Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado sana kwa hesabu za kibinadamu
Hapa hujatumia Logic, umeikwepa logic. ili utumie logic lazima ujiulize maswali na upate majibu.samaki wakubwa kama papa, nyangumi wana uwezo wa kummeza mtu.
Hakuna Logic bila akili mkuu.logic ni reason. Mungu hafanyi jambo lisilo na sababu. shida ni kutaka kujua mambo ya rohoni kwa akili
Umeenda mbali Sana,Okay, nieleze Mungu alipomuumba Adamu, alimuumba Yeye MUNGU akiwa katika umbo Gani?
Wakati Mungu anachomoa mbavu za Adamu kumfanya Eva, MUNGU alikuwa katika umbo Gani?
Haya ni kwanini jini aweza mtokea mtu katika umbo Lolote Iwe la nyoka, Simba, Mwanamke, Mwanaume na usiamini kuwa MUNGU aweza zaliwa katika hori?
Inashangaza yule kichaa pale pwani Ya Wagerasi, Yale majini yalokuwa yamemkalia yalimtambua YESU ni nani na yakamwomba Asiyatese kabla ya wakati, yalimtambua ni nani lakini Binadamu anajiuliza maswali kumhusu.
Dhiki kuu ni miaka 7 then wale tulionyakuliwa ambao itakuwa tumeshakaa mbinguni miaka 7 kwenye karamu ya mwanakondoo (wakati dhiki kuu ikiendelea duniani) tutarudi kuja kutawala miaka 1000 hapa duniani. Hizi ni nyakati nzuri sana kwa sis tuliofanya toba na kuishi maishi matakatifu maana kwa mara ya kwanza imekuwa ikiamininiwa pasipo shaka hata chembe kuwa kuna watu tena wengi sana kamwe hatutaonja mauti kwa maana tutanyakuliwa! yaani sisi tulioamuwa kutubu kumuamini bwana Yesu na kuishi maisha matakatifu.Pia tujue hili,
Unyakuo utaanza kwanza Kisha maisha ya taabu na dhiki kuu yataanza rasmi duniani WATAKATIFU wakiwa mapumzikoni.
Baada ya miaka elfu , Yesu atakuja kuwachukua na kufufuka waliowake washindao mateso ya dhiki kuu.
Baada ya hapo ndipo ataihukumu Dunia na Ulimwengu kutupwa Ziwa la moto jehanum baada ya kuhukumu.
Mwisho wa Dunia hauji kabla ya Unyakuo wa WATAKATIFU.Pengine wewe bado mtoto mdogo wa 2000, ila sie wazee wako tulishaahidiwa na manabii wa kizazi kipya kuwa mwisho wa dunia ulikuwa mwaka 1978, wakachemka tena na kusema mwaka 1982 mara 1999......cha kushangaza mpaka leo bado tunapeta tu na kugawana dhambi according to dini za kuletewa.
Hizi dini za kuletewa zipigwe tu ban hapa Afrika, zinafanya wananchi wetu kuwa wajinga sana.Mwaka 82 kuna jamaa aliuza kila kitu...akawa analewa ...akisema PONDA MALI KUFA KWAJA>>>>>>>>>> akawa lofa na kufa hakufa na mwisho wa dunia hakuna.....🙂🙂🙂🙂
Nani aliyedanganywa sasa? Mimi si mtu wa kudanganyika na mwanadamu mwenzangu haswa linapokuja suala la kuamini dini za kuletewa na watu wa nje, hutonipata hata iweje....nitakusomesha na kukufungua macho mpaka utajiua mwenyewe au kujipiga vidole huku unalia.Badala ya kunukuu alichokisema Yesu mwenyewe kuhusiana na mwisho wa dunia na kurudi kwake mara ya pili mlikuwa mnasubiri mdanganywe na wahuni?. Hakukuwa na Biblia?
Ukiwa mjinga utaamini hata ya kichaa akikutamkia tu upuuzi toka kwenye Biblia.Mwisho wa Dunia hauji kabla ya Unyakuo wa WATAKATIFU.
Majira tuliyopo ni karibu kunyakuliwa Kanisa.
Get prepared.
Hizi dini za kuletewa zipigwe tu ban hapa Afrika, zinafanya wananchi wetu kuwa wajinga sana.
Yesu mchumba tu, bora akae huko huko asirudi.Watu Yesu mnamchukuliaje?. Wait and see!
Kunywa bia mkuu nakuja kulipa 🤣🤣🤣🤣Acha kujidanganya mkuu, Yesu hawez kurudi.
Tena Kwa wayahudi tulionao sahivi, watampiga Yesu makombora mpk achakae.
Bora kina Pilato walimhurumia wakamgonga misumari nchi 6 mikonini na miguuni Ila wakauacha mwili wake angalau unatambulika ukiutizama
Ila Kina Netanyau hawacheki na kima, wataulipua,kuuchakaza na kuufukia na vifusi vya Gaza.
binadam waliojazwa Roho mtakatifu..wao wenyewe wanajijua..mimi siwez kuwaelezea!Ni kanisa lipi ndo litanyakuliwa mkuu.
Totally confused 😕 😕unafahamu malimbuko? (first fruits)
tabia za kanisa la filadelfia ni kanisa ambalo halitapitia kwenye dhiki. kuna unyakua wa zaidi ya mara mbili:
1. Malimbuko (kanisa la wazaliwa wa kwanza)
2. Mazao (Hawa ni wengi) Yohana aliulizwa: na Hawa? akaambiwa hawa ni wale wanaotoka katika Ile dhiki
3. Mabaki
Wananchi wetu walikuwa werevu na waliishi kwa amani, only dini za kuletewa ndizo zilikuja na kuharibu mambo kiasi kwamba kwa sasa Mkristo kuoa Muislam japo wote ni Watanzania na pengine wa kabila moja inakuwa shida lakini zamani tulioana tu na tuliishi kwa amani. Kwa akili yako kusoma na kuandika ni Ukristo kweli au werevu? Jibu halafu nitakujibu tena kutokana na uelewa wako, niko hapa nakuangalia tu unavyojikanyaga taratibu na kujitoa kafara.swali kama Dini zinafanya wananchi kuwa wajinga, je, kabla ya Ukristo walikuwa werevu? hao wananchi waliishije? Usisahau kabla ya Ukristo kuingia (miaka kama 150 tu iliyopita) tanzagiza au hii sehemu tunaishi leo hii waliojua kusoma na kuandika walikuwa <1% ukiondoa waliojua kukariri kuran tu kiarabu tena ukanda wa pwani tu, leo hii tanzagiza wanaojua kusoma na kuandika ni >95% halafu unasema Ukristo unafanya watu wajinga?
itakuwa ni kitendo cha kufumba na kufumbua kope/eye blink speed..cha haraka sana speed kubwa sana.Mkuu ila naamini unyakuo itakuwa kimya wala haitajulikana ila sasa baada ya kukaa huko mbinguni na kisha kurudi ndio watamwona au mimi nimetafsir vibaya.
Sio Trump anarudi tena kweli.Kuna taarifa za kushangaza huko USA inasemekana mwisho wa Dunia (doomsday) ni karibu mno na kizazi hiki kitashuhudia Yesu anarudi stay tuned kwa ushahidi.
Picha pleaseKuna taarifa za kushangaza huko USA inasemekana mwisho wa Dunia (doomsday) ni karibu mno na kizazi hiki kitashuhudia Yesu anarudi stay tuned kwa ushahidi.
We Gwajima hebu acha ujinga wakoPia tujue hili,
Unyakuo utaanza kwanza Kisha maisha ya taabu na dhiki kuu yataanza rasmi duniani WATAKATIFU wakiwa mapumzikoni.
Baada ya miaka elfu , Yesu atakuja kuwachukua na kufufuka waliowake washindao mateso ya dhiki kuu.
Baada ya hapo ndipo ataihukumu Dunia na Ulimwengu kutupwa Ziwa la moto jehanum baada ya kuhukumu.
Wananchi wetu walikuwa werevu na waliishi kwa amani, only dini za kuletewa ndizo zilikuja na kuharibu mambo kiasi kwamba kwa sasa Mkristo kuoa Muislam japo wote ni Watanzania na pengine wa kabila moja inakuwa shida lakini zamani tulioana tu na tuliishi kwa amani. Kwa akili yako kusoma na kuandika ni Ukristo kweli au werevu? Jibu halafu nitakujibu tena kutokana na uelewa wako, niko hapa nakuangalia tu unavyojikanyaga taratibu na kujitoa kafara.