[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaahFaisal toto angekuwa analipwa vizuri asingekuwa anaendesha Ile IST yake imechoka anazunguka nayo kariakoo kama kichaa
Manura anachukua 9, mkataba mpya.Mtoa mada uliza kwanza siyo unakuja na assumption zako , apo simba Erasto nyoni tu anakunja 8m kwa mwezi mpaka leo hii na namba apati mara kwa mara chama anachukua 22m, morrison 18m, mkude 8m, manura 7m, kapombe 5, mayele 12m, feisal 6m..
Kwani kasaini mkataba mpya lini mpka mshahara ushuke?John Bocco kiwango kimepungua sana kwa sasa, Nadhani hata Mo kapata kisingizio cha kumpunguzia
Faisal toto angekuwa analipwa vizuri asingekuwa anaendesha Ile IST yake imechoka anazunguka nayo kariakoo kama kichaa
ofa waliyompa Azam feisal ni kufuru yani kwa mkataba wa miaka 5 akimaliza mkataba tayari ni milionea kazi kwake sasa abaki yanga au aende kuchukua mihela azam akumbuke tu kuwa izi timu azinaga shukrani ngasa alikataa dola 40000 kwa mwezi sudani wazèe wa yanga wakamfungia hotelini ili waarabu wa sudan wasikutane nae, leo hii anagombana na walinzi wa uwanja akiforce aingie bure uwanjani[emoji23][emoji23][emoji23]
Dola milioni 10....π€Kwa wachezaji wa nje wa hapa bongo wapo wanaokunja hadi dola milioni 10 lakini kwa wazawa wetu kuna utata.
Tukija kwa wachezaji wetu wa japa bongo, kunawea kuwa na yeyote anaelamba walau dola elf 3 kwa mwezi takribani milioni 7 kila mwezi ?
Kuna tetesi zipo kwamba Feisal Salum Feitoto ndie anaelipwa zaidi kuliko wachezaji wenzake ila haijabainika makadirio ni sh ngapi, wataalam tunaombeni msaada wenu kama itakuwa alau imefikia dola elf 3.
John Boccco nae kiwango kimeshuka huenda mshahara wake nao umeshuka ila kipindi yupo Hot kuna uwezekano mkubwa hakuna mzawa aliekuwa anamikia kwa mshahara.
Manula ni kipa mzuri ila inaonekana hafikii hizo level, mwaka huu alivunja mkataba na meneja wake Jemedari Said kwa tetesi kwamba kachoka kulipwa mshahara wa kawaida na Meneja wake hana uwezo wa kuwashawishi wahindi wa pale simba wampe Manula mshahara anaostahili
Yes kuna maendeleo mengi kwenye ligi linapokuja suala la wachezaji wa je kuanzia timu kusajili wachezaji wa nje wenye vipaji na bodi ya ligi kuongeza idadi ya wachezaji wa nje wanaoweza kucheza kwenye mechi.
Ila sasa kuna tetesi nilisikia kwamba hakuna mchezaji yoyote wa hapa bongo anakunja zaidi ya milioni 5.
Muda huo huo kuna wachezaji wa nje wana mikataba minono wengine wakivuta dola 5,000 takribani milioni 10 kila mwezi,
Ni kwamba hata kina Fei toto na Manulla wameshindwa kufika milioni 5 ?
Msamehe bure typing error, Kuna baadhi ya simu huwa zinagoma kuandika Tshs izo zinajuaga hela ni dola pekee(am joking)ππNimepiga hesabu dollar milioni 10 za aya ya kwanza ni kama bilioni 23+, je umekosea?
Bongo janja sana hizi clubs zinaendeshwa na wahindi na waarabu. Wajanja mno kama mpaka pale manyara anaondoka Simba kwa Bata zote zile kumbe alikuwa anakula laki 7πππ Hao jamaa ni watu wa kumaximize profits wanatoa Mishahara ya ovyo hivyo vikosi unaweza kuta Kuna mchezaji anakula million moja na nusu.Mimi swali langu moja tu la kuuliza...kwanini Tanzania when it comes to salary na maslahi mengine hususani kwenye tasnia ya mpira wa miguu huwa hawaweki wazi kama wenzetu(ulaya na America kadhalika Asia) pindi tu mchezaji bado hajasaini mkataba offer yake inakuwa ipo wazi na akisaini mambo yanawekwa wazi maslahi yake, offer na mshahara lakini kwetu always huwa ni skendo tu
Nasema skendo tu kwasababu taarifa kama hizi hazitoki kwenye vyanzo ambazo ni trusted bali ni maneno ya kuzungumwa na watu tu
Kaka kuwa mkweli tu inamaana kwahali hiyo meddie kagere si angekuwa anachukua milion 30?Usiishi kwa kukariri ndugu, unamchukulia Bocco wa sasa au wa wakati anasaini mkataba mpya?
Watu wanadanganyana mno hasa hapa bongo mimi nina uhakika hamna mchezaji mzawa anaepata hata milion 8 kwa mwezi, na mimi kipimo changu ni hichohicho cha haji sunday kupata laki 7 kwa mweziBongo janja sana hizi clubs zinaendeshwa na wahindi na waarabu. Wajanja mno kama mpaka pale manyara anaondoka Simba kwa Bata zote zile kumbe alikuwa anakula laki 7πππ Hao jamaa ni watu wa kumaximize profits wanatoa Mishahara ya ovyo hivyo vikosi unaweza kuta Kuna mchezaji anakula million moja na nusu.
Hakuna mchezaji analipwa mil 10 hapa Bongo.Morison anakunja million 20 hapo utopoloni wakani chama nae anakunja million 18 hapo mikiani..
Mara ya mwisho nilimsikia Ricardo Momo akisema mchezaji mzawa anayeongoza kwa mshahara mkubwa ni John Bocco, akipokea Milioni 12 kwa mwezi.Yes kuna maendeleo mengi kwenye ligi linapokuja suala la wachezaji wa je kuanzia timu kusajili wachezaji wa nje wenye vipaji na bodi ya ligi kuongeza idadi ya wachezaji wa nje wanaoweza kucheza kwenye mechi.
Ila sasa kuna tetesi nilisikia kwamba hakuna mchezaji yoyote wa hapa bongo anakunja zaidi ya milioni 5.
Muda huo huo kuna wachezaji wa nje wana mikataba minono wengine wakivuta dola 5,000 takribani milioni 10 kila mwezi,
Ni kwamba hata kina Fei toto na Manulla wameshindwa kufika milioni 5 ?
Labda kuna kitu unashindwa kuelewa. Ninahisi unadhani klabu huwa inakaa kikao na wachezaji wote kwa pamoja na kuanza kuamua, wewe tukulipe kiasi hiki na yule tumlipe kiasi hiki. Mikataba si hivyo, kila mchezaji anazungumza kivyake na klabu. Kwa hiyo usije kushangaa kusikia Kambole (ingawa hachezi kabisa) analipwa mshahara mkubwa kuliko Mayele! Ni jambo la kawaida kabisa katika mikataba, na ndio maana vilabu huwa vinaogopa kuvunja kienyeji mikataba na wachezaji, ni gharama kubwa mno, sana sana utakuta vinamvumilia mchezaji, akimaliza muda wake vinapumuaKaka kuwa mkweli tu inamaana kwahali hiyo meddie kagere si angekuwa anachukua milion 30?
Eti 22 ππππππ ambapo ukifanya milion 22Γmiezi 12= milioni 264πππ kiasi kwamba mapato ya chama ni zaidi ya mbunge wa bunge la jamhuri la tanzania kwa mwaka........tena anaetoa hizo hela ni brother muddy anaegoma kutoa bilion 20Mtoa mada uliza kwanza siyo unakuja na assumption zako , apo simba Erasto nyoni tu anakunja 8m kwa mwezi mpaka leo hii na namba apati mara kwa mara chama anachukua 22m, morrison 18m, mkude 8m, manura 7m, kapombe 5, mayele 12m, feisal 6m..
ππππNilishangaa nilijua manara anachukua mpaka mil 10 kumbe laki 7.Watu wanadanganyana mno hasa hapa bongo mimi nina uhakika hamna mchezaji mzawa anaepata hata milion 8 kwa mwezi, na mimi kipimo changu ni hichohicho cha haji sunday kupata laki 7 kwa mwezi