Kuna tofauti ndogo sana kati ya Umoja wa Mataifa (UN) na Kanisa Katoliki,kushindana nao ni kujitafutia matatizo

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
22,345
Reaction score
56,148
Mimi binafsi nimekulia katika imani ya kikatoliki na nimesoma shule ya mission ya Kanisa Katoliki,sio seminary..nikidhani RC ni dhehebu.

Baada ya kukua nikagundua RC sio dhehebu bali ni mfumo wa kiitawala kama ilivya kwa Umoja Wa Mataifa.
Kuanzia siku hiyo niliacha kusali

Papa ni kama katibu mkuu wa UN kimamlaka,bisha usibisha ,Ayatollah mwenyewe analijua hili

Ninaamini Mungu yupona Yesu yupo na alikuwepo,
Bila mfalme Constantine ukristo ingekuwa dini yenye wafuasi eachache lakini iliyonyooka sana,huyu mfalme kwangu ndio baba wa ukristo ukionfoa Yesu mwenyewe,wengine mtasema mtume Paul ndio champion wa ukristo after Jesus.
.
Kupingabana RC ni kujitafutia balaa hawa ni mafia,wameshika mifumo yote ya kiutawala duniani

Huwezi kuona padri aliyehasi au kuachana na ukatoliki akawasema vibaya anajua kitakachompata.

Cc SSH
 
Sema walishika......mambo yanabadilika
 
Duuh, malizia Mkuu!
 
kwa sasa dunia inabadilika kwa kasi sana, siyo kama zamani , leo ufaransa kafukuzwa afrika magharibi kama paka, ulaya na marekanı uhusiano unapitia kwenye majaribu huku marekani akitishia kuvamia kijeshi canada na greenland
tuliambiwa hivyo hivyo kipindi cha dp world ila watu wakaanua na hawakugeuka nyuma dp world ile pale wote kimya, hakuna anayeweza kushindana na serikali, cha kupambania ni kukamata dola hizo nyingine ni porojo tu
 
Unaweza kuta DP world ni mali ya Vatican
 
Mimi binafsi nimekulia katika imani ya kikatoliki na nimesoma shule ya mission ya Kanisa Katoliki,sio seminary..nikidhani RC ni dhehebu.

Baada ya kukua nikagundua RC sio dhehebu bali ni mfumo wa kiitawala kama ilivya kwa Umoja Wa Mataifa.
Kuanzia siku hiyo niliacha kusali

Papa ni kama katibu mkuu wa UN kimamlaka,bisha usibisha ,Ayatollah mwenyewe analijua hili

Ninaamini Mungu yupona Yesu yupo na alikuwepo,
Bila mfalme Constantine ukristo ingekuwa dini yenye wafuasi eachache lakini iliyonyooka sana,huyu mfalme kwangu ndio baba wa ukristo ukionfoa Yesu mwenyewe,wengine mtasema mtume Paul ndio champion wa ukristo after Jesus.
.
Kupingabana RC ni kujitafutia balaa hawa ni mafia,wameshika mifumo yote ya kiutawala duniani

Huwezi kuona padri aliyehasi au kuachana na ukatoliki akawasema vibaya anajua kitakachompata.

Cc SSH
mkuu wako msibani waacheni wapumue,
 
Unataka kumtisha Mhe. Rais? Serikali haiongozwi kwa maamuzi kutoka kanisani. Zingatia hili mkuu.
mama kasoma dua moja tu, mungu akajibu, wacheni kucheza na wateule, vitabu vilishanena likiandikwa duniani n mbinguni lishaandikwa, haya nendeni kustaki
 
Back
Top Bottom