifa lolote duniani lililosimama imara bila nguvu za mkuu wa anga! Kuanzia matambiko mpaka makafara na vyama vya kishetani.
Hivi vyote vimejenga madhabahu zao kwenye kila ardhi ya kila taifa. Wananchi wake wana dini na imani zao lakini mataifa yamesimikwa kwenye hizi madhabahu viapo na makafara.
Tanzania nj taifa kama mataifa mengine duniani, nayo ina makafara na madhabahu zake za kuifanya nchi itawalike iheshimike na iwe na 'stability' kwenye kila nyanja kuanzia kiuchumi, kijamii, kimaono mpaka kiulinzi nk
Kuna makafara ya kuilinda Tanzania yanatajwatajwa sana.. Kafara la Bagamoyo na kafara la Lindi! Kafara la Bagamoyo linaelezewa kwa ufasaha na wahusika wake wanajulikana.. Shida ipo kwenye usiri mkubwa unaotawala kwenye kafara la Lindi
Hili limebaki kuwa fumbo na tetesi isiyothibitishwa popote. Wanaolijua ni wachache na hulisimulia kwa tahadhari kubwa sana! Lina nini ndani yake hili?
Kafara la Bagamoyo ni la moto..na kiongozi wake ni Mzee mchawi marehemu Forojo Ganze na hiki ndicho alikisema kabla ya kukata roho
"Baba, sisi tunataka kuwasha mwenge na kuuweka juu ya mlima Kilimanjaro, umulike hata nje ya mipaka yetu, ulete tumaini mahala pasipo na tumaini, faraja palipo na huzuni, tumaini pasipo na tumaini, upendo penye chuki na heshima palipo na dharau"
Baada ya kutamka hayo mbele ya Mwl. Nyerere, Ganze alikata roho na ndipo ukaanzishwa Mwenge wa Uhuru. Kinachonishangaza hapa ni kile kipengele kisemacho"UMULIKE NJE YA MIPAKA YETU". Ina maana ndani ya nchi tubaki gizani kama tulivyo sasa?
Hli kafara la Bagamoyo tunaweza kuliita kafara la mambo ya nje na lile la Lindi tunaweza kuliita la mambo ya ndani...sasa hapa ndio penye shida...ni kafara la mambo ya ndani na limebaki ndani na kuwa siri kubwa
Mwalimu Nyerere Mchonga meno kwa hakika anayajua vema makafara yote mawili na miiko yake na pengine ndio maana katika tawala zote tangu uhuru ni utawala wake pekee ndio ukifanikiwa kwa kiwango cha juu kwenye
Kuweka misingi sahihi ya uongozi, uwajibikaji na uzalendo
Kuweka misingi sahihi kijamii, kisiasa na kiulinzi
Kuweka misingi sahihi ya kimtazamo na kimaono
Mipango endelevu na dira sahihi tangu tulipoanzia, tulipofikia na tunakoenda
Baada ya hapo waliofuatia wote kila mtu alikuja na MAGAZIJUTO YAKE na sarakasi zake
Baada ya hapo kila aliyeingia alianza vizuri lakini hakuchelewa kuharibu. Kama si kipindi cha kwanza basi cha pili cha uongozi wake
Baada ya hapo waliofuatia wote waliingia kwa upole na unyenyekevu lakini mara wakageuka wajivuni, wababe, na baadhi yao dharau kujikweza na kujimwambafai kwingi...bila kusahau vitisho na ugiligili mwingine mwingi
Baada ya hapo wengine wote watakanguliza maslahi binafsi, ya ndugu zao, jamaa zao na watu wote waliokuwa na maslahi nao
Mambo yanazidi kuharibika na pengine hawaoni wametiwa upofu.. Huu ugiligili sasa ni mpaka kwa viongozi wanaowateua kuwasaidia majukumu ya kiutendaji. Sasa hivi kiongozi akipewa kipaza sauti aongee mbele ya makamera asipotoa boko basi atatoa kituko cha karne ama kuongea yasiyowezekana
Matamko ni mengi mno
Maelekezo ni mengi mno
Makatazo ni mengi mno
Maonyo ni mengi mno
Yani haya ni mengi mno mpaka yanapishana barabarani na kupigana vibega
Kuna tatizo kubwa la kiuongozi na hili lina mizizi mirefu tangu ang'atuke mwalimu. Je, kwa mtazamo wa kiroho ni lile kafara la Lindi?
Wakati utaongea. Hebu tuupe muda!
Uko sahihi kabisa mkuu,nimependa maelezo yakoTukumbuke mfalme wa dunia ni shetani na ana namna zake kupoteza watu. Ana kuzimu yake chini ya bahari ,maziwa,mito wanakoenda kupewa utajiri,umaarufu ,nguvu za kutawala.Ila ana muda ukiisha ni hukumu na sio kwamba wanaokufa na dhambi hawapati adhabu wanapata.
Kuzimu real ni huko kunakowaka moto na ndiyo wafu wanateseka huko wakisuburia hukumu ya mwisho.Mafundisho ya uongo ya kuhusu Mahurulaini na Purgatory (toharani), imani za kishetani, mafundisho ya vyama vya Siri na kuundaa ulimwengu kuja kwenye New World Order kupitia mfumo wa kidunia yaani kiutawala, elimu na Burudani zote,Sayansi na teknolojia yanaendelea kufundishwa.
Mwili unakufa ila roho haifi hata milele, yaani mwili (body) kati kati Kuna nafsi ( soul) na then roho (spirit). Majini ,mapepo ,wakuu wa anga na viumbe vyote vichafu au fallen angels hawana miili wanategemea kutumia ya wanadamu.
Linajulikana kama nilivyojaribu kulielezea tena Hadi eneo la hicho kijiji ila as hatujashiriki hatujui undani sana.
Hilo eneo linatakiwa linunuliwe lote ili Hao wachawi wasiende kuongezea nguvu za kuinyonga nchi zaidi .Ni kipande kidogo kimeshanunuliwa inahitajika linunuliwe lote then pajengwe kitu kizuri kuua uchawi huo .Tatizo watu hawatoi pesa za kununua wengi washirikina na wanaishi Kwa ushetani.Ni high time tuokoe nchi yetu hata kujua hizi Siri ni mwanzo wa safari ndefu kwani zimefichwa mno hizi habari na wahusika wanakufa Kila siku.

Hebu tuanze kuchangishana tupate hela sasa tukalinunue halafu tujenge hema kuu ya Mungu mkuu Muumba wetu tukusanye watu wa kiroho wanaosema na mungu wetu tukakemee hayo mashetani Taifa lipone!!!Hajapiga mchonga ni wale Wazee wenye chama chao na ni kabla ya 1990 Lindi na tukumbuke Wana mazindiko madogo madogo mara kwa mara
Sasa najiuliza why wamuondoe huyu mkuu wa nchi?au inawezekana huyu alikua kinyume na mambo yao?pengine mzee ndo alikua anatupeleka on the right track?au aliwakwaza wapi?Kuna hivi vifo pia vinahusishwa na kafara la Lindi
Mkuu wa nchi
Mtendaji mkuu
Mlinzi wa sheria
Mkuu wa walinzi