Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ni kweli mpira hapo ndio ulikua unataka kutua, picha ya wakati unatua inakua blur kwasababu ya speedUnaiomaje hiyo uliyo share ingawa mpira upo hewani?
Mkuu kama hakuna GLT basi VAR itatumika kureview matukio YOTE tata ili kusaidia kutoa maamuziHilo nafahamu mkuu kwamba Goal Line Technology inatoa goal decision automatic bila kuambiwa na mtu. Sasa Jana technology hii haikuepo uwanjani. Walitumia njia Gani kuamua kuwa halikuwa goli wakati tunaambiwa VAR haitakiwi kutumika kwenye mipira yenye kuvuka mistari kama ya Jana?
Sasa kama VAR inaweza kutumika kuangalia matukio yenye utata kama la Jana Kwa Nini refa hakutaka kwenda kujiridhisha mwenyewe ?.
Wewe refa umeshaambiwa na watu wa chumbani kuwa tunahisi Kuna shida kwenye huo mpira kwanini hutaki kwenda mwenyewe kujiridhisha na marudio ya picha? . mbona tukio la Lomarisa alikimbia haraka kujionea.?
Punguza ushabiki . Ongelea mechi tulioiona wote .
Unajadili hewa?Mkuu refalii halazimiki kuangalia kila review
Naamini unalitambua hilo
Hapa tujadili je mpira ulivuka line 100%?
Huo muda wa kwenda kila saa kuchungulia TV anautoa wapi.. si bora asiwepo tu uwanjani..?Mkuu kama hakuna GLT basi VAR itatumika kureview matukio YOTE tata ili kusaidia kutoa maamuzi
Refarii HALAZIMIKI kwenda kureview matukio yote tata
Usiseme halazimishwi kwenda kuangalia Kila tukio , wakati mwingine tukio linatokea watu wa kule chumbani wanalipuuzia na refa anapotezea lakini wachezaji wanam force refa mpaka anakwenda kuangalia kwenye VAR .Mkuu refalii halazimiki kuangalia kila review
Naamini unalitambua hilo
Hapa tujadili je mpira ulivuka line 100%?
Cairo matokeo ni 2 Bila, aggregate 3 Kwa 0.Huo muda wa kwenda kila saa kuchungulia TV anautoa wapi.. si bora asiwepo tu uwanjani..?
Mautopolo yashafungwa yanaanza kusumbua watu.
Eti mpira kudunda kwenye mstari. Ule mpira ulivuka mstari ukapiga net kwa juu na ukatua kwenye mstari. Mpira ulivuka ulipokuwa unaingia (hewani)- macho ya wengi yaliona hiyo si mambo ya mstari wa chini wa chaki. Kitu kikivuka mstari kinaonekana unahitaji macho ya kuangalia tu ili kuthibitisha. Kilichotokea ni refa kuwa mvivu kwenda kuhakikisha, hicho ndicho kimakasirisha wengi.Michuano ya CCL hawatumii Goal line technology ambayo ingemaliza huu utata
CCL wanatumia VAR peke yake kusaidia kutoa maamuzi
Angalia Goal line technology ilivyotumika kwenye hii video fupi hapo chini
Utaona ni jinsi gani mpira unatakiwa uwe umeingia kwa asilimia 100 ili kuhesabika goli
So ukiangalia kwa haraka lile shuti lilikua ni kali sana kiasi kwamba unahitaji umakini kuchukua picha exactly pale mpira ulipo dunda na kurudi juu.
Ukichukua picha wakati mpira umekwisha dunda au kabla haujadunda ni lazima mpira utaonekana umevuka mstari kwa asilimia 100
Lakini ukichukua picha mpira unapodunda utaona uligusa mstari
Angalia picha hapo chini, moja mpira ulipodundia na nyingine ni mpira kabla au baada ya kudunda
Mwisho tujikumbushe kidogo kuhusu sheria inasemaje kuhusu mpira kuhesabika kuwa umeingia na kuwa goli.... ni lazima mpira wote uingie na sio asilimia 99.9.
Angalia picha za sheria za goli.
View attachment 2955740View attachment 2955741View attachment 2955743
Hapa ndipo unapofeli mkuu.Mkuu kama hakuna GLT basi VAR itatumika kureview matukio YOTE tata ili kusaidia kutoa maamuzi
Refarii HALAZIMIKI kwenda kureview matukio yote tata
Mimi sina muda wa kupoteza na vichaa, tafuta mbumbumbu wenzako wa Mangungu ndio mjazane ujinga.Mkuu tuwekee wewe screenshot inayoonyesha clear mpira umezama 100% zaidi ya hii 👇👇
Mkuu sio lazima refarii kwenda kureview kila tukio tata...... PERIODUsiseme halazimishwi kwenda kuangalia Kila tukio , wakati mwingine tukio linatokea watu wa kule chumbani wanalipuuzia na refa anapotezea lakini wachezaji wanam force refa mpaka anakwenda kuangalia kwenye VAR .
Kuna mechi ilipigwa kati ya Congo na Morocco kwenye AFCON ya juzi hapo. Congo walipata Kona , wakati wanagombea mpira hewani golini Kwa Morocco Enok Inonga wa Simba alipigwa kiwiko kichwani na mchezaji wa Morocco aliyeona tukio hili alikuwa ni Inonga pekee . Refa aliamua game iendelee lakini Inonga alikuwa anatokwa na damu kichwani alipomaliza kutibiwa Inonga akaenda kukamata mpira akimshinikiza refa aende VAR , refa akawa hataki Inonga na yeye hataki kuweka mpira chini . Ikabidi refa akajiridhishe mwenyewe na kweli baada ya kujionea refa kaingia uwanjani akafunika penalty wapige Congo na akampa kadi mchezaji wa Morocco.
Muwe mnaangalia mpira 🤣🤣🤣
Mkuu mpira ulipiga besela ukadunda chini na ukarudi uwanjaniEti mpira kudunda kwenye mstari. Ule mpira ulivuka mstari ukapiga net kwa juu na ukatua kwenye mstari. Mpira ulivuka ulipokuwa unaingia (hewani)- macho ya wengi yaliona hiyo si mambo ya mstari wa chini wa chaki. Kitu kikivuka mstari kinaonekana unahitaji macho ya kuangalia tu ili kuthibitisha. Kilichotokea ni refa kuwa mvivu kwenda kuhakikisha, hicho ndicho kimakasirisha wengi.
Hebu JIBU haya maswali .Mkuu sio lazima refarii kwenda kureview kila tukio tata...... PERIOD
Hata kama refa angekwenda kuangalia bado issue ni kwamba je mpira ulivuka line 100%?
Jibu unalo kwa kureview video na sio kulialia eti refa hakwenda kureview
Mkuu mimi nabet sana, karibu kila mechi lazima VAR huwa inatumika kutoa maamuzi lakini refa haendi kureview videoHapa ndipo unapofeli mkuu.
Sasa waliileta VAR ya Nini ikiwa Kuna tukio Lina utata wewe refa hutaki kwenda kujiridhisha?
Labda nikukumbushe kuwa dhumuni kubwa la FIFA kuanzisha sheria ya VAR ni kuondoa UTATA KWENYE MATUKIO YA MPIRA WAKATI MECHI IKIENDELEA. Narudia Tena ni matukio TATA . Hivyo maana yake ni kuwa wewe kama refa UNALAZIMIKA kwenda kujiridhisha Kwa macho Yako mwenyewe pale unapoona kunatukio limelalamikiwa na wachezaji uwanjani..
Ikumbukwe kuwa refa usipokwenda kujiridhisha unakuwa upo kinyume na madhumuni ya walioianzisha sheria ya VAR.
Mkuu anaetoa maamuzi kutokana na review za VAR ni maafisa wa VAR au refaHebu JIBU haya maswali .
1. Walioianzisha VAR walilenga kumsaidia refa kutatua matukio YOTE tata uanjani au SIO YOTE?
2. Na kama SIO YOTE basi tutajie ni matukio yapi TATA refa ANALAZIMIKA kuyaangalia Kwa VAR na yapi HALAZIMIKI japo nayo ni MATUKIO TATA , maana inaonekana mwenzetu unajua Sana 🤣🤣
Kiswahili kigumu - mpira uliingia ndani ya "boksi la nyavu ,"chini ya mlingoti wa goli na ugagonga nyavu kwa ndani!! Mpira ulipita hiyo kitu unaita "besela". Wapenzi wa mpira tuwe wakweli ili mabadiliko yafanyike kuhusu kitu kilichotokea jana katika mechi ya Yanga na Mamelodi, tusiwe tunakubali kirahisi rahisi kwa kuwa Refa amekubali, lazima tuwaulize maswali magumu, sisi ni binadamu na tuna macho yanayoona - hatuhitaji "sensors".Mkuu mpira ulipiga besela ukadunda chini na ukarudi uwanjani
Sasa hizi Hadithi zako za uligusa nyavu umezitoa wapi mkuu?
Acha kuendeshwa na MAHABA
iseeeeKiswahili kigumu - mpira uliingia ndani ya "boksi la nyavu ,"chini ya mlingoti wa goli na ugagonga nyavu kwa ndani!! Mpira ulipita hiyo kitu unaita "besela". Wapenzi wa mpira tuwe wakweli ili mabadiliko yafanyike kuhusu kitu kilichotokea jana katika mechi ya Yanga na Mamelodi, tusiwe tunakubali kirahisi rahisi kwa kuwa Refa amekubali, lazima tuwaulize maswali magumu, sisi ni binadamu na tuna macho yanayoona - hatuhitaji "sensors".
Sijui Ungeweka Wapi Sura Yako😂Wasubiri majibu yao soon kutoka CAF na FIFA...