Kuna tofauti kubwa kati ya Masaki niliyoishi mimi na Masaki ya leo

Kuna tofauti kubwa kati ya Masaki niliyoishi mimi na Masaki ya leo

Hata Prof jay 99 alitoa wimbo wa chemsha bongo na moja ya mstari wake aliimba "Tulikuwa tukihama hama leo Obey kesho Mikocheni" - Miaka hiyo Obay,mikocheni,masaki,upanga ilikuwa full wa kishua.

Ni kweli mkuu mjumba mengi wanakaa walinzi,shamba boys ,beki tatu.

Mbweni (plots za kupimwa) kule ni hatari prime areas sana ,kule ndiyo USHUANI.

Kule Mbweni kwa Samia plots nadhani si chini ya milioni 300.
Mbweni....

Watu hudhani maghorofa ni maendeleo kumbe yanaharibu miji. Maeneo yote prime ya Dar yatajaa maghorofa kama Kariakoo. Masaki, Mikocheni, Mbezi Beach nk. Itakuwa kama una nyumba ya chini hupati hewa wala jua. Na hiyo ni nchi nzima. Maeneo yote yaliyoitwa Uzunguni yanaota maghorofa yanayoharibu mji.
 
Kitu kingine nachosikitikaga ni namna wanavyo vunja nyumba za zamani mjini na kujenga maghorofa mapya
Wanapoteza kabisa historia na asili ya mji

Ova
 
Kitu kingine nachosikitikaga ni namna wanavyo vunja nyumba za zamani mjini na kujenga maghorofa mapya
Wanapoteza kabisa historia na asili ya mji

Ova

Nilivovuka zambezi pale nikala samaki na ugali nikagonga pass yangu chirundu border post, kanyaga masaa kadhaa harare hiyo hapo kuingia harare tu fence zote kwanza size ni moja japo style tofauti lakini fence ukubwa sawa na nyumba zinaonekana, yaani makazi yanapendeza mno
IMG_1437.jpg

IMG_1436.jpg

Urefu wa fence hauzidi hapo huku bongo mtu anafunika fence hadi nyumba haionekani
 
Sema Mbweni sasa hivi ni habari nyingine na mji unakuwa kuelekea Bagamoyo, natamani Dar na Pwani ingeunganishwa uwe mkoa mmoja tu uitwe Dar ili watu wasogeesogee huko, na waondokane na ile dhana ya kutaka kuonekana hawaishi Dar wanaishi nje ya miji
Wakati kuanzia Kerege hakuna kitu cha maama
 
Zambia,lusaka kuna sehemu ya kishuwa ilijengwa inaitwa kingsland
Aise mahala hapo si mchezo
Bongo sijui tunashindwa nn
Unajua hakuna eneo baya sema tTizo ni namna ya watu wanavyojenga
Huyu kajenga vile huyu kajenga kile
Huyu kaziba njia basi vurugu tupu

Ova
Alafu uzuri wa mahali ni mpangilio tu sehemu inakuwa inavutia sio lazima mpaka majumba makubwa makubwa
 
Kitu kingine nachosikitikaga ni namna wanavyo vunja nyumba za zamani mjini na kujenga maghorofa mapya
Wanapoteza kabisa historia na asili ya mji

Ova
Acha wavunje tu majengo yetu mengi hayana ubora hata hizi nyumba mpya unazoziona sahv miaka 20 ijayo hutatamani kuyaangalia mengi yao
 
Kwenye miundo mbinu masaki na obay,walichelewa sana kuipeleka
Hiyo mbezi beach yenyewe nyumba nyingi hazina sewage system kuelekea baharini,we pita usiku utasikia vijenereta na pump wanamwaga maji machafu nje kimchongo

Ova
😂😂Sometimes watu wanasubiri mvua inyeshe wanaunga tela hapohapo,unakuwa unajiuliza kwanini mvua ikinyesha kunakuwa na harufu mbaya kumbe watu wamejiongeza...
Huu mchezo zamani ulikuwa sana ADA ESTATE KINONDONI,zamani huu mtaa nao ulikuwa wa madon kama unakumbuka kama ilivyokuwa Masaki na Oysterbay lakini tatizo ni moja kama ilivyo Masaki na Obay barabara ni za hovyo sana,ule mtaa wa ubalozi wa Saudi Arabia ubalozi wameweka lami sehemu yao tu maeneo mengine kuelekea Obay wameyatelekeza
 
Ila mkuu wanaokaa maeneo hayo wana nafuu kubwa kulinganisha na maeneo mengine ya dar aisee kuna maeneo unatembea rough road 9km ndo ufike unapoenda yaani bado obay masaki upanga kwa barabara wamejaaliwa tena sana
Na ukanda ule mimi ndio nauita Dar ya asili yaani kariakoo kuelekea Muhimbili Upanga,Posta,Obay,Masaki,Msasani kidogo,Mikocheni walau unaweza kuhisi harufu ya Dar ila the rest zipo Dar kijiografia tu lakini ni changamoto sana kuishi tena mno hasa maeneo Mandela Road inapopita
 
Back
Top Bottom