Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
2034 ndio ataanza safari ya kuja duniani,tujiandae
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukifa inaende hivyo hivyo kwa watakaokuwa hai huko mbele si ndio? Hata miaka 2000 mingine, 5000, 10,000 haijalishi.
Hatujui siku wala saa maana atakuja kwa saa na siku ya Bwana sio saa hizi za kwetu!Wanamsemea?
Aliwaambia hakuna ajuaye siku wala saa
Hizo taarifa za kushangaza ni zipi? Na chanzo chake ni kipi? Na ni kwa nini isemekane badala ya kutoa ushuhuda wako hapa. Kwa nini USA na sio Djibut, Eswatini au Mongolia, au Equatorial Guinea kule kwa Baltasar Egonga?Kuna taarifa za kushangaza huko USA inasemekana mwisho wa Dunia (doomsday) ni karibu mno na kizazi hiki kitashuhudia Yesu anarudi stay tuned kwa ushahidi.
Sio tetesi! ni kwamba tuko karibu na mwisho kabisa. Najua humu wengi wanachojua ni kubeza. Kifupi tu ni kuwa;Kuna taarifa za kushangaza huko USA inasemekana mwisho wa Dunia (doomsday) ni karibu mno na kizazi hiki kitashuhudia Yesu anarudi stay tuned kwa ushahidi.
Kwa wayahudi, yesu anatambulika Kama mhaini, Kama sio gaidi kabisaKwani Netanyahu anabiga wayahudi we zake? 😀
Mkuu, Wapi nmemtaja Mungu ?Wewe Mbona unaandika vitu kuashiria kuwa una laana?
Unawezaje kumzungumzia MUNGU namna ulivyofanya?
Acha vitisho uchwara mkuu,Watu Yesu mnamchukuliaje?. Wait and see!
Nikifa, nisaidie kumfariji mke wangu mkuuAya wewe haufi si ndio!
Hakika na hawatamvalisha nepi tena.SAA HII NI BIKINIIAcha kujidanganya mkuu, Yesu hawez kurudi.
Tena Kwa wayahudi tulionao sahivi, watampiga Yesu makombora mpk achakae.
Bora kina Pilato walimhurumia wakamgonga misumari nchi 6 mikonini na miguuni Ila wakauacha mwili wake angalau unatambulika ukiutizama
Ila Kina Netanyau hawacheki na kima, wataulipua,kuuchakaza na kuufukia na vifusi vya Gaza.
Jibu swali basi mkuu.NJOO KWA YESU UUPOKEE WOKOVU. Wokovu unapatikana bure kabisa!
JESUS IS LORD&SAVIOR
Sasa akija si tunamuua mwizi wa nini sisi.Lisemwalo lipo (na yalishasemwa kwenye vitabu)!
Kama halipo linakuja (Yesu atakuja kama mwizi hakuna aijuaye siku wala saa)!
Dalili alizosema,Vita,Magomjwa yasiyo na dawa,Njaa,kukithiri kwa maovu(Uzinzi,Ulawiti na Usagaji,Mauaji,Ufisadi,Wizi,nk ),Matetemeko ya nchi mahali mahali (mabadiliko ya tabia nchi),Habari za kutisha,nk
Kifanyike kipi?
Ni Kujiandaa wakati wote!
Tubu dhambi zote na kuacha!
Jibu swali basi mkuu.
Hapa umejibu swali, kwamba watakaokutwa hai. Meaning hilo tukio kama lipo linaweza kuwa hata miaka 100,000 ijayo au b5 au 1,000 au siku 1. Kila la heri.YESU ajapo wakati wa unyakuo kuna watakatifu watakaokuwa hai atawanyakua (japo hawatawatangulia wale waliokwishakulala mauti). Hao watakaokuwa hai inawezekana ni Mimi ama ni mwingine.
Sijakwama popote, nilikuuliza swali ukaanza kusisitiza wokovu badala ya kujibu swali.kwani wewe umekwama wapi boss
Acha vitisho uchwara mkuu,
Yesu Hana jipya, keshajifia zake uko.
Keshageuka mzimu Kama mabibi na mababu zet
Sikutishi mkuu. Muda utafika. Dalili za ule mwisho alizosema Yesu mwenyewe wewe huzioni?Acha vitisho uchwara mkuu,
Yesu Hana jipya, keshajifia zake uko.
Keshageuka mzimu Kama mabibi na mababu zetu
Ajabu ni kwamba aliyeoza jina lake linatoa pepo na kuziseta nguvu za giza. Unaonekana unasikia Tu kuhusu Yesu but huna ushuhuda nae!Acha vitisho uchwara mkuu,
Yesu Hana jipya, keshajifia zake uko.
Keshageuka mzimu Kama mabibi na mababu zetu
Akirudi nishtue ndugu,huyu mwamba nimesikia mastory yake sana.Kuna taarifa za kushangaza huko USA inasemekana mwisho wa Dunia (doomsday) ni karibu mno na kizazi hiki kitashuhudia Yesu anarudi stay tuned kwa ushahidi.
Miaka elfu Moja ni baada ya WATAKATIFU kunyakuliwa.Rabbi wewe si leo umetuandukia ile ndoto yako murua ya Yesu kuwa mawingini na Jeshi la watakatifi na malaika akiwa njiani kuja? Hapa unataka kutuambia ile ndoto yako nzuri ilikuwa ya shibe ya mahagwe Ya Mbeya?? yaani uataka kutuambia tusubiri tena hadi baada ya miaka elfu moja na ushee tena?