Kuna tatizo mahali kwenye nafasi ya uongozi nchi hii. Je, kafara la Lindi linahusika?

Una madini mkuu, tuelimishane jamani
 
Namwaga mboga, kama sikosei anapepea na nyota ya mwamba Steven Kanumba.
 
Kafara la Lindi mtafute mtu anaitwa Omari Mnyeshani amezungumzia vizuri na amehusika moja kwa moja
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1752]
 
Huyu anataka ulimwengu wa Siri tumuwekee hapa sio wote ni wanaochaguliwa tu .Ukifanya utafiti utajua sio mpaka Mimi au Mshana Jr akuoneshe kuwa ni waleee
Mkuu umeyajuaje haya yote embu Nifundishe
 
Sasa najiuliza why wamuondoe huyu mkuu wa nchi?au inawezekana huyu alikua kinyume na mambo yao?pengine mzee ndo alikua anatupeleka on the right track?au aliwakwaza wapi?
Hapana aliharibu alipolidharau kafara la kukimbiza moto...Ule moshi wa Ruangwa ndio ilikuwa alama ya onyo na karipio
 
I think hata viongozi wetu huanza vizuri ila ikifikia mahali hubadilika na kufungwa ufahamu wa kutenda mambo
Hili jambo lipo spiritual na linaathiri kuanzia ardhi,mimea,wanyama, resources aina zote Hadi viongozi.

Angàlia nchi zingine wanakotokea hadi nchi zao zinapofika Rwanda,South Korea,Angola, Singapore,Japan Kwa uchache na sio kwamba wao wanamcha Mungu wa Kweli

Jambo likifanyika rohoni linamaliza kabisa huku ulimwengu mwili.

Tanzania mkombozi wa Afrika eti ni ovyo , masikini,uongozi usio na dira. Eti Nyerere aliingiza nchi vita vya Kagera na ujamaa ambao China ,Urusi ,Ujerumani Mashariki na wengine wamebadilika vizuri.

Eti akaja Mwinyi akauza Loliondo na madudu mengine.KATABALO yakamkuta.......Akaja Mkapa akaleta Network Solutions ya SA ,akauza NBC kiajabu na program yake ya kuiondoa serikali kwenye biashara,akaiba mno mfano Radar,Meremeta na ishu za akina. Daudi Balali.Akanunua hotel South Afrika ANBEN mgodi wa makaa ya mawe.Sethy Chachage akaandika MAKUWADI WA SOKO HURIA ..........

Akaja JK naye akaiba mno Tegeta ESCROW account,Kagoda Agriculture,Twin Towers za BOT,RICHMOND na zingine ambazo nikipata muda nitakumbushia.Pia mihadarati ikashamiri mno.Kutokuwajibika ,Rais kuwa VAsco Da Gama anasafiri duniani kuliko kukaa nchini tena na delegates zinazofilisi nchi kwa gharama kupitia kodi za wavuja jasho. Kina KUBENEA,DR. ULIMBOKA na Mhariri wa TANZANIA DAIMA .........

Tukumbuke Rais ni Sponsor anapokea briefings zote hakuna kitu kibaya kinafanyika hajapewa intelli sema yeye akaamua tu kuwa anajinufaisha na ukoo wake na washkaji na tabaka la watawala kwenye chama chake.Ukielewa haya utajua jinsi laana zenyewe zilivyo

Akaja jiwe yeye akaua sekta binafsi,akazuia Ajira majamaa wamerundikana mitaani kwani wakiomba kuajiri haruhusu na akruhusu ni wawili watatu tu Hadi wanajilamu kusoma na kuzuia kupanda madaraja makazini na mishahara,tenda zote zikabakia kwenye makampuni ya serikali,akaua Precision Air,Fast Jet kutengeneza monopoly ya Air Tanzania wakati ushindani huboresha biashara.Akateua watu hao daah,akajikompramandi Kwa PK Mtu mrefu .Akazuia mikutano na Harakati za vyama vya siasa , wananchi hawajui hata nchi inaenda vipi na wapo kwenye umasikini na kukaa gizani kifikra Hadi kwenye nyumba zao.Mahoteli yakafa,makampuni ya utalii na ulinzi binafsi yakajifia


Akaweka ndugu jamaa na marafiki Hadi mabibi ,cabal yake ikafurahia mno kuliko Taifa.Akaanza kucrack down vyombo vya habari,AZISE,hapa kulitungwa sheria za ajabu kwa dharura za vyombo vya habari ,mitandao ya kijamii kama JF,vyama vya siasa.
Akina CAG wakaondolewa,sheria za NSSF na mashirika mengine zikabadlishwa na kutengeneza monopoly,bodi ya mikopo ikaweka madaraja mengi,

Akajaza mitambo na Ajira za vyombo vya Dola kujilinda sio PCCCB,Kitengo ,na kwingine.Akaenda kwenye chama akabadili katiba.Akawabana watoa mawazo na maoni mbadala,ikawa ni usifiaji tu hatukui Kwa kusifiwa tu yaani his ego was so BIIG.Akaanza kuwanunua wapinzani na kuwapa nafasi za juu serikalini

Wakaanza kubeep kuw atawale milele akawa kama anakataa kumbe.Ukaja uchaguzi mkuu wakaurig mno wakaweka bunge lisilo na mawazo mbadala 'Wapinzani wametucherewesha sana ' Walizima Hadi mitandao.Eti Kuna wabunge19 viti maalum ambao wengine walishinda wakaombwa waachie tu watapitishwa mlango wa nyuma.

Lengo lililojificha ilikuwa kutawala maisha ila bahati mbaya mambo yakaenda sio.Yaani nchi inapitia dhoruba zisizoisha

Sasa wananchi waliosoma na kuandaliwa tangu uhuru leo ni kama mayatima,humjui mtu hupati stahiki yako,Wala Ajira ni mwendo wa connection,ukifungua biashara TRA na wengineo wanakumaliza mapema ni tozo na sheria za ajabu.

Wawekezaji wanajuta,wapya hawathubutu kusogeza pua,hofu imejaa

Walioumia ni Azory Gwanda,Roma Mkatoliki,Abdul Nondo,Ben Rabiu Saa nane, Tundu Lisu,Freeman Mbowe,Peter Msigwa,Godbless Lema,.......

Nchi Haina dira kuu, malengo ,sera mbovu zinabadilika akiingia mtawala mpya yaani sio sera zinaongoza ni utashi w mtu.Rushwa zimetawala,hakuna haki,ubabe yaani laana za mazindiko kutokea rohoni kuja kuku physical realm

HII NCHI INATAKIWA IPONE KWANI MBELE NI GIZA ZAIDI HAYA MATAMBIKO DUUH
 
Nyerere naye alikuwa failure, hana exception.
Nchi aliikuta ina unafuu ameiacha hohe hahe, mambo ya katiba yake ya Imperial President (Rais mwenye hadhi ya kifalme kama Malkia wa Uingereza au kwingine) anacontroll Kila kitu na hakusimamia ibadilike,kuua upinzani kikabakia chama kimoja ,vita ya Kagera kumsupport Obote, kuwapigia kampeni akina Ben wakaja kumlet down

Wananchi tunabakia na akili za kushikiwa ukinyanyua mdomo mabwe pande inakukuhusu eti wasiojulikama.Matambiko haya yanatumaliza
 
Wee mjamaa [emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1752][emoji1752]una kitu cha ziada kutuzidi wengi sana..hasa kumbukumbu na mtiririko wake.. Umechambua kwa takwimu na kwa mtiririko mzuri mno.... Hakika JF ina vipawa na bongo zilizobeba madini adhimu
 
Nchi Haina dira kuu, malengo ,sera mbovu zinabadilika akiingia mtawala mpya yaani sio sera zinaongoza ni utashi w mtu.Rushwa zimetawala,hakuna haki,ubabe yaani laana za mazindiko kutokea rohoni kuja kuku physical realm

HII NCHI INATAKIWA IPONE KWANI MBELE NI GIZA ZAIDI HAYA MATAMBIKO DUUH
 
hakika hapa kuna jambo la kufikirisha kabisa sio bure kuna namna tulikosea huko nyuma.
 
dhumuni ya zindiko hili ilikua ni nin,yan kwa mfano kitu gani kisitupate? kutawaliwa tena? kuwa nchi yenye neema kwa wengi? au utawala wa chama tawala usianguke?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…