Cumudia
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 507
- 850
[emoji23][emoji23]karibu na kwa mkuu wa wilayaMlikuwaga mnajihisi mmeyapatia Sana maisha mbuzi nyie,siku hizi mmejazana Toangoma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23]karibu na kwa mkuu wa wilayaMlikuwaga mnajihisi mmeyapatia Sana maisha mbuzi nyie,siku hizi mmejazana Toangoma.
Saa tatu usiku watoto wa uswaz tuko nje,washkaji zetu watoto wa kishuwa wakisikia hivyo wanashangaa dahHahahaha kbs noma sana!neno lilokuwa likitumika ni hovyo sana utaskia eti "Wanafugwa" [emoji23]
Noma sana!Trend ya miji ya Kibongo ni kwamba pesa ikifumuka watu wanaanzisha ka-mji ka kishua wanafunga kuta na mageti makali. Watoto wanalelewa kishua kila kitu kipo.
Wazazi Wakizeeka na kuaga dunia watoto wanaishi kwenye majumba mazuri lakini ukute hawana kipato.
Mwisho wa siku wanauza majumba au wanaishi humo wakiendesha biashara haramu nao wanaaga dunia nyumba zinakaliwa na wajomba na mashamgazi ndo hao mnaowaona Masaki.
Safi sana! Vizuri kuwachangamshaHahaha
Wengine sisi tulikulia uswazi na watoto wa kishuwa tulikuwa tunawaleta uswazi wanakuja na kujichanganya
So ikawa wao kuna mambo walikuwa wanajifunza kwetu na sisi tunajifunza makwao
Sema watoto wa kishuwa wengi ilikuwa kupewa rahusa ya kutoka makwao ndiyo ilikuwa mtihani
Watoto wa kishuwa wengi mwisho ilikuwa saa 12 wako ndani
Sasa hapo ndiyo ikaanzaga mishe za wao kutoroka,na wengine kuiba magari ya baba zao
Ova
Walikuwaga wazubaifu Sana🤣🤣🤣Saa tatu usiku watoto wa uswaz tuko nje,washkaji zetu watoto wa kishuwa wakisikia hivyo wanashangaa dah
Usiku nyie mko nje [emoji1]
Sema tuliwapaga mchongo wawe wanacheza na wafanya kazi zao
Beki tatu na mlinzi wa getini
Ova
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wamekuwa watulivu sasa[emoji23][emoji23]karibu na kwa mkuu wa wilaya
Walitutesa Sana kisaikolojia,Eti wakisema kwetu TMK wanaishia wakora😜😜😜Sasa wamehamia MkurangaMam' mdogo mbona hivyo.😃
Mbona TMK kuna maeneo yako poa sana especially Chang'ombe!Walitutesa Sana kisaikolojia,Eti wakisema kwetu TMK wanaishia wakora😜😜😜Sasa wamehamia Mkuranga
Mji unakuwa kwa Kasi kubwa sana dada angu!Tuiombe Serikali yetu sikivu pia hili la makazi holela liingie kama janga la kitaifa.Walitutesa Sana kisaikolojia,Eti wakisema kwetu TMK wanaishia wakora😜😜😜Sasa wamehamia Mkuranga
Walikuwa wanakuja maduka mawili wanasema mbona lami yenu humu mitaani imechakaa sio Kama Chole road?ukiwaambie tukanywe soda TTC club wanasema Kuna mavumbi sio Kama Slipway nyieeeeeeeee 🤣🤣🤣🤣sijui na vitoto vya siku hizi vinajidai hivyohivyoMbona TMK kuna maeneo yako poa sana especially Chang'ombe!
In a very serious note,Dar ni Tatizo kwenye issue ya makazi holela...yaani mtu anaamua anajenga chochote popoteMji unakuwa kwa Kasi kubwa sana dada angu!Tuiombe Serikali yetu sikivu pia hili la makazi holela liingie kama janga la kitaifa.
[emoji2956]Ishu sio maghorofa ya makazi.
Ishu ni pamoja na maghorofa ya ofisi.
Kingine ni ukosefu wa mipango.
Ingewezekana ikawepo mitaa maalum ya high rising blocks na kwingineko kukawa nyumba za chini ...sio hapa nyumba ya chini ..jirani ghorofa la maofisi
Tena ajenge hata level ya kiuno na hata akitelekeza miaka ishirini eneo hilo hakuna wa kumuuliza watalamu wa sensa mtuambie ni majengo mangapi hayakamilika?! na je kuna matumaini ya kukamilika kweli?!In a very serious note,Dar ni Tatizo kwenye issue ya makazi holela...yaani mtu anaamua anajenga chochote popote
Hii nchi bado inahitaji kurekebishwa mifumo ya kiutendaji,unless otherwise tutaendelea kuona mapya Kila siku na hao wanajiita wataalamu hawana Cha kutusaidiaTena ajenge hata level ya kiuno na hata akitelekeza miaka ishirini eneo hilo hakuna wa kumuuliza watalamu wa sensa mtuambie ni majengo mangapi hayakamilika?! na je kuna matumaini ya kukamilika kweli?!
Kweli kabisa maana unaingia kwenye flat na mashuka tu kila kitu unakikuta wengine wakajisahauNa wale wazee waliyokuja kushtuka kuingia ubia ya maeneo yao kidogo ndiyo walijiokoa,maana kuna familia zingine zilikuwa zinakaa kule badaye walitoka kwenda sehemu nyingine walikuja kupigika hasa
Ova
Dada kuna nyumba ambazo hazitoisha kujengwa forever lazima tufikie kwenye makubaliano nyumba ijengwe kwa miaka mingapi kwa level yetu ya maisha na iwe kwny hatua gani?!usipofikia malengo vunja mpk utakapoweza kumudu!inasikitisha baadhi ya watalamu wetu wapo kwa ajili ya kuuza viwanja tu. Ni huzuni kubwa mno.Hii nchi bado inahitaji kurekebishwa mifumo ya kiutendaji,unless otherwise tutaendelea kuona mapya Kila siku na hao wanajiita wataalamu hawana Cha kutusaidia