Kuna tofauti kubwa kati ya Masaki niliyoishi mimi na Masaki ya leo

Kuna tofauti kubwa kati ya Masaki niliyoishi mimi na Masaki ya leo

Ama kweli maisha yana badilika sana ,ulichosema ni kweli kabisa .kipindi cha nyuma miaka ya 2000 huko,kuna ki mji kilikuwepo shinyanga na walio kianzisha wengi ni watumishi wa shirika moja hivi.
Wale wazee walifirisi shirika hilo ,na wote walikuwa wamejenga sehemu moja ,nyumba zote zilikuwa na kuta na mageti ,nyasi zilimea kwa kumwagiliwa maji ya kutosha(garden)

Miaka imeenda wazee wakaanza kuugua na kufa mmoja mmoja,inasemekana ukimwi uliwapiga KO ya hatari ,kipindi kile hakua cha ARV wala nn,walikuwa wana share totozi ,si unajua mambo ya pesa.

Nyumba zilibaki na watoto tu ,nyasi zilikauka kila mji.hali ili badirika sana ,baba na mama hawapo ,unazani famia itakuwaje?
Si mji ule tena ambao ilikuwa ukipita unasikia sauti nene za music taratibu na harafu ya vinono vikikaangwa.

Nyumba ziliuzwa na wajomba na mashangazi baada ya wazazi kuondoka gafla na kukosekana mwelekeo wa malezi.
walio baki ni wachache sana ambao hata leo hii uzao wao upo pale
Umetoa mfano halisi na hivi ndivyo na sisi inaweza kututokea. Kurithisha majumba ni hasara.
 
Ilikuwa ndo njia yetu tukielekea kule Masaki mwisho na baiskeli zetu za BMX across Europa Mini-Supermarket mwisho kbs kule kwenye kambi ya jeshi kucheza basketball kwny ile court ya jeshi.Pande zote ni ushua mtupu!.
Duuh
Ee bwana eehh
Usiniambie, kucheza basket Masaki mwisho, Enzi za kina Mpoki

Sisi tUmecheza sana Half Court ya Mzee Malay wa Pazi na Mazula, na Warioba
Na sometime tunaomba mechi na watoto IST
 
Duuh
Ee bwana eehh
Usiniambie, kucheza basket Masaki mwisho, Enzi za kina Mpoki

Sisi tUmecheza sana Half Court ya Mzee Malay wa Pazi na Mazula, na Warioba
Na sometime tunaomba mechi na watoto IST
Hivi mwanangu aluta warioba yupo wapi?
Nlikuwa najumuika naye sana kwenye mareggae festival
Aise,kweli watu tumepoteana

Ova
 
Uzuri hawajaweka yale maduka duka
Hahaha kama duka hili liko chole Road,naona mangi huyu kawapata hapo
20230505_105802.jpg
20230505_104920.jpg
 
Kwanza kabisa naomba mnisamehe kama Uzi wangu unaofanania na kudhihaki ila hii si shabaha yangu!Shabaha yangu kubwa ni kutoa taswira ya namna mabadiliko ya matumizi ya ardhi ya maeneo husika yalivyotofautiana sana na mpango wa awali wa matumizi ya ardhi ya maeneo hayo kabla;

Enzi hizo wakati naishi mimi:
Masaki ilikuwa ni Residential Area pekee huwezi kuta ofisi yoyote iwe ya serikali au taasisi binafsi ikifanya shughuli zake maeneo hayo.

Miaka hiyo Masaki huwezi kuta jengo lenye urefu wa ghorofa zaidi ya ghorofa tatu kwa uchache na upekee wake utakutana na mazingira ya namna hiyo kwny maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya flats yakiwemo maeneo kama ya TIB,THB na kule Harbors.

Masaki ya wakati huo wahudumu walikuwa hawarudi makwao zaidi ya kuishi kwenye nyumba za servants zilizokuwa nyuma ya nyumba kubwa za maboss wao

Wakati huo Masaki huwezi kuta watu wakiwa wamezagaa zagaa hovyo asilimia kubwa kwenye mtaa husika watu tulikuwa tukifahamiana kwa sura hata kama tulikuwa hatusalimiani.

Kwa kifupi mimi nimeishi na kukua kwenye mtaa wa Haile Selassie.

Vitu vyote vya zaman na sasa ni tofauti, hata wewe una ndevu siku hizi, what is your point?
 
mfano mimi ninapoishi nyuma kuna bimdash ana baa na ni street kabisa sehemu za mqkazi ya watu basi wale walevi ni kero na nusu, Nina mpango wa kuhama😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom